Demiss sio malaika ni binadamu kama wewe

Demiss sio malaika ni binadamu kama wewe

Kaka mshana jr hongera lakini itabidi myamalize na shemeji yako Asprin
Tutayamaliza pale atakapoturuhusu nimkague Demiss . Wife, we unajua mila haziruhusu mjukuu kuolewa kabla hajachezwa unyago. Usisahau huyu mshana jr anamuoa mjukuu wetu...

Kwanini hataki nimkague mjukuu wangu ili nithaminishe mahari yake???
 
Humu jf kuna demu mmoja nilikuwa nafukuzia, mtoto nilisha mweka kwenye himaya ya mikono yangu, Kumbe yule demu alikuwa alisha jiunga na jukwaa la wakubwa ila alikuwa anapita kimya kimya, siku moja akaja akanidaka na post kule JLW ndiyo alipo gundua mim ni mtu wa namna gani na id akaja kubadilisha, hakuwa anataka kabisa kuniona sijui alikuja kufia wapi yule mbuzi
Alifia kwangu mie muuza supu...tehteehh
 
Back
Top Bottom