Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,775
- 3,593
Hahaha hapa ndumba imehusika hata kwa asilimia 2 nasema hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tehteehh.....Demiss huyu huyu mtoto wa Dodoma??
Umepata toto la haja mkuu[emoji122] [emoji122]
MalaikaDuuuh haya ngoja aje mhusika
Alifia kwangu mie muuza supu...tehteehhHumu jf kuna demu mmoja nilikuwa nafukuzia, mtoto nilisha mweka kwenye himaya ya mikono yangu, Kumbe yule demu alikuwa alisha jiunga na jukwaa la wakubwa ila alikuwa anapita kimya kimya, siku moja akaja akanidaka na post kule JLW ndiyo alipo gundua mim ni mtu wa namna gani na id akaja kubadilisha, hakuwa anataka kabisa kuniona sijui alikuja kufia wapi yule mbuzi
Umenikumbusha mbali....tehteehhAliyekupa kibali alikuwa na jina nylon sijui au nimekosea
Tusubirhapo chacha
Anakuonea wivu tu huyo@jambazi acha mafumbo
Naona unatafuta ugomviiidemiss ni acc nyingine ya Jr ...so hapo anajitekenya na kucheka mwenyewe tu ..hahaaa
Mkuu umepita comment zote hii ya kinafiki umeifurahia nakuheshimu sana ujueeYawezekana. Mitandao hii ni pasua kichwa mkuu...
Wenye wivu hawakosi nenoAliedukua akaunti ya Mshana jr Mungu anamuona!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mroge tu mkuu ili akupende..... mbona unaweza..!!! Nikitazama maposti yako NAONA HAKUSHINDI... PIGA KIPAPAI CHA PENZI AKUPENDE
Nitamtafuta nimwambieeeItabid umuite pande hizi mshenga demi
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha hapa ndumba imehusika hata kwa asilimia 2 nasema hahaha
Haya ngoja niende huko michezoni kwanza kuna jambo limetokea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tupo pamojaaaHaya ngoja niende huko michezoni kwanza kuna jambo limetokea
ugomvi wa nini sasa ??Naona unatafuta ugomviii
ben yedder kawalaza watu na viatu leo daadeeekiHaya ngoja niende huko michezoni kwanza kuna jambo limetokea