Ndo nimeshasema usivuke mipaka mwambie na huyo mwenzio shimba nawaheshimuugomvi wa nini sasa ??
wakati kila mtu yupo huru kuwakilisha kile anachojisikia ..nikama wewe ulivyo niuliza swali then namimi nikakujibu ...tehee
Upendoooowe mzee huyu binti ulimpata kwa tunguli zako sio kwa ridhaa yake ..haiwezekani
acha mikwara basiiii ...tunaheshimiana sote aiseeeNdo nimeshasema usivuke mipaka mwambie na huyo mwenzio shimba nawaheshimu
Sio mikwara nakwambia ukweli kuna mipaka ya manenoacha mikwara basiiii ...tunaheshimiana sote aiseee
Upendoooo
haya relux ..usiku mwemaSio mikwara nakwambia ukweli kuna mipaka ya maneno
Hubby acha uhuni mimi nilikufahamisha kuwa mshana jr amepata mchumba na wanakuja nyumbani kututembelea. Huu undugu na Demiss umeanza lini?
Nenda naye hadohado usimvunje mgongo mambo yako yanaelewekaa[emoji23]Na amepata kweli
Mbona hasira dada ndugu?? Ama wivu [emoji125] [emoji125] [emoji125]visokolokwinyo at its level!lol