Demiss sio malaika ni binadamu kama wewe

Tushamaliza kila kitu
Kwa hiyo mkuu harusi tyr na kitu ushavuta ndani ?
Tupe siri ya mafanikio yako maana mi nilipata demu mmoja kiukweli nimedumu nae kwa siku moja tu : nikaona haeleweki sometym yupo kimya mpk upitishe kombola!! Nimejitaidi kumconvice lkn mpk sasa sionj mwelekeo lkn akijisikia hunijibu cmc zangu or akiamua tunaweza chat kwa muda mrefu si chini ya masaa 6 . Mfano jana masaa zaidi ya nane lkn leo hii naona maruerue ,
 
Naomba nimuone picha ya huyo mke wako
 
Nikipata wakunitunuku mambo yetu yataishia hukohuko pm.wachawi wengi kipande hiki.
 
dah sema hpo maji Mara moja tudiukumiane naimba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…