Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]😳 😳 😳
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]😳 😳 😳
Dah ngoja nikapige Jaramba ,kama hutojali naomba jina lake nilikuwa nakumbuka hilo la mwishoSahihi kabisa mimi sio mhangaikaji
Huyo mzee ana bahati sana.Na amepata kweli
Na mm nampendaaaausisikilize ya watu shem ..ohooo!weng hapa hawana wakuwaandikia haya stress tupu yaan..kila unapogusa shida!mpende demmisskiukweli kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunategemea sredi za Demiss kubadilika soon... Kutoka kwenye mapenzi mpaka mazingaombwe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya bhn Mama GAlaaa jambo jemaa Demiss kazi kwako pokea huo upendo mama ,,mshana mtunze kichaa wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jf hakuishi mambo na majambos kha!
Haya Mungu awabariki kama kweli maana chai zimekuwa nyingi kweli humu
Soma siledi ya mme wangu utaelewa mamyKwani umefanyajr hadi wewe sio malaika?
Exactly mmeSoul mate
Fact my kakaKuna Msemo Unaosema
" Naishi Niwezazo Siishi Utakavyo "
Ukiuelewa Huu Msemo Bass Utaish Vzr Sana Katika Maisha Yako
hahaaa mbuzi tena !?Humu jf kuna demu mmoja nilikuwa nafukuzia, mtoto nilisha mweka kwenye himaya ya mikono yangu, Kumbe yule demu alikuwa alisha jiunga na jukwaa la wakubwa ila alikuwa anapita kimya kimya, siku moja akaja akanidaka na post kule JLW ndiyo alipo gundua mim ni mtu wa namna gani na id akaja kubadilisha, hakuwa anataka kabisa kuniona sijui alikuja kufia wapi yule mbuzi
Ray c Nataka niwe na wewe mileleNibebee nami nikuonyeshe mpenzi chakukupaa ili usiendeeee... CC : Nyota ndogo
Poleee sana labda bahat ingeangukia kwakoHuyo mzee ana bahati sana.
Najuta kwanini nimejichelewesha kuleta biashara yangu ya maparachichi huko...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahaaa mbuzi tena !?