Antonio de Guzman
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 7,090
- 13,511
Business as usual
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Humu jf kuna demu mmoja nilikuwa nafukuzia, mtoto nilisha mweka kwenye himaya ya mikono yangu, Kumbe yule demu alikuwa alisha jiunga na jukwaa la wakubwa ila alikuwa anapita kimya kimya, siku moja akaja akanidaka na post kule JLW ndiyo alipo gundua mim ni mtu wa namna gani na id akaja kubadilisha, hakuwa anataka kabisa kuniona sijui alikuja kufia wapi yule mbuzi
Si unajua aliye na dada hakosi shemeji hahhaakakake vip?
Si unajua aliye na dada hakosi shemeji hahhaa
Wewe shikamooo kakaBusiness as usual
Usalama upoooMmmmmh!!!
Unaguna nnMmmmmh!!!
Humu jf kuna demu mmoja nilikuwa nafukuzia, mtoto nilisha mweka kwenye himaya ya mikono yangu, Kumbe yule demu alikuwa alisha jiunga na jukwaa la wakubwa ila alikuwa anapita kimya kimya, siku moja akaja akanidaka na post kule JLW ndiyo alipo gundua mim ni mtu wa namna gani na id akaja kubadilisha, hakuwa anataka kabisa kuniona sijui alikuja kufia wapi yule mbuzi
Oyaaah nianzishie bas siredi na mm[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukianika udhaifu wako kabla hujapewa
Ktumbua
Yajayo yanafurahishaUnaguna nn
Nafurahi kupata shemeji,bila shaka shemeji atabrash nyota yangu make ni mtaalamu haswaasasa si ufurah demmis kupata shem!
hahaah ewaaaNafurahi kupata shemeji,bila shaka shemeji atabrash nyota yangu make ni mtaalamu haswaa
Unadhan yakwetu yatakuajeYajayo yanafurahisha
Eti mbuzii,.[emoji23] [emoji23]Humu jf kuna demu mmoja nilikuwa nafukuzia, mtoto nilisha mweka kwenye himaya ya mikono yangu, Kumbe yule demu alikuwa alisha jiunga na jukwaa la wakubwa ila alikuwa anapita kimya kimya, siku moja akaja akanidaka na post kule JLW ndiyo alipo gundua mim ni mtu wa namna gani na id akaja kubadilisha, hakuwa anataka kabisa kuniona sijui alikuja kufia wapi yule mbuzi
hahaha chai ya rangiJf hakuishi mambo na majambos kha!
Haya Mungu awabariki kama kweli maana chai zimekuwa nyingi kweli humu
Lala dogohaha
hahaha chai ya rangi
Wala ucjal Kwa hiloOyaaah nianzishie bas siredi na mm
YatashangazaUnadhan yakwetu yatakuaje