RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
JF imefanya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
JF imefanya nini?
Kwahio mimi sijulikani? Sikujua kuwa kuoa mpaka ujulikane!Ahahaa wanajulikana tu.
Ndio unatafutia wife material mkuu? Ni hivyo tuuJF imefanya nini?
Aya bna tafuta wa kuoa.Kwahio mimi sijulikani? Sikujua kuwa kuoa mpaka ujulikane!
Oh yeah!Ndio unatafutia wife material mkuu? Ni hivyo tuu
Najua unashindwa kusema hamna wakuolewa humu....unaogopa kusutwa!Aya bna tafuta wa kuoa.
Course ya uganga inatolewa wapi?! Naona inabidi nisafirie nyota yako.Hahahaaa
Nisutwe na nani? Wa kuolewa wapo na wanaolewa sana tu.kwanini wasiwepo wa kuolewa?Najua unashindwa kusema hamna wakuolewa humu....unaogopa kusutwa!
Pamoja.
Sasa mbona unanikatisha tamaa?! Au unaoogopa kuniambia mimi sio hubby material?Nisutwe na nani? Wa kuolewa wapo na wanaolewa sana tu.kwanini wasiwepo wa kuolewa?
Mshana nini shida kwani? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Am so sorry to write this... Na si kawaida yangu kuandika hiki ninachoandika.. But like anybody else... Nina hisia kama wengine.. Nina matamanio kama wengine..... Nina upweke kama wengine.... Nilikuwa na mpenzi hapa na sikuruka ruka kama wengine leo hapa kesho pale .. Msipeleke mawazo yenu kwa Asprin mzee wa kukagua 😳 😳 😳
Baadae my heart bit (she knows how much I loved n respected her) akaenda mbali nami.. It was something unpreventable..... Nikawasiliane naye.. Because she cares akanipa kibali... Na kibali hicho akatunukiwa chamdeko .. The rest is very known to everybody... Demiss chamdeko sio malaika kumchafua haitopunguza Makhabati yangu kwake.... NAMPENDA... SANA... HALAFU SANA..!!!
Hahaha, asee mchumba mpk ujulikane?Kwahio mimi sijulikani? Sikujua kuwa kuoa mpaka ujulikane!
Naona wito wa ndoa bado kwako .hujaitwa bado.Sasa mbona unanikatisha tamaa?! Au unaoogopa kuniambia mimi sio hubby material?