Democracy index 2021: Kenya lags behind Tanzania

Punguza ujinga wenu wa kupinga kila kitu, ukweli ni kwamba Tanzania ipo namba 93 na Kenya 95, Tanzania is ahead of Kenya in democracy, sasa mumebaki na GDP pekee, kila kitu tunawazidi.
List ya kwamba mpo no.93 iko wapi, nasubiria official source kibwengo..
Mi the star kwangu sio source, waongo kila kuchao wanaumbuka..
 
Jamaa analeta ripoti ambazo ripoti ambazo hata hazina kichwa wala mkia, The star huo upuuzi waliutoa wapi manake katika ripoti yao hakuna sehemu waliyosema km wali quote wapi[emoji1787][emoji1787]
Wala pia hakuna hata link ya kuonyesha ya chanzo cha hyo ripoti..

Kweli kuna watu wapo desperate
 
What made you come up with this conclusion?
Mainstream media and other news organizations report their rankings and invite general public to discuss them. International organizations use their data as refernce.
 
Hawa watu hats neno democracy yenyewe hawajui maana yake AMD they are here lecturing us
 
Hivi baba wa demokrasia, jembe la kweli JPM, bado 'anachapa kazi' kwa siri akiwa mafichoni? Anataka kuvunja rekodi mpya au ndio kunaendaje? [emoji4]
 
Ass comment!
 
Hahahaha, mumebaki na GDP pekee
 
Hahahaha, mumebaki na GDP pekee
Umshindwa utokee wapi[emoji1787], hapa huwezank akili zangu sio za kilumumba ya kuparamia paramia vitu tu bila formular..

Ukipata list uiweke hapa na wanenguaji wenzio waione
 
Hivi baba wa demokrasia, jembe la kweli JPM, bado 'anachapa kazi' kwa siri akiwa mafichoni? Anataka kuvunja rekodi mpya au ndio kunaendaje? [emoji4]
Yupo india anajifukiza[emoji1787][emoji1787]
 
Hivi baba wa demokrasia, jembe la kweli JPM, bado 'anachapa kazi' kwa siri akiwa mafichoni? Anataka kuvunja rekodi mpya au ndio kunaendaje? [emoji4]
Umesikia kuna kazi imesimama
Sababu eti JPM haja onekana? Uongozi bora ni pamoja na kugawa kazi hadi rais asipo bado mambo ni shwari..
Nakumbuka 2019 mkitafuta kenyatta alipokuwa amejifungia mwezi moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…