Democracy index 2021: Kenya lags behind Tanzania

Democracy index 2021: Kenya lags behind Tanzania

Punguza ujinga wenu wa kupinga kila kitu, ukweli ni kwamba Tanzania ipo namba 93 na Kenya 95, Tanzania is ahead of Kenya in democracy, sasa mumebaki na GDP pekee, kila kitu tunawazidi.
List ya kwamba mpo no.93 iko wapi, nasubiria official source kibwengo..
Mi the star kwangu sio source, waongo kila kuchao wanaumbuka..
 
Jamaa analeta ripoti ambazo ripoti ambazo hata hazina kichwa wala mkia, The star huo upuuzi waliutoa wapi manake katika ripoti yao hakuna sehemu waliyosema km wali quote wapi[emoji1787][emoji1787]
Wala pia hakuna hata link ya kuonyesha ya chanzo cha hyo ripoti..

Kweli kuna watu wapo desperate
 
Sonko hayuko ndani kwa kumsema vibaya Rais.

Ni kweli kwamba Sonko yuko ndani baada ya kumsema vibaya rais, lakini hio sio sababu.

Sonko ni mwizi na jangili kutoka kitambo ambaye ako na kesi karibu mia moja kortini.

Kisha ukileta hio ya polisi kuuwa watu juu ya Covid, sidhani kingereza chako kimefika point ya kuelewa maana ya democracy.

Hii ni democracy index. Inapima uwazi wa uchaguzi na enviroment ambayo uchaguzi na siasa zinachapwa.
Tanzania iko dictatorship chini ya Magufuli.
Hawa watu hats neno democracy yenyewe hawajui maana yake AMD they are here lecturing us
 
Hivi baba wa demokrasia, jembe la kweli JPM, bado 'anachapa kazi' kwa siri akiwa mafichoni? Anataka kuvunja rekodi mpya au ndio kunaendaje? [emoji4]
 
From all those you have mentioned, only Msando's murder is even suspected to be political.

Jacob Jumwa - Not even a politician. Just a crooked and corrupt businessman eyeing government contracts with lots of enemies.
Makaburi and Rogo - Radical Muslims recruiting Mombasa youth into Al shabaab.

Those have nothing to do with democracy.

Trying to murder your main opponent, is attack on democracy.
Silencing the media is attack on democracy.

All Shithole Tanzania, LDC bongolala can do is sit down and hope to be like Kenya.
Mna bahati sana Supremo wenu mwendawazimu amemuaga. Otherwise mlikuwa mnaelekea pabaya.
Ass comment!
 
Jamaa analeta ripoti ambazo ripoti ambazo hata hazina kichwa wala mkia, The star huo upuuzi waliutoa wapi manake katika ripoti yao hakuna sehemu waliyosema km wali quote wapi[emoji1787][emoji1787]
Wala pia hakuna hata link ya kuonyesha ya chanzo cha hyo ripoti..

Kweli kuna watu wapo desperate
Hahahaha, mumebaki na GDP pekee
 
Hahahaha, mumebaki na GDP pekee
Umshindwa utokee wapi[emoji1787], hapa huwezank akili zangu sio za kilumumba ya kuparamia paramia vitu tu bila formular..

Ukipata list uiweke hapa na wanenguaji wenzio waione
 
Hivi baba wa demokrasia, jembe la kweli JPM, bado 'anachapa kazi' kwa siri akiwa mafichoni? Anataka kuvunja rekodi mpya au ndio kunaendaje? [emoji4]
Umesikia kuna kazi imesimama
Sababu eti JPM haja onekana? Uongozi bora ni pamoja na kugawa kazi hadi rais asipo bado mambo ni shwari..
Nakumbuka 2019 mkitafuta kenyatta alipokuwa amejifungia mwezi moja
 
Back
Top Bottom