Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Asante sana vijiji vyote vitano kwa namna mnavyokiamini na kukikubali Chama Cha Mapinduzi.
Shukran sana kwa kuamua kuongozwa na vongozi makini na waaminifu wa CCM.
Ni kitongoji kimoja pekee ndio kina mgombea dhaifu sana kutoka upinzani, hata hivyo nampongeza kwa ujasiri aliokuanao licha ya kutokukubalika kwake kitongojini kwake.
Infact,
Hakuna mgombea yeyote atakaepita bila kupingwa, ispokua kutakua na kura ya kipekee sana ya ndiyo au hapana kwa kila mgombea asie na mpinzani.
Well done ndungu wanainchi kwa Imani yenu kubwa kwa CCM chini ya mwenyekiti wa CCM Taifa comrade Dr Samia Suluhu Hassan 🐒
Mungu Ibariki Tanzania