Hakuna kitu kisichokua na upinzani ktk dunia hiiAsante sana vijiji vyote vitano kwa namna mnavyokiamini na kukikubali Chama Cha Mapinduzi.
Shukran sana kwa kuamua kuongozwa na vongozi makini na waaminifu wa CCM.
Ni kitongoji kimoja pekee ndio kina mgombea dhaifu sana kutoka upinzani, hata hivyo nampongeza kwa ujasiri aliokuanao licha ya kutokukubalika kwake kitongojini kwake.
Infact,
Hakuna mgombea yeyote atakaepita bila kupingwa, ispokua kutakua na kura ya kipekee sana ya ndiyo au hapana kwa kila mgombea asie na mpinzani.
Well done ndungu wanainchi kwa Imani yenu kubwa kwa CCM chini ya mwenyekiti wa CCM Taifa comrade Dr Samia Suluhu Hassan π
Mungu Ibariki Tanzania
Maccm ni terrorists!Chadema tupo wengi ila tunawaogopa CCM wasitujue ni hataree kwa maisha na fursa ukijulikana wewe ni chadema Tanzania demokrasia ni 0% kenya 77%%
Mwambie ukweli huyu pimbi na chawa mkubwa sana! Rubbish kabisa!Sasa kuna ukomavu gani hapo na wagombea wanatokea chama kimoja pekee?
Kwa maana nyingine ni kama hakuna uchaguzi kwa kuwa hakuna watu wa kuchaguliwa...
[emoji706][emoji706][emoji706]Asante sana vijiji vyote vitano kwa namna mnavyokiamini na kukikubali Chama Cha Mapinduzi.
Shukran sana kwa kuamua kuongozwa na vongozi makini na waaminifu wa CCM.
Ni kitongoji kimoja pekee ndio kina mgombea dhaifu sana kutoka upinzani, hata hivyo nampongeza kwa ujasiri aliokuanao licha ya kutokukubalika kwake kitongojini kwake.
Infact,
Hakuna mgombea yeyote atakaepita bila kupingwa, ispokua kutakua na kura ya kipekee sana ya ndiyo au hapana kwa kila mgombea asie na mpinzani.
Well done ndungu wanainchi kwa Imani yenu kubwa kwa CCM chini ya mwenyekiti wa CCM Taifa comrade Dr Samia Suluhu Hassan [emoji205]
Mungu Ibariki Tanzania
ni kata ambazo zitaipa CCM ushindi wa kishindo wa mapema zaidi lakini wa uhakika zaidi kwa 100% bila mbambamba yoyote.Hakuna kitu kisichokua na upinzani ktk dunia hii
Tume si yenu??polisi si yenu?mahakama je??jeshi??nk nk nk nkni kata ambazo zitaipa CCM ushindi wa kishindo wa mapema zaidi lakini wa uhakika zaidi kwa 100% bila mbambamba yoyote.
hongera sana wananchi kwa uamuzi huru na huru zaidi wa kutokubabaishwa na wapinga maendeleo katika maeneo yenu π
CCM haina tofauti na BokoharamMaccm ni terrorists!
actually,Kwa hali ilivyo,hata tukipata vitongoji 10 nchi nzima CDM tutafurahi.Manake makada wa ccm DED ndo msimamizi mkuu wa uchaguzi.walimu na watumishi wa ccm wamepewa maelekezo maalumu.
Chadema kikobusy na kesi ya tigoAsante sana vijiji vyote vitano kwa namna mnavyokiamini na kukikubali Chama Cha Mapinduzi.
Shukran sana kwa kuamua kuongozwa na vongozi makini na waaminifu wa CCM.
Ni kitongoji kimoja pekee ndio kina mgombea dhaifu sana kutoka upinzani, hata hivyo nampongeza kwa ujasiri aliokuanao licha ya kutokukubalika kwake kitongojini kwake.
Infact,
Hakuna mgombea yeyote atakaepita bila kupingwa, ispokua kutakua na kura ya kipekee sana ya ndiyo au hapana kwa kila mgombea asie na mpinzani.
Well done ndungu wanainchi kwa Imani yenu kubwa kwa CCM chini ya mwenyekiti wa CCM Taifa comrade Dr Samia Suluhu Hassan π
Mungu Ibariki Tanzania
Madam, mimi nakupuuza sana.Gentleman,
kwamba Chadema ni kama mungiki tu , right?π