Demokrasia inatupotezea sana muda na nguvu

Binadamu kwa asili ni kiumbe mwenye tamaa, bila mipaka na misingi ya kutawala , hizo sera nzuri bila kuwa na mifumo thabiti ya kuwahoji wanayo iandaa, unatudanganya. Wewe inaonekana ni kutokea tawala za kitemi. Mipango ya mtemi kuwakamua wananchi na kujilimbikizia mali kwako ni sera nzuri za uchumi.
Mbona kuna viongozi wa kidemokrasia wanajilimbikizia mali kibao. Tena nchi za kidemokrasia ndiyo vinara wa ufisadi na sera mbovu. Sera zisizosaidia kabisa wananchi.
 
Kama ni hivyo Afrika ilitakiwa iwe tajiri sana maana haina demokrasia.
a imekuKwa kitu cha hovyo sana kinachorudisha nchi nyuma, hasa nchi za kiafrika. Wanasiasa hawawazi tena maendeleo bali wanawaza jinsi ya kuingia madarakani na jinsi ya kubaki madarakani. Hakuna anayejali maslahi ya nchi. Kenya walianza kuongelea uchaguzi wa 2022 miaka 3 iliyopita.

Rais Samia anaongelea uchaguzi wa 2025 leo. Nchi haina dira yoyote bali ni kusikiliza kelele huku na huko na kuzifanyia kazi, imaendeshwa kwa matukio.

Kwenye demokrasia Serikali inatapanya mali, inakopa na kufuja ikijua kesho mzigo wa deni siyo wake. Ndiyo maana kila utawala mpya ukiingia utakuta unalalamika hazina imekombwa.

Tungerudi tu kwenye chama kimoja. Au tukae chini tuumize vichwa tuje na utaratibu mwingine na si demokrasia. Demokrasia ni uongo.
 
Demokrasia imekuwa kitu cha hovyo sana kinachorudisha nchi nyuma, hasa nchi za kiafrika. Wanasiasa hawawazi tena maendeleo bali wanawaza jinsi ya kuingia madarakani na jinsi ya kubaki madarakani. Hakuna anayejali maslahi ya nchi. Kenya walianza kuongelea uchaguzi wa 2022 miaka 3 iliyopita.

Hizi ndio zilikuwa fikra potofu za Magufuli.
 
..hata kwenye chama kimoja kuna mfumo wake wa uchaguzi na demokrasia.

..labda tungerudi kwenye UTEMI / UCHIFU ambao ndio utawala wa asili wa Waafrika.

..Na kwenye Utemi hakuna mambo ya uchaguzi, watawala hurithishana kindugu/kiukoo.

..Tukirudisha Utemi na Uchifu Watz tutakuwa na muda mwingi zaidi wa kufanya kazi badala ya kupoteza muda kwenye mambo ya uchaguzi.
 
Kama ni hivyo Afrika ilitakiwa iwe tajiri sana maana haina demokrasia.
Mkuu maendeleo hayatokani na kuwepo au kutokuwepo kwa demokrasia bali sera nzuri za kiuchumi. Na sera nzuri za kiuchumi zinawezekana kwenye demokrasia, ufalme au udikteta.
Mi nimeeleza tu matatizo yaletwayo na demokrasia. Na jinsi tunavyodanganywa kuwa ni mfumo bora na bila huo hakuna maendeleo.
 
Demokrasia imekuwa kitu cha hovyo sana kinachorudisha nchi nyuma, hasa nchi za kiafrika. Wanasiasa hawawazi tena maendeleo bali wanawaza jinsi ya kuingia madarakani na jinsi ya kubaki madarakani. Hakuna anayejali maslahi ya nchi. Kenya walianza kuongelea uchaguzi wa 2022 miaka 3 iliyopita.

Rais Samia anaongelea uchaguzi wa 2025 leo. Nchi haina dira yoyote bali ni kusikiliza kelele huku na huko na kuzifanyia kazi, imaendeshwa kwa matukio.

Kwenye demokrasia Serikali inatapanya mali, inakopa na kufuja ikijua kesho mzigo wa deni siyo wake. Ndiyo maana kila utawala mpya ukiingia utakuta unalalamika hazina imekombwa.

Tungerudi tu kwenye chama kimoja. Au tukae chini tuumize vichwa tuje na utaratibu mwingine na si demokrasia. Demokrasia ni uongo.
Kiufupi demokrasia ni suitable kwa nchi zilizoendelea (boom stage), yaani hawana shida wanaamua kufanya madaraka kama mchezo tu.

Ila sio suitable kabisa kwa nchi zetu hizi tutasubili sana .
 
..hata kwenye chama kimoja kuna mfumo wake wa uchaguzi na demokrasia.

..labda tungerudi kwenye UTEMI / UCHIFU ambao ndio utawala wa asili wa Waafrika.

..Na kwenye Utemi hakuna mambo ya uchaguzi, watawala hurithishana kindugu/kiukoo.

..Tukirudisha Utemi na Uchifu Watz tutakuwa na muda mwingi zaidi wa kufanya kazi badala ya kupoteza muda kwenye mambo ya uchaguzi.
Kwanza kuwepo tu kwa uchaguzi si kionyeshi kwamba kuna demokrasia, hata kama ni wa haki kiasi gani. Zamani huko Ulaya kulikuwa na wafalme wa kuchaguliwa.

Na si kuwa kwamba turudishe uchifu ili tuwe na muda mwingi wa kazi, shida yetu ni sera za kiuchumi na si kufanya kazi kidogo.

Pengine labda pesa na muda tunaotumia kupigania demokrasia na kuijenga tungepigania sera bora za uchumi, uwajibikaji nk. Maana demokrasia haiguarantee hivi vitu na wala si kuwa haviwezi kuwepo kwenye mifumo mingine.
 
Democracy is ugly and takes time to mature,ila wewe una mfumo gani wa mbadala dunia hii?

Hakuna mfumo mbadala wa Democracy ndugu...

mengine ya kidikteta peleka makaburini huko kwa lile limfu zoefu
Unachukua muda mrefu na mazingira yake ili umature ni special sana. Haikomai popote. Kweli hakuna mfumo mbadala kwa sasa. Na ubaya wa mifumo hii hujizalisha yenyewe baada ya mmoja kushindwa. Labda, kama nilivyosema, tukae chini tuumize vichwa. Vinginevyo tusubiri mfumo huu utufelishe, uje mwingine.

Rai yangu kwa sasa ni kuachaa kuweka mategemeo makubwa kwenye demokrasia. Haiko kama tunavyoaminishwa.
 
Democracy is ugly and takes time to mature,ila wewe una mfumo gani wa mbadala dunia hii?

Hakuna mfumo mbadala wa Democracy ndugu...

mengine ya kidikteta peleka makaburini huko kwa lile limfu zoefu
Unachukua muda mrefu na mazingira yake ili umature ni special sana. Haikomai popote. Kweli hakuna mfumo mbadala kwa sasa. Na ubaya wa mifumo hii hujizalisha yenyewe baada ya mmoja kushindwa. Labda, kama nilivyosema, tukae chini tuumize vichwa. Vinginevyo tusubiri mfumo huu utufelishe, uje mwingine.

Rai yangu kwa sasa ni kuachaa kuweka mategemeo makubwa kwenye demokrasia. Haiko kama tunavyoaminishwa.
Kiufupi demokrasia ni suitable kwa nchi zilizoendelea (boom stage), yaani hawana shida wanaamua kufanya madaraka kama mchezo tu.

Ila sio suitable kabisa kwa nchi zetu hizi tutasubili sana .
Na inahitaji watu walioelimika hasa.

Misri kwa miaka mingi imeongozwa kijeshi hadi walipomtoa Mubarak. Wakawa na demokrasia ya miezi kadhaa wakaona hii si njia yetu, wakaipiga teke na kurudi na udikteta wao.
Lakini Misri hiyo ni ya tatu kwa uchumi bora Africa. Wananchi wake wana maendeleo na matajiri. Wamekuja kutujengea bwawa la umeme.

Inaonekana demokrasia ni kitu cha anasa, kitu cha matajiri na walioelimika.
 
Sera mbaya zinachangiwa na kutokuwa na demokrasia. Sasa utakuwaje na sera nzuri kama watunga sera wote wanachaguliwa na mtu mmoja !. Hata kujadili mabadiliko ya katiba hayaruhusiwi sasa tutarekebisha vipi hizo sheria
Demokrasia haikuwahi kuwa chanzo wala na mchango katika maendeleo ya kiuchumi

Ukipata muda soma historia za viongozi WA nchi za Asian Tigers ambazo tulikuwa tunalingana kiuchumi.

Halafu Msome Joseph Stalin.

Katika nchi kumi zenye uchumi mkubwa duniani, taja hata nchi moja ambayo haikuwahi kufanya ukandamizaji aidha Kwa raia wake au raia WA nje katika hatua zao za mwanzo za maendeleo.

Nchi zenye uchumi mkubwa
1. USA
2.China.
3. Japan
4. Ujerumani
5. Uingereza
6. India
7. Ufaransa
8. Italy
9. Canada
10. Korea Kusini.

Demokrasia huja baada ya maendeleo na sio driver WA maendeleo. Nchi ukiwa na Sera mbovu za uchumi, demokrasia na udiktekta vyote vinakuwa having maana.
 
Is democracy perfect?

No,far from it!

Kuna mfumo wa mbadala?

No,hakuna!

Hivyo you live and die with the system mpaka pale wanadamu tutakapokua na akili kubwa kutunga mfumo mpya kabisa!

Haya malalamiko unayoyaleta hapa ni cry-me-a-river na wastage of time tu!

Wewe ulidhani democracy ni perfect system?No and now you know!

Kaa kwa kutulia!
Nimeleta uzi kuwaeleza watu kuwa demokrasia ina shida kama tu mfumo wa kifalme na udikteta. kuwa afadhali yq mifumo mingine, Demokrasia inaahidi kuleta vitu isivyoweza, demokrasia ni kiinimacho.

"Mwananchi hajali nani yupo ikulu, anachojali ni mkate/ugali mezani."
 
mkuu

mifumo unayosemea ishafanyika hapa duniani na atrocities zake ni kubwa,dont even talk about them

Inashangaza u thinki this way aisee

Mifumo inayo confiscate human freedoms and their lives to someone who is allowed to do anything with your breathing ni dangerous beyond imagination

Ndio unawaza huu upumbavu?

Lakini ppl have the right to be stupid wanavyotaka,hey knock yourself out man!
Demokrasia inapacify tu watu wajione wako na control. Na ukatili na mauaji
na vita havijakoma sababu ya demokrasia. Badala yake uhalifu na vita vimeongezeka.
 
Demokrasia imekuwa kitu cha hovyo sana kinachorudisha nchi nyuma, hasa nchi za kiafrika. Wanasiasa hawawazi tena maendeleo bali wanawaza jinsi ya kuingia madarakani na jinsi ya kubaki madarakani. Hakuna anayejali maslahi ya nchi. Kenya walianza kuongelea uchaguzi wa 2022 miaka 3 iliyopita.

Rais Samia anaongelea uchaguzi wa 2025 leo. Nchi haina dira yoyote bali ni kusikiliza kelele huku na huko na kuzifanyia kazi, imaendeshwa kwa matukio.

Kwenye demokrasia Serikali inatapanya mali, inakopa na kufuja ikijua kesho mzigo wa deni siyo wake. Ndiyo maana kila utawala mpya ukiingia utakuta unalalamika hazina imekombwa.

Tungerudi tu kwenye chama kimoja. Au tukae chini tuumize vichwa tuje na utaratibu mwingine na si demokrasia. Demokrasia ni uongo.
Chama kwani kina kazi gani? Serikali tuseme inatosha bila chama! Vyama viliunganisha watu kudai Uhuru tu!
 
Nchi za kidemokrasia Africa hazizidi kumi na bado asilimia kubwa ya bara hili ni maskini.
Demokrasia imekuwa kitu cha hovyo sana kinachorudisha nchi nyuma, hasa nchi za kiafrika. Wanasiasa hawawazi tena maendeleo bali wanawaza jinsi ya kuingia madarakani na jinsi ya kubaki madarakani. Hakuna anayejali maslahi ya nchi. Kenya walianza kuongelea uchaguzi wa 2022 miaka 3 iliyopita.

Rais Samia anaongelea uchaguzi wa 2025 leo. Nchi haina dira yoyote bali ni kusikiliza kelele huku na huko na kuzifanyia kazi, imaendeshwa kwa matukio.

Kwenye demokrasia Serikali inatapanya mali, inakopa na kufuja ikijua kesho mzigo wa deni siyo wake. Ndiyo maana kila utawala mpya ukiingia utakuta unalalamika hazina imekombwa.

Tungerudi tu kwenye chama kimoja. Au tukae chini tuumize vichwa tuje na utaratibu mwingine na si demokrasia. Demokrasia ni uongo.
 
Nchi za Demokrasia ya kweli Africa ni
1.South Africa
2.Kenya
3.Ghana
4.Malawi
5.Botswana
6.Seychelles
7.Mauritius
8.Senegal
9.Benin
Kama mfumo unaruhusu matatizo kwa karibu bara zima basi haufai kabisa. Au hautufai kabisa. Na si Africa tu, huko South Amerika na South East Asia shida tupu.
 
Demokrasia imekuwa kitu cha hovyo sana kinachorudisha nchi nyuma, hasa nchi za kiafrika. Wanasiasa hawawazi tena maendeleo bali wanawaza jinsi ya kuingia madarakani na jinsi ya kubaki madarakani. Hakuna anayejali maslahi ya nchi. Kenya walianza kuongelea uchaguzi wa 2022 miaka 3 iliyopita.

Rais Samia anaongelea uchaguzi wa 2025 leo. Nchi haina dira yoyote bali ni kusikiliza kelele huku na huko na kuzifanyia kazi, imaendeshwa kwa matukio.

Kwenye demokrasia Serikali inatapanya mali, inakopa na kufuja ikijua kesho mzigo wa deni siyo wake. Ndiyo maana kila utawala mpya ukiingia utakuta unalalamika hazina imekombwa.

Tungerudi tu kwenye chama kimoja. Au tukae chini tuumize vichwa tuje na utaratibu mwingine na si demokrasia. Demokrasia ni uongo.
vipi hilo bunge la chama kimoja mafanikio ya utendaji wake???
 
Mbona kuna viongozi wa kidemokrasia wanajilimbikizia mali kibao. Tena nchi za kidemokrasia ndiyo vinara wa ufisadi na sera mbovu. Sera zisizosaidia kabisa wananchi.
Hao wapo nchi kama Tanzania ambapo kuna demokrasia ya midomoni, kiuhalisia ilisha bakwa miaka mingi.
 
Demokrasia imekuwa kitu cha hovyo sana kinachorudisha nchi nyuma, hasa nchi za kiafrika. Wanasiasa hawawazi tena maendeleo bali wanawaza jinsi ya kuingia madarakani na jinsi ya kubaki madarakani. Hakuna anayejali maslahi ya nchi. Kenya walianza kuongelea uchaguzi wa 2022 miaka 3 iliyopita.

Rais Samia anaongelea uchaguzi wa 2025 leo. Nchi haina dira yoyote bali ni kusikiliza kelele huku na huko na kuzifanyia kazi, imaendeshwa kwa matukio.

Kwenye demokrasia Serikali inatapanya mali, inakopa na kufuja ikijua kesho mzigo wa deni siyo wake. Ndiyo maana kila utawala mpya ukiingia utakuta unalalamika hazina imekombwa.

Tungerudi tu kwenye chama kimoja. Au tukae chini tuumize vichwa tuje na utaratibu mwingine na si demokrasia. Demokrasia ni uongo.
Ni ajabu, lakini kuna "akili" ndani ya bandiko lako linaloonyesha hali ya kukata tamaa kuhusu uwezekano wa demokrasia hapa Afrika.

LAKINI natahadharisha kuwa "ukweli" huo hauonyeshi kwamba demokrasia haina maana hapa Afrika. ELEWA kuwa hakuna namna nyingine uongozi halali wa nchi unaweza kupatikana nje ya demokrasia labda tuwe na utawala wa kifalme - wa familia moja kurithishana uongozi. Namna nyingine ni ukomunisti - wenye uongo mwingi kama "demokrasia" ya kuzuga tuliyo nayo hapa Tz. Chama kimoja ndio ukomunisti wenyewe. Tawala za kikomunisti zinasimamiwa na virungu na risasi tu.

Sasa, ukisema demokrasia haiwezekani Afrika, tafsiri ya moja kwa moja ni kuwa Afrika hatuna uwezo wa kujisimamia kama dola za kitaifa za kisasa (modern nation states). Tumeshindwa kuingia kwenye ustaarabu wa ki-leo. Basi, ama tukubali kuwaomba mabeberu tuwe majimbo ya mataifa yao au turudie enzi za tawala za kina mtwa Mkwawa, Songea, Mangungo na wengineo. Kina Mkwawa hawakupigana na Wajerumani kurejesha uhuru wa Tanganyika bali miliki zao za kichifu. Kwenye ukomunisti najua viongozi wetu wataona "haya" mbele ya mabeberu. Lakini wanatamani sana hilo.
 
Watu wanachekesha demokrasia gani unaiongelea wakati kura zimeibiwa na uchaguzi unapagwa!. Yaani kwa akili yako kuna demokrasia Tanzania!. Tanzania tunataka kuwa na demokrasia lakini haipo bado! wananchi kukutana na kuongelea katiba hairuhusiwi.... kuongelea katiba!!!. Ni visingizio tu kuna nchi zina maendeleo sana na zina demokrasia

We unaleta hoja mfu. Ungekaa kimya.Kuna wakati hoja za JF zinakuwa za kijinga kwa kuwa mnakimbilia hisia zenu badala ya kujadil mada. Nani kakuibia kula. Hata Trump kasema kaibiwa. Wengine wanadai Urusi kaingilia. Haya hayatusaidii. JF ilitakiwa sehemu ya kujadili na kuwa na mawazo mapya.

Wote mnaongelea Demokrasia na maendeleo. Taja hapa nchi Zote zilizoendelea kwa sababu ya Demokrasia. Zipi. Hakuna.

Baada ya maendeleo ndo mambo ya Siasa yakachukua mkondo na ustaarabu. Na hata Demokrasia unayozungumzia haina one Definition na nahisi nyinyi Demokrasia Ni kufanya mambo tu Kadiri mnavyoamka. Kwa nchi ya Tansania, mikutano na ujinga ujinga baada ya uchaguzi ndo mambo yanayotufanya Tuwe chini kabisa. Nchi hizi zilizoendelea. Watu wanaendelea na majukumu Yao. Na Hata Siasa haziwahusu. Wanasiasa wanaendelea na Yao. Sisi tunaacha kazi tunasingizia Demokrasia.
 
Back
Top Bottom