Mbona kuna viongozi wa kidemokrasia wanajilimbikizia mali kibao. Tena nchi za kidemokrasia ndiyo vinara wa ufisadi na sera mbovu. Sera zisizosaidia kabisa wananchi.Binadamu kwa asili ni kiumbe mwenye tamaa, bila mipaka na misingi ya kutawala , hizo sera nzuri bila kuwa na mifumo thabiti ya kuwahoji wanayo iandaa, unatudanganya. Wewe inaonekana ni kutokea tawala za kitemi. Mipango ya mtemi kuwakamua wananchi na kujilimbikizia mali kwako ni sera nzuri za uchumi.
a imekuKwa kitu cha hovyo sana kinachorudisha nchi nyuma, hasa nchi za kiafrika. Wanasiasa hawawazi tena maendeleo bali wanawaza jinsi ya kuingia madarakani na jinsi ya kubaki madarakani. Hakuna anayejali maslahi ya nchi. Kenya walianza kuongelea uchaguzi wa 2022 miaka 3 iliyopita.
Rais Samia anaongelea uchaguzi wa 2025 leo. Nchi haina dira yoyote bali ni kusikiliza kelele huku na huko na kuzifanyia kazi, imaendeshwa kwa matukio.
Kwenye demokrasia Serikali inatapanya mali, inakopa na kufuja ikijua kesho mzigo wa deni siyo wake. Ndiyo maana kila utawala mpya ukiingia utakuta unalalamika hazina imekombwa.
Tungerudi tu kwenye chama kimoja. Au tukae chini tuumize vichwa tuje na utaratibu mwingine na si demokrasia. Demokrasia ni uongo.
Hizi ndio zilikuwa fikra potofu za Magufuli.Demokrasia imekuwa kitu cha hovyo sana kinachorudisha nchi nyuma, hasa nchi za kiafrika. Wanasiasa hawawazi tena maendeleo bali wanawaza jinsi ya kuingia madarakani na jinsi ya kubaki madarakani. Hakuna anayejali maslahi ya nchi. Kenya walianza kuongelea uchaguzi wa 2022 miaka 3 iliyopita.
Rais Samia anaongelea uchaguzi wa 2025 leo. Nchi haina dira yoyote bali ni kusikiliza kelele huku na huko na kuzifanyia kazi, imaendeshwa kwa matukio.
Kwenye demokrasia Serikali inatapanya mali, inakopa na kufuja ikijua kesho mzigo wa deni siyo wake. Ndiyo maana kila utawala mpya ukiingia utakuta unalalamika hazina imekombwa.
Tungerudi tu kwenye chama kimoja. Au tukae chini tuumize vichwa tuje na utaratibu mwingine na si demokrasia. Demokrasia ni uongo.
Demokrasia imekuwa kitu cha hovyo sana kinachorudisha nchi nyuma, hasa nchi za kiafrika. Wanasiasa hawawazi tena maendeleo bali wanawaza jinsi ya kuingia madarakani na jinsi ya kubaki madarakani. Hakuna anayejali maslahi ya nchi. Kenya walianza kuongelea uchaguzi wa 2022 miaka 3 iliyopita.

Mkuu maendeleo hayatokani na kuwepo au kutokuwepo kwa demokrasia bali sera nzuri za kiuchumi. Na sera nzuri za kiuchumi zinawezekana kwenye demokrasia, ufalme au udikteta.Kama ni hivyo Afrika ilitakiwa iwe tajiri sana maana haina demokrasia.
Kiufupi demokrasia ni suitable kwa nchi zilizoendelea (boom stage), yaani hawana shida wanaamua kufanya madaraka kama mchezo tu.Demokrasia imekuwa kitu cha hovyo sana kinachorudisha nchi nyuma, hasa nchi za kiafrika. Wanasiasa hawawazi tena maendeleo bali wanawaza jinsi ya kuingia madarakani na jinsi ya kubaki madarakani. Hakuna anayejali maslahi ya nchi. Kenya walianza kuongelea uchaguzi wa 2022 miaka 3 iliyopita.
Rais Samia anaongelea uchaguzi wa 2025 leo. Nchi haina dira yoyote bali ni kusikiliza kelele huku na huko na kuzifanyia kazi, imaendeshwa kwa matukio.
Kwenye demokrasia Serikali inatapanya mali, inakopa na kufuja ikijua kesho mzigo wa deni siyo wake. Ndiyo maana kila utawala mpya ukiingia utakuta unalalamika hazina imekombwa.
Tungerudi tu kwenye chama kimoja. Au tukae chini tuumize vichwa tuje na utaratibu mwingine na si demokrasia. Demokrasia ni uongo.
Kwanza kuwepo tu kwa uchaguzi si kionyeshi kwamba kuna demokrasia, hata kama ni wa haki kiasi gani. Zamani huko Ulaya kulikuwa na wafalme wa kuchaguliwa...hata kwenye chama kimoja kuna mfumo wake wa uchaguzi na demokrasia.
..labda tungerudi kwenye UTEMI / UCHIFU ambao ndio utawala wa asili wa Waafrika.
..Na kwenye Utemi hakuna mambo ya uchaguzi, watawala hurithishana kindugu/kiukoo.
..Tukirudisha Utemi na Uchifu Watz tutakuwa na muda mwingi zaidi wa kufanya kazi badala ya kupoteza muda kwenye mambo ya uchaguzi.
Unachukua muda mrefu na mazingira yake ili umature ni special sana. Haikomai popote. Kweli hakuna mfumo mbadala kwa sasa. Na ubaya wa mifumo hii hujizalisha yenyewe baada ya mmoja kushindwa. Labda, kama nilivyosema, tukae chini tuumize vichwa. Vinginevyo tusubiri mfumo huu utufelishe, uje mwingine.Democracy is ugly and takes time to mature,ila wewe una mfumo gani wa mbadala dunia hii?
Hakuna mfumo mbadala wa Democracy ndugu...
mengine ya kidikteta peleka makaburini huko kwa lile limfu zoefu

Na inahitaji watu walioelimika hasa.Kiufupi demokrasia ni suitable kwa nchi zilizoendelea (boom stage), yaani hawana shida wanaamua kufanya madaraka kama mchezo tu.
Ila sio suitable kabisa kwa nchi zetu hizi tutasubili sana .
Demokrasia haikuwahi kuwa chanzo wala na mchango katika maendeleo ya kiuchumiSera mbaya zinachangiwa na kutokuwa na demokrasia. Sasa utakuwaje na sera nzuri kama watunga sera wote wanachaguliwa na mtu mmoja !. Hata kujadili mabadiliko ya katiba hayaruhusiwi sasa tutarekebisha vipi hizo sheria
Nimeleta uzi kuwaeleza watu kuwa demokrasia ina shida kama tu mfumo wa kifalme na udikteta. kuwa afadhali yq mifumo mingine, Demokrasia inaahidi kuleta vitu isivyoweza, demokrasia ni kiinimacho.Is democracy perfect?
No,far from it!
Kuna mfumo wa mbadala?
No,hakuna!
Hivyo you live and die with the system mpaka pale wanadamu tutakapokua na akili kubwa kutunga mfumo mpya kabisa!
Haya malalamiko unayoyaleta hapa ni cry-me-a-river na wastage of time tu!
Wewe ulidhani democracy ni perfect system?No and now you know!
Kaa kwa kutulia!
Demokrasia inapacify tu watu wajione wako na control. Na ukatili na mauajimkuu
mifumo unayosemea ishafanyika hapa duniani na atrocities zake ni kubwa,dont even talk about them
Inashangaza u thinki this way aisee
Mifumo inayo confiscate human freedoms and their lives to someone who is allowed to do anything with your breathing ni dangerous beyond imagination
Ndio unawaza huu upumbavu?
Lakini ppl have the right to be stupid wanavyotaka,hey knock yourself out man!
Chama kwani kina kazi gani? Serikali tuseme inatosha bila chama! Vyama viliunganisha watu kudai Uhuru tu!Demokrasia imekuwa kitu cha hovyo sana kinachorudisha nchi nyuma, hasa nchi za kiafrika. Wanasiasa hawawazi tena maendeleo bali wanawaza jinsi ya kuingia madarakani na jinsi ya kubaki madarakani. Hakuna anayejali maslahi ya nchi. Kenya walianza kuongelea uchaguzi wa 2022 miaka 3 iliyopita.
Rais Samia anaongelea uchaguzi wa 2025 leo. Nchi haina dira yoyote bali ni kusikiliza kelele huku na huko na kuzifanyia kazi, imaendeshwa kwa matukio.
Kwenye demokrasia Serikali inatapanya mali, inakopa na kufuja ikijua kesho mzigo wa deni siyo wake. Ndiyo maana kila utawala mpya ukiingia utakuta unalalamika hazina imekombwa.
Tungerudi tu kwenye chama kimoja. Au tukae chini tuumize vichwa tuje na utaratibu mwingine na si demokrasia. Demokrasia ni uongo.
Demokrasia imekuwa kitu cha hovyo sana kinachorudisha nchi nyuma, hasa nchi za kiafrika. Wanasiasa hawawazi tena maendeleo bali wanawaza jinsi ya kuingia madarakani na jinsi ya kubaki madarakani. Hakuna anayejali maslahi ya nchi. Kenya walianza kuongelea uchaguzi wa 2022 miaka 3 iliyopita.
Rais Samia anaongelea uchaguzi wa 2025 leo. Nchi haina dira yoyote bali ni kusikiliza kelele huku na huko na kuzifanyia kazi, imaendeshwa kwa matukio.
Kwenye demokrasia Serikali inatapanya mali, inakopa na kufuja ikijua kesho mzigo wa deni siyo wake. Ndiyo maana kila utawala mpya ukiingia utakuta unalalamika hazina imekombwa.
Tungerudi tu kwenye chama kimoja. Au tukae chini tuumize vichwa tuje na utaratibu mwingine na si demokrasia. Demokrasia ni uongo.
Kama mfumo unaruhusu matatizo kwa karibu bara zima basi haufai kabisa. Au hautufai kabisa. Na si Africa tu, huko South Amerika na South East Asia shida tupu.
vipi hilo bunge la chama kimoja mafanikio ya utendaji wake???Demokrasia imekuwa kitu cha hovyo sana kinachorudisha nchi nyuma, hasa nchi za kiafrika. Wanasiasa hawawazi tena maendeleo bali wanawaza jinsi ya kuingia madarakani na jinsi ya kubaki madarakani. Hakuna anayejali maslahi ya nchi. Kenya walianza kuongelea uchaguzi wa 2022 miaka 3 iliyopita.
Rais Samia anaongelea uchaguzi wa 2025 leo. Nchi haina dira yoyote bali ni kusikiliza kelele huku na huko na kuzifanyia kazi, imaendeshwa kwa matukio.
Kwenye demokrasia Serikali inatapanya mali, inakopa na kufuja ikijua kesho mzigo wa deni siyo wake. Ndiyo maana kila utawala mpya ukiingia utakuta unalalamika hazina imekombwa.
Tungerudi tu kwenye chama kimoja. Au tukae chini tuumize vichwa tuje na utaratibu mwingine na si demokrasia. Demokrasia ni uongo.
Hao wapo nchi kama Tanzania ambapo kuna demokrasia ya midomoni, kiuhalisia ilisha bakwa miaka mingi.Mbona kuna viongozi wa kidemokrasia wanajilimbikizia mali kibao. Tena nchi za kidemokrasia ndiyo vinara wa ufisadi na sera mbovu. Sera zisizosaidia kabisa wananchi.
Ni ajabu, lakini kuna "akili" ndani ya bandiko lako linaloonyesha hali ya kukata tamaa kuhusu uwezekano wa demokrasia hapa Afrika.Demokrasia imekuwa kitu cha hovyo sana kinachorudisha nchi nyuma, hasa nchi za kiafrika. Wanasiasa hawawazi tena maendeleo bali wanawaza jinsi ya kuingia madarakani na jinsi ya kubaki madarakani. Hakuna anayejali maslahi ya nchi. Kenya walianza kuongelea uchaguzi wa 2022 miaka 3 iliyopita.
Rais Samia anaongelea uchaguzi wa 2025 leo. Nchi haina dira yoyote bali ni kusikiliza kelele huku na huko na kuzifanyia kazi, imaendeshwa kwa matukio.
Kwenye demokrasia Serikali inatapanya mali, inakopa na kufuja ikijua kesho mzigo wa deni siyo wake. Ndiyo maana kila utawala mpya ukiingia utakuta unalalamika hazina imekombwa.
Tungerudi tu kwenye chama kimoja. Au tukae chini tuumize vichwa tuje na utaratibu mwingine na si demokrasia. Demokrasia ni uongo.
Watu wanachekesha demokrasia gani unaiongelea wakati kura zimeibiwa na uchaguzi unapagwa!. Yaani kwa akili yako kuna demokrasia Tanzania!. Tanzania tunataka kuwa na demokrasia lakini haipo bado! wananchi kukutana na kuongelea katiba hairuhusiwi.... kuongelea katiba!!!. Ni visingizio tu kuna nchi zina maendeleo sana na zina demokrasia