Demokrasia inavyohujumiwa CCM. Mwenyekiti hana mshindani


Tusingependa kumpoteza “mzalendo “ mwingine for the sake of arguments!

Chief, Hebu kata mzizi wa fitna, tupatie hapa kipengele cha katiba ya ccm kuhusiana na vile chairman anapatikana, please.

Thank you...
 

Kuitana kama chama na kujiridhisha ni kwanini fulani ndio awe mwenyekiti kwa mujibu wa Katiba yenu imekaa njema na inasaidia! Kama kuna watema nyongo wateme!

Kuna ulazima gani wa mwenyekiti kuwepo katika vikao vinavyoendelea iwapo tayari amekabidhi mamlaka (na msimamo wake) kwa msaidizi wake chamani? (Kikao cha CCM jumamosi)
 

Tufaidishe kiduchu na historia ya ANC na South Africa kwa ujumla Chief!

Wametoka wapi? Wapo wapi? Wanaenda wapi? Wanatamani kwenda wapi???

...
 
CCM wanatumia dola kuikalia Tanzania kimabavu..
Marehemu wetu huyu kama kweli Mungu yupo na zile amri 10 alizompa Mussa bado zinafanya kazi zotee...aisee kama si kuni muda muda huu basi ni sufuria.


Alhamdulilah Mungu sio Mtu wala Mzungu!
 
Chama ni taasisi inayojitegemea ikiwa na wanachama wake na uraisi pia ni taasisi inayojitegemea pia ikiongoza taifa kwa ujumla wake kupitia chama Fulani its better mwenyekiti wa chama awe mwngne tofauti na Raisi.

Itakapotokea chama cha Rais aliyepo mamlakani kwenda kinyume kabisa na Katiba na Sheria za nchi kwa mujibu wa mwenyekiti, inakuaje Chief?
 

Chief, kutoka ndani kabisa ya Roho yako iliyo hai, inawezekana chama chochote kinachotoa Rais na kupata easy access to National resources, hakitozitumia?
 

Let’s dig on (almost) an equal issue! Almost!

Hebu tuangalie nini chanzo, utatuzi then suluhisho!

 
Itakapotokea chama cha Rais aliyepo mamlakani kwenda kinyume kabisa na Katiba na Sheria za nchi kwa mujibu wa mwenyekiti, inakuaje Chief?
Kwa vyo vyote vile lazima mwenyekiti achukuliwe hatua za kisheria na kwa hili halitaathiri utendaji kazi wa Rais.
 
Tufaidishe kiduchu na historia ya ANC na South Africa kwa ujumla Chief!

Wametoka wapi? Wapo wapi? Wanaenda wapi? Wanatamani kwenda wapi???

...
Niktu kpana sana muda nishida

Kubwa na lamana Tanzania tupate katiba mpya,ndomwarobaini na ikatae rais kua kiongozi wachama Ila awe nanafasi moja tu ya uanachama.....KOFIA MBILI niushauri pengine baba wataifa alipewa ushauri na mzee mzena kulinda yaliyokua yanajitokeza kwawakati huo....Na ndoma unakuta vyombo vyadola vinahusika kwenye kila eneo liwe ovu au zuri ,yote kwakua option ya KOFIA MbiLi
 
yes hakika umenena...umegusia mbowe pamoja na kuwa mwenyekiti wa muda mrefu wa CHADEMA lakini anapigiwa kura,ila hujataka kugusia wale wanaojitokeza kugombea kiti chake hicho huwa wanakutwa na nini,mengine nakubaliana na wewe
 
Kinachojalisha ni kufanyika kwa uchaguzi huru na haki na siyo usimikaji kama wa kichifu!
Umewauliza CCM juu ya katiba yao? Unajua nani anatakiwa kupiga kura?

Ukishajipa ubora wa chama chako, wakati kuna mambo ya hovyo, ujue hutaweza kujirekebisha. Vyama hivi vina mengi ya hovyo hovyo! Usijipe faraja, eti CHADEMA nafuu, nafuu itoke wapi wote hovyo tu! Angalia hata ubora wa viongozi wakuu wa vyama. Huo ndo ubora wa kitaifa huo?
 
Kwa vyo vyote vile lazima mwenyekiti achukuliwe hatua za kisheria na kwa hili halitaathiri utendaji kazi wa Rais.

Lazima litaathiri utendaji kazi wa Rais kwa maana wakubwa zake chamani wakilipeleka chama chake mrama yeye atabakije Imara?

Atajitoa Chamani?
Ataendelea kuwa Rais bila kuwa ndani ya chama?

Sheria zetu/Katiba yetu inaruhusu mgombea/Rais binafsi asiye na chama?
 
Huyu Jamaa inaelekea hajui, muelimishe pamoja na wengine kwa kumuwekea vifungu hapa ili wasiipotoshe jamii
 
Kama tutatengeneza katiba isiyoegemea maslahi ya watu fulani tunaweza kuwa na taasisi zisizoyumbishwa na serikali ikabaki imara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…