Ni nchi gani uliwahi kuona maandamano yasiokuwa na fujo na uporaji kwa nchi za Afrika(isipokuwa za Kiarabu)
Kwa mtz ambaye yuko bize na mishemishe zake hawezi kukubali maandamano hata siku moja sababu mambo yatakwama mengi na hasara juu.
Angalia kwa jirani zetu Kenya [emoji1139][emoji116]
Waporaji na wezi wamevamia wakazi mitaa mbalimbal…:
Ni nchi gani uliwahi kuona maandamano yasiokuwa na fujo na uporaji kwa nchi za Afrika(isipokuwa za Kiarabu)
Kwa mtz ambaye yuko bize na mishemishe zake hawezi kukubali maandamano hata siku moja sababu mambo yatakwama mengi na hasara juu.
Angalia kwa jirani zetu Kenya 🇰🇪👇
Waporaji na wezi wamevamia wakazi mitaa mbalimbal…:
Ukishasema UK na US hao ndio wenye demokrasia yao sisi tunalazimishwa tuMaandsmano yapo duniani kote na sasa tunashuhudia vurugu na sekeseke la kupandishiwa Umri wa kustaafu France
Ila fujo zao wameiba mpaka McDonald's
Kuna nchi na nchi ila kwa Africa wanaiba kwa sababu wamezoea wizi sana, yaani anamhesabu mfanyabiashara anawaibia kwa kuwaletea hudumu karibu that's a shame
[emoji636] wanaandamana ila kupora nilishuhudia mara tu kitambo
Mark Dugan alipigwa risasi na polisi Tottenham kijana alikuwa black
Maandamano yalikuwa ya amani kutaka kujua kwanini kijana kauwawa bila kosa?
Maandamano yaliendelea na polisi wakaanza kutawanya watu kwa nguvu na ikumbukwe Tottenham wamejaa Black vurugu zikaanza wakaanza kuiba karibu biashara 2600 na wakaanza kuiba mpaka makazi ya watu 231, watu 664 waliibiwa au kunyang'anywa vitu vyao kama mikoba , pochi na simu, hela
Hiyo ilisababisha yafanyike katika miji mingi UK
Ila maandamano mengi sana ni ya amani hapa [emoji636]
Amani ni raha sana
Wenzetu jirani leo wanauwa kwa manati
Ukishasema UK na US hao ndio wenye demokrasia yao sisi tunalazimishwa tu
Mkuu ni tabia za watu na watu hawa wanafundishwa tangu wadogo kwa vitendoUkishasema UK na US hao ndio wenye demokrasia yao sisi tunalazimishwa tu
Tatizo wanajihusisha na madawa na ujambaziNimegundua pia visa vingi US vya polisi na raia weusi ukorofi unachangia pia
Sana mkuuFikra mbaya sana hizi, ndio maana wengi wanauawa