KWA SABABU SEIF ALIMCHONGEA JUMBE KWA NYERERE HIYO NDIO SABABU YA KUHALALISHA UBAKWAJI WA DEMOKRASIA? HIVI HUKO CCM HAKUNA WATU WAMEFANYA MAOVU NA BADO WAPO SERIKALINI? KWANI HAYO MAJIPU ANAYOSIFIWA MAGUFULI KUTUMBUA YAMETOKA NA YAMETOKANA NA NINI? KWANI ANAPOSEMA KWAMBA NCHI WATU WACHACHE WAMEIENDESHA VIBAYA NA KUWANYONYA WANANCHI HAO WATU NI WA CHAMA GANI?Hakuna Demekrasia katika ulimwengu huu hilo liko wazi mkuu… wazungu wanatuhubiria tu lakin angalia america kwa Trump ndio utapata jibu… lakini hata hivo mi.nasema malipo ni hapahapa duniani … huyu Seif munaemlilia leo ndiye huyuhuyu aliyeenda kumchoma.Mh Aboud Jumbe kwa Mh Nyerere baada ya Aboud Jumbe kutaka kupeleka shauri mahakaman kuhoji juu ya muungano wetu na Seif aliiba zile nyaraka zote ambazo Aboud Jumbe aliziandaa na.kupeleka kwa Nyerere ilimradi tu awe karibu na Nyerere ampatie kiti ila kwa bahati mbaya naue alishaonekana nasura ya kinafikhi… Nyerere akafanya juu chini Aboud Jumbe akavuliwa uanchama ndani ya CCM na uraisi akaukosa rasmi yote hayo Seif sasa.leo Seif acha naww wakusurubu leo
Nani kasema hivo? Nimekuambia malipo ni hapahapa dunia muache naye ale zake za uso kwa mtindo wake alafu usinindikie kwa CAPS tena kutisha banahKWA SABABU SEIF ALIMCHONGEA JUMBE KWA NYERERE HIYO NDIO SABABU YA KUHALALISHA UBAKWAJI WA DEMOKRASIA? HIVI HUKO CCM HAKUNA WATU WAMEFANYA MAOVU NA BADO WAPO SERIKALINI? KWANI HAYO MAJIPU ANAYOSIFIWA MAGUFULI KUTUMBUA YAMETOKA NA YAMETOKANA NA NINI? KWANI ANAPOSEMA KWAMBA NCHI WATU WACHACHE WAMEIENDESHA VIBAYA NA KUWANYONYA WANANCHI HAO WATU NI WA CHAMA GANI?
NITAANGALIA TBC WEWE UNAFIKIRI WATU WOTE WANAISHI TANZANIA? MIMI SIPO TZ NAISHI ILLINOIS USA HIVI SASA NI SAA 2:36Angalia TBC sasa hivi umsikie Shibuda, utaelewa maana ya demokrasia!
Tune sasa hivi.
WHY DID YOU COMMENT ON MY THREAD? YOU CAN'T TEACH ME WHAT TO DONani kasema hivo? Nimekuambia malipo ni hapahapa dunia muache naye ale zake za uso kwa mtindo wake alafu usinindikie kwa CAPS tena kutisha banah
Ndani mwa vyama vyetu wenyewe hakuna demokrasia alafu tukitoka nje tunajifanya kulilia demokrasia na unafikh wetu
Hao ni wale wa Chama Cha Majambazi ambacho kindiriki kufuta uchaguzi kisa wameshindwa.Wengine uchaguzi ni huru na haki wanaposhinda tu
Makamba Zanzibar kenda Fanya nini mzee wa IT shidaa
We kweli zuzu!! Hata ukiambiwa uchague kubakwa na amani nahc utachagua.......Nikiambiwa kuchagua Demokrasia au Amani na Usalama nitachagua amani na Usalama kama walivyochagua Wa Zanzibari leo
MJINGA NA MWENYE UFINYU WA MAWAZO ATAKUWA WA KWANZA KUBISHA AU KUPINGA UKWELI HUU ULIO WAZI WA FIKRA ZA CCM NA SERIKALI YAKE.
UKIFATILIA KWA KARIBU NA HATA KUULIZA MWANACHAMA, AU MSHABIKI EIDHA VIONGOZI WA CCM NA SERIKALI YAKE KUWA MAANA YA DOMEKRASIA NI NINI WATAKUAMBIA NI CCM KUENDELEA KUTAWALA HATA KWA KUMWAGIKA DAMU YA WATANZANIA BADO WATAITA DEMOKRASIA. NI NANI MWENYE UJINGA NA MWENYE AKILI FINYU ATAPINGA KUWA TANZANIA HAKUNA DEMOKRASIA HASA KILICHOTOKEA ZANZIBAR KIMEONYESHA WAZI BILA WANANCHI KUJITOA MUHANGA NA KUPINGA UONEZI UNAOFANYWA NA CCM KAMWE MAAMUZI HURU YA WANANCHI HAYATAHESHIMIWA.
MAKAMBA ALIPOKUWA ANAHOJIWA NA TBC AMEISHIA KUJIKANYAGA KUJIBU MASWALI MEPESI SANA JE HII NDIO DEMOKRASIA? YEYE ANASEMA KWAMBA WENZETU WAMEAMUA KUJITOA WENYEWE.....
TANZANIA HAKUNA DEMOKRASIA