pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,034
- 15,246
Sio bure akili yako ni mchanganyiko wa vitu 3, utasa wa kufikiri, Bange na umaskini wa akili.Nikiambiwa kuchagua Demokrasia au Amani na Usalama nitachagua amani na Usalama kama walivyochagua Wa Zanzibari leo
Mbona hueleweki? Ulichoandika unajichanganya mwenyewe!Maada yako imekuwa haian nguvu maana hujataka tujadili demokrasia kwa mapana na mifano, umelenga watu wachache tu
1. niambie kanisa au msikiti wenye demokrasia
2. niambie vyama vya siasa ambao viongozi wake wanapatikana kwa demokrasia
3. niambie demokrasia makazini i[o?
ukishapata majibu utakuja kugundu, kwa dunia ya tatu hatuna neno demokrasia, kuna kupata nafasi na kulalamikia demokrasia unapokosa nafasi!!
muulize mbowe ataachia lini uongozi wa CDM?? muulize mbatia, mrema, n.k
njoo CCM waulize kwa nini demokrasia haikutumika kumpata mgombea urais??
umeongea jambo kubwa bila kujua umewaza uwanja mdogo kwa fikra zako za kuichukia CCM
tuna tatizo kubwa rafiki waafrika wote!! achilia mbali CCM
It is impossible to think the same way you think. Kama unataka nifikiri kama unavyofikiri ndio unaweza kuamini mada niliyoianzisha ni kubwa basi utakuwa umekosea kidogo. mimi sina chuki na ccm maana nilishajivua kuishi kinafiki ni bora mtu aniambie hapana kuliko kuishi na watu wanaosema uongo kila siku..wenyewe wachochee uvunjifu wa amani halafu wanawaitia polisi kuwakamata na kuwapiga ...Nilishindwa kwahiyo nilishatoka Tanzania muda mrefu rafiki.Maada yako imekuwa haian nguvu maana hujataka tujadili demokrasia kwa mapana na mifano, umelenga watu wachache tu
1. niambie kanisa au msikiti wenye demokrasia
2. niambie vyama vya siasa ambao viongozi wake wanapatikana kwa demokrasia
3. niambie demokrasia makazini i[o?
ukishapata majibu utakuja kugundu, kwa dunia ya tatu hatuna neno demokrasia, kuna kupata nafasi na kulalamikia demokrasia unapokosa nafasi!!
muulize mbowe ataachia lini uongozi wa CDM?? muulize mbatia, mrema, n.k
njoo CCM waulize kwa nini demokrasia haikutumika kumpata mgombea urais??
umeongea jambo kubwa bila kujua umewaza uwanja mdogo kwa fikra zako za kuichukia CCM
tuna tatizo kubwa rafiki waafrika wote!! achilia mbali CCM
It is impossible to think the same way you think. Kama unataka nifikiri kama unavyofikiri ndio unaweza kuamini mada niliyoianzisha ni kubwa basi utakuwa umekosea kidogo. mimi sina chuki na ccm maana nilishajivua kuishi kinafiki ni bora mtu aniambie hapana kuliko kuishi na watu wanaosema uongo kila siku..wenyewe wachochee uvunjifu wa amani halafu wanawaitia polisi kuwakamata na kuwapiga ...Nilishindwa kwahiyo nilishatoka Tanzania muda mrefu rafiki.
Nilichoandika ndicho ninachoamini kuwa wavurugaji wa demekrasia ni ccm hata kama unataja vyama vingine,lakini umesahau kama ccm ndio waliozaa vyama vyote hivyo kwahiyo vinaiga ile tabia ya baba yao.....
ILA UJUE WAZI KWAMBA CCM NDIO WAVUNJA DEMOKRASIA NA WAVUNJA AMANI YA TANZANIA SEMA TU WAPINZANI HAWAJAAMUA KUDAI HAKI KWA NGUVU EIDHA WANAOGOPA AU BADO WAKATI
Uko sahihi bro ! Ila mara nyingi ninapo weka jambo kuhusiana mfumo,mwenendo au taaluma fulani huwa nalenga katika misingi. Kwani husemwa ya kuwa kutokana na misingi hujengwa mambo kadha wa kadha.Zurri Mada kama hizi, inabidi uanze na definition, ili mtu anapojibu, tuwe tunaongelea kitu kimoja na si vitu viwili au zaidi tofauti.
Mathalani, kuna definitions tofauti za demokrasia, kuna ile inayosemademokrasia ni utawalawa watu, uliowekwa na watu, kwa ajili ya watu.
Mapungufu ya mfumo huu ni kwamba, kamawatu ni wajinga, wanaweza kuchagua uongoziwa kijinga, wakadumu katika ujinga bila maendeleo.
Hapo hapo, kuna wengine wanasema, demokrasia nipana zaidi ya mfumo wa utawala wa watu, uliowekwa na watu, kwa ajili ya watu. Ili demokrasiaiwepo,kunatakiwa kuwepona mambo mengine, kamaupatikanaji wa habari, elimu, utawala bora, haki za binadamu etc.
Katikamfumohuu wa pili, ambaounataka elimu iwe sehemu ya demokrasia, kusema mapungufu ya demokrasia ni pale watu wajinga watakapochagua utawalakijinga hauwezi kusimama.
Kwahiyo, utaona kwamba, uchambuzi wa mapungufu ya demokrasia unategemea na definition gani ya demokrasia unatumia.
Mimi nakrudi niliposema.Uko sahihi bro ! Ila mara nyingi ninapo weka jambo kuhusiana mfumo,mwenendo au taaluma fulani huwa nalenga katika misingi. Kwani husemwa ya kuwa kutokana na misingi hujengwa mambo kadha wa kadha.
Ama kuhusu maana,hapa leo nataka nitoe faida kidogo juu ya tamko MAANA,japokuwa kuna mada hasa niliwahi kuiweka hapa nikauliza "NI NINI MAANA YA MAANA ?" au kama nilivyoandika katika mada hiyo.
Maana ya maana ni kuruhusu kuingia yale yote yahusuyo jambo au tendo au neno husika na kuzuia kuingia yale yote yasiyo husika katika jambo husika. Nini namaanisha hapo,mathalani katika tamko Demokrasia hapo nimemaanisha yaingie yale yote yahusuyo dmokrasia na kuzuia kuingia yale yote yasiyo husu demokrasia.
Tukirudi katika ombi lako,ambalo kwalo nimelidodosa kidogo hapo juu. Mimi nimejikita katika misingi. Najua kabisa katika hizo maana ulizozitoa kuna jambo au sifa anuai za demokrasia sifa ambazo zinaitofautisha na mifumo mingine.
Au kwa kuliweka wazi hilo na ili nieleweke kirahisi zaidi ni kuwa hawa nazungumzia Siasa za Kidemokrasia.
Kwa maneno hayo mafupi naomba uendelee kutupa faida juu ya mada husika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kadhalika mimi pia hujanielewa vyema bro ! Ninaposema misingi ya jambo yaani humo taarifu (definitions) zote hazitok isipokuwa humo humo katika misingi hiyo.Mimi nakrudi niliposema.
Naona kama hujanielewa.
Nimesema hivi,
1.Neno "demokrasia" linaweza kuwa na maana nyingi tofauti.
2. Kama hatujawa makini, ku define "demokrasia" maana yake ni nini, na ipi tunayoiongelea, tunaweza tusielewane, kwa kuwa tutakuwa tunaongelea vitu viwili tofauti
3. Ili kuepuka mgongano wa kujadili nyekundu wakati tunaiita bluu na bluu wakati tunaiita nyekundu, inabidi kabla ya mjadala, tu define tunaongelea nini tunaposema tunaongelea demokrasia.
Kwa mfano, kwa definition ya demokrasia ya "utawala wa watu, kwa ajili ya watu, uliowekwa na watu" aliyoitoa Abraham Lincoln, demokrasia inaweza kuwa utawala mbaya, kwa sababu kama watu ni wajinga na wanachagua uongozi kijinga, na viongozi wanwaacha wawe wajinga, hiyo sehemu itazidisha ujinga tu.
Lakini kuna definition ya demokrasia iliyoenda kwa kina zaidi kuhusu hiyo ya Lincoln, inayosema kwamba, bila ya watu kuwa na elimu, uhuru wa habari, usawa chini ya sheria, haki za binadamu etc, huwezi kuwa na demokrasia.
Utaona kwamba, kwa definition ya pili, huwezi kusema kwamba demokrasia ina upungufu kwa sababu ya ujinga kuweza kuchagua uongozi mbovu. Ujinga ukiwepo sana hapo hatuhesabu kwamba kuna demokrasia. Mtu mjinga akipewa nafasi ya kuchagua, atachaguaje wakati hana ujanja wa kfanya uchaguzi sahihi?
Ukiulizwa "Tanzania ina demokrasia?" unaweza kujibu ndiyo kwa definition ya kwanza (in theory watu wanachagua viongozi wao), na hapana kwa definition ya pili (kuna ujinga mwingi, wizi wa kura mwingi, udikteta mwingi, uvunjwaji wa haki za binadamu mwingi, hakuna uhuru wa kujieleza na uhuru wa habari etc).
Sasa hapa, ili kujadili, inabidi wote tuelewane pamoja.
Tubaongelea demokrasia kwa definition gani?
Maana swali moja kama "Je, tanzania ina demokrasia?" linaweza kuwa na majibu tofauti, kutegemea na definition yetu ya demokrasia tunayoitumia.