Demokrasia ni adui wa maendeleo

Demokrasia ni adui wa maendeleo

Unamaanisha nini unaposema watu WOTE wana mamlaka ya kuamua nchi iendeshwaje??

Marekani, Uingereza na South Korea watu WOTE wanaamua nchi iendeshwaje?
Ndiyo. Moja kwa moja au kupitia wawakilishi
 
Hakuna nchI duniani ambayo ilianza kuwa na demokrasia na ikawa tajiri,,,,ncholi zote zimeanza na udikteta kwanza ndo zikaamua baadae kuwa na demokrasia,,,,nchi za kiafrika nyingi zimefeli kwenye demokrasia(political)ndo maana migogogoro mingi sana hasa kwenye uchaguzi
 
Mfano wa nchi gani ambazo kwako zimekuwa na Demokrasia zikapatwa na hizo changamoto?
Specifics za maelezo ya nchi haziwezi kupatikana popote ila changamoto za demokrasia zinajulikana. Ila mfumo wa nchi na nchi hutofautiana. Demokrasia huhitaji michakato wa wazi, siasa safi na Uhuru wa maoni ili kufanikiwa. Demokrasia kama Marekani na Uingereza ni nzuri Sana ila benovalent dictatorships kama Urusi na China pia zimefanikiwa
 
Sasa utasemaje Demokrasia ni adui wa maendeleo kama huna mfano specific wa nchi hata moja?! Rejea yako ni nini hasa hadi useme Demokrasia ni kikwazo cha maendeleo?! Au ni "trust me bro" tu??
 
Mfano mzuri ni Tanzania.

We are better off ecoomically now than 40 years ago ambapo tulikuwa hatuja-adopt huu mfumo wa demokrasia.

Anglia after the fall of the Soviet Union. Nchi zote zilizo-adopt democracy zina maendeleo makubwa sana compared na zamani wakati wa dictatorship

Baltics, Hungary, Czech, Slovakia, Chile, Estonia Costa Rica etc.

Hizi n baadhi ya nchi ukiangalia before aingie kwenye democracy na baada mambo ni tofauti sana.
Chile itoe. Ilipiga hatua kubwa ya maendeleo wakati wa dikteta Pinochet. Pia former soviet countries ziliendelea sababu ya kuadopt Market Economy, si sababu ya kuingia kwenye demokrasia. Hata China ilipoadopt market economy(Bila kuachana na utawala wa chama) ikapiga hatua hadi kufika ilipo sasa. Pia nyingi ulizotaja hapo hazikuwa masikini.
 
Kwa mafano hapa Tanzania ni familia gani au kabila gani unaona inafaa itutawale kifalme kama UAE au QATAR ili tupate maendeleo makubwa?
Unaweza kukubali Wachaga Warombo wawe kabila la kifalme kutuletea maendeleo makubwa?
Kwanini Umetolea mfano wa Chaga mbona makabila yapo mengi Sana , nimefuatilia mjadala vyema Nimeona wote maoni yenu , nakubaliana na wanao ipinga demokrasia at the same time Nina kubaliana na wanao itaka demokrasia iwepo ,

Tatizo kubwa lilipo Africa ukiachana na Hiyo mifumo tajwa ya utawala ni kukosa Viongoz wenye Uzalendo wa dhati Viongoz wenye vision Bora na nchi zetu husika , Tunaviongozi wengi ambao wapo madarakani Kwa sababu ya interest zao binafsi na makundi Yao kiasisa zaidi kuliko interest za kitaifa , Endapo kama tukiachana na democracy Halafu tukapata Viongoz wenye Maono ya ukombozi kama kina xi jing- pi basi Suala la kupiga hatua za maendeleo litakuwa ni Jambo La kawaida Sana tofauti na hapo ni kazi bure
 
Sasa utasemaje Demokrasia ni adui wa maendeleo kama huna mfano specific wa nchi hata moja?! Rejea yako ni nini hasa hadi useme Demokrasia ni kikwazo cha maendeleo?! Au ni "trust me bro" tu??

Sasa utasemaje Demokrasia ni adui wa maendeleo kama huna mfano specific wa nchi hata moja?! Rejea yako ni nini hasa hadi useme Demokrasia ni kikwazo cha maendeleo?! Au ni "trust me bro" tu??
Nchi zinatakiwa zichague benovalent dictatorship au demokrasia kulingana na uimara wa mifumo yake. Hiyo ndio hoja yangu
 
Ndio maana marekani wako nyuma kimaendeleo.
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Chile itoe. Ilipiga hatua kubwa ya maendeleo wakati wa dikteta Pinochet. Pia former soviet countries ziliendelea sababu ya kuadopt Market Economy, si sababu ya kuingia kwenye demokrasia. Hata China ilipoadopt market economy(Bila kuachana na utawala wa chama) ikapiga hatua hadi kufika ilipo sasa. Pia nyingi ulizotaja hapo hazikuwa masikini.

They did both wali-adopt free market economy na wa katika kwenye mfumo waliokuwepo wakaingia kwenye demokrasia.

Mfano yangu inakukera ndo maana huitaki.

Kama nakupa hadi mifano unaikataa sina cha kukusaidia

Meanwhile wewe hata tukikuuliza ungependelea mfumo gani apart from democracy as you said huko juu. HUJUI.
 
Kwanini Umetolea mfano wa Chaga mbona makabila yapo mengi Sana , nimefuatilia mjadala vyema Nimeona wote maoni yenu , nakubaliana na wanao ipinga demokrasia at the same time Nina kubaliana na wanao itaka demokrasia iwepo ,

Tatizo kubwa lilipo Africa ukiachana na Hiyo mifumo tajwa ya utawala ni kukosa Viongoz wenye Uzalendo wa dhati Viongoz wenye vision Bora na nchi zetu husika , Tunaviongozi wengi ambao wapo madarakani Kwa sababu ya interest zao binafsi na makundi Yao kiasisa zaidi kuliko interest za kitaifa , Endapo kama tukiachana na democracy Halafu tukapata Viongoz wenye Maono ya ukombozi kama kina xi jing- pi basi Suala la kupiga hatua za maendeleo litakuwa ni Jambo La kawaida Sana tofauti na hapo ni kazi bure
Nimikutolea mfano wa wachaga kwa sababu ndio wanasifika katika biashara na maendeleo Tanzania kwa hiyo labda wakiwa wafalme tutapiga hatua kubwa sana za maendeleo
Au Unafikiri kabila gani linafaa kutuongoza katika utawala wa Kifalme? Wakinga, Wasukuma, Wanyakusa n.k?
 
Tangu Afrika ianze mpaka 1970s kulikuwa hamna demokrasia na maendeleo pia hayakuwepo.

Kwa sababu umasikini hadi leo ni wa kiwango cha juu sana.

So we know for a fact dictatorship sio tiba ya umasikini wa Afrika.

Una-suggest mfumo gani ukiweka kando democracy?
 
Kabila lolote Kati ya hayo but I believe wakinga ni Bora zaidi --- kwa Sababu rate Yao ya ubinafsi ni ndogo compared na wachaga
 
Nchi zinatakiwa zichague benovalent dictatorship au demokrasia kulingana na uimara wa mifumo yake. Hiyo ndio hoja yangu
Kwenye dictatorship hakuna hata uchaguzi? Kwa mfano leo CCM, CHADEMA na ACT unafikiri wakina nani wanaweza kugombea katika hivyo vyama tumchague kama benovalent dictator mwakani ili nchi itawalike katika mfumo wa benovalent dictatorship?
 
They did both wali-adopt free market economy na wa katika kwenye mfumo waliokuwepo wakaingia kwenye demokrasia.

Mfano yangu inakukera ndo maana huitaki.

Kama nakupa hadi mifano unaikataa sina cha kukusaidia

Meanwhile wewe hata tukikuuliza ungependelea mfumo gani apart from democracy as you said huko juu. HUJUI.
Mifano yako ni dhaifu sana. Unakuwa unaangalia mambo kijuu juu. Mimi sijitii kujua mfumo unaotufaa. Ninachofahamu, kutokana na ushahidi ni kuwa demokrasia ni adui wa maendeleo; ni rahisi kuendelea chini ya udikteta na ufalme au utawala wa chama kuliko chini ya demokrasia. Nataka tukae chini tutafute mfumo utakaotufaa.
 
Tangu Afrika ianze mpaka 1970s kulikuwa hamna demokrasia na maendeleo pia hayakuwepo.

Kwa sababu umasikini hadi leo ni wa kiwango cha juu sana.

So we know for a fact dictatorship sio tiba ya umasikini wa Afrika.

Una-suggest mfumo gani ukiweka kando democracy?
Nina shauri Mfumo Wa kifalme kama UAE na Qatar but huo mfumo haupaswi kuwa valid mpaka tuwaandae watu wetu waweze kuwa na vision Bora zitakazo leta manufaa ktk Taifa , Wajua hapo Shida sio mfumo Tu pekee Shida ni kwamba Africa inawatu wengi wabinafsi kuliko wale ambao wapo tayari kujitoa kwaajili ya Taifa , that's why tuna kesi nyingi za rushwa kesi nyingi za ufisadi na visa vingi vya vita za wenyewe Kwa wenyewe, Tutafute Muarabaini wa hayo Kwanza Halafu mfumo wowote Ambao tutakao ufuata ndio utakuwa na Tija kwetu
 
Back
Top Bottom