Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Tuanze kumlaumu Nyerere kwa harakati zake za kuitaka demokrasia na kufukuza wazungu.Naunga mkono title ya mada hii. Demkkrasia inafaa kwa mataifa yaliyoendelea tayari. Lakini kwetu sisi ni upotezaji wa rasilimali muda, fedha na nguvukazi
Kumbe hata hiyo kidictator ni probability.Nchi inaweza kupata maendeleo ikitawaliwa kidikteta lakini siyo guarantee. Mfano Shelisheli, Libya ya Ghaddafi, labda Misri na Hata Morocco iliyo kifalme. Lakini chini ya demokrasia ni kama haiwezekani kupata maendeleo.
Umuhimu uanze kwa wazungu na lawama zotee apewe Nyerere kwa kufukuza Wazungu.Na hapa ndipo umuhimu wa CHUMA unapokuja.
Yule jamaa kama angetawala extra 10yrs.
Tanzania na South Africa tungekua tunapelekana Anus 2anus katika maendeleo.
Sehemu ya kale kabisa ya ufuaji wa chuma ilipatikana Africa, CAR; Unawashutumuje kuhusu kijiko? Mtumbwi wa kale kabisa duniani ulipatikana Nigeria. Unashutumuje kuhusu umasikini? Kwako Wamisri waliojenga mifereji ya umwagiliaji na mapiramidi walikuwa masikini?Acha kubadilisha hoja mkuu.
Unataka sasa tuanze ku-debate maendeleo ni nini?
Ukweli ni kwamba hata kabla ya kuja demokrasia AFRIKA ILIKUWA MASIKINI.
Katika kipindi ambacho dunia yote ilikuwa in dictatorship mode, still wa Afrika hata vijiko mlikuwa nashindwa kutengeneza.
Maana yake ni kwamba, msisingizie demokrasia.
Kuna sababu zenu za kutokuendelea lakini demokrasia is not one of them.
Nimekutolea mfano wa nchi ambazo hazikufuata demokrasia na bado ni masikini wa kutupa.
This should not be hard for you to comprehend
Huyo Waziri mkuu mmoja aliingiaje madarakani??Kidikteta na waziri mkuu mmoja kwa miaka 30, hadi mwaka 1990.
Ndio mleta mada akasema hili Suala lilipaswa kuangaliwa na mazingira ya nchi husika Kwa sababu tunatofautiana kitamaduni haiwezekani mtanzania awe na tamaduni kama za USA wakati Wana tofautiana kuanzia Akili life style Maono etcTuige mfumo wa china,swali linakuja jeee mko tayari kunywongwa na kupigwa shaba mkifanya ubadhirifu wa mali za umma?
Kimsingi demokrasia sio mbaya shida ngozi nyeudi tumejaa,unafiki,uzandiki,nepotism na kila aina ya uchafu.
Hakuna integrity wala accountability,ni rushwa na kubebana mwanzo mwisho.
Very simple,.....mtawala mwenye vision kwenye nchi ya kidikteta ana resistance ndogo kwenye kutimiza mawazo yake,kuliko kwenye demokrasia,...Kwa hiyo unaweza kuwa na mtawala dikteta asiye na vision?
Ulifikiri unaweka tu dikteta kisha maendeleo yanaanza kububujika?Kumbe hata hiyo kidictator ni probability.
Kuingia madarakani siyo ishu, ishu ni alitawalaje.Huyo Waziri mkuu mmoja aliingiaje madarakani??
Mfano taifa gani la kidemokrasia lenye sheria dhaifu linalofuata misingi ya kidemokrasia ambapo watu wanafanya ufisadi na ubadhirifu huku wakijua watatoboa tu??Sheria ni dhaifu sana kwa sababu ya kufuata misingi eti ya kidemokrasia !
Hivyo watu wanafanya Ukwapuaji na ubadhirifu huku wakijua watatoboa tu !
yule Mobutu ndio maana tukasema hao madikteta wawe ni wacha Mungu Waadilifu na wenye maono yamaendeleo !
Sio mradi tu awe Dikteta !
Alitawalaje?Kuingia madarakani siyo ishu, ishu ni alitawalaje.
Utawala wa watemi na machief huko hata sishauri 🤣🤣🤣Umeletwa mada nzuri sana kama unaishi katika mawazo yangu.
Asante sana kwa hoja nzuri zenye nguvu na mifano halisi kiasi kwamba kila mwenye akili ameelewa matatizo ya hili balaa linaloitwa demokrasia tulilowekewa na mabeberu toka ulaya.
Shida ni namna gani tunaweza kubadili mfumo huu muovu ambao unazidi kuzoeleka pamoja na kwamba ni mgumu kutekelezeka na kurudi kwenye utawala wetu wa asili
(utawala wa watemi na machifu )!
Democrasia ni utawala wa watu. Yaani watu wote wana mamlaka ya kuamua nchi iendeshwaje. Iwe moja kwa moja au kupitia wawakilishi. Leo hii nchi kama Uingereza, Marekani na SK ni za kidemokrasia kwa kiwango kikubwa.Demokrasia kwako ina maana gani??
Mfano wa nchi gani ambazo unafikiri zina Demokrasia?
Sehemu ya kale kabisa ya ufuaji wa chuma ilipatikana Africa, CAR; Unawashutumuje kuhusu kijiko? Mtumbwi wa kale kabisa duniani ulipatikana Nigeria. Unashutumuje kuhusu umasikini? Kwako Wamisri waliojenga mifereji ya umwagiliaji na mapiramidi walikuwa masikini?
KidiktetaAlitawalaje?
Kwa mafano hapa Tanzania ni familia gani au kabila gani unaona inafaa itutawale kifalme kama UAE au QATAR ili tupate maendeleo makubwa?Utawala wa watemi na machief huko hata sishauri 🤣🤣🤣
Ni vyema Tu tukaiga kile ambacho kimefanyika UAE ama Qatar pamoja na china huwenda kikatufikisha ktk nchi ya Ahadi
Mambo gani ya kidikteta aliyoyafanya?Kidikteta
Mtumbwi siyo wa maana ila kijiko ndiyo cha maana!!? Pia hii mada hujaielewa. Inasema kuwa demokrasia ni adui wa maendeleo. Nchi masikini haiwezi kuendelea ikiwa inatawaliwa kidemokrasia? Kama una ushahidi wa kupinga hili kutoka sehemu mbalimbali duniani ulete?Kwa hiyo kama waligundua ndo nini yani?
Standard yao ya maisha Wa afrika ilikuwaje? Wa Afrika hawakuwa masikini?
Au ndo mlikuwa matajiri alafu mkaletewa democracy ndo mkaanza kuwa masikini?
Yaani unajisikia kugundua mtumbwi?
Najua unataka u-spin hii hoja lakini ni ngumu sana.
Afrika ni Afrika tu. Umasikini ulianza kitambo sana.
Acha kusingizia demokrasia
Unamaanisha nini unaposema watu WOTE wana mamlaka ya kuamua nchi iendeshwaje??Democrasia ni utawala wa watu. Yaani watu wote wana mamlaka ya kuamua nchi iendeshwaje. Iwe moja kwa moja au kupitia wawakilishi. Leo hii nchi kama Uingereza, Marekani na SK ni za kidemokrasia kwa kiwango kikubwa.
🤣🤣🤣Ukitaka kumwamini mtoa mada katika familia yako ewe baba tumia demokrasia kila siku tuone kama utaendelea.