Michael Dudicoff
Senior Member
- Aug 20, 2024
- 170
- 243
Mleta uzi ana akili na uelewa mzuri kuliko wewe unaefikiri kwa kutumia mavi ya wazungu ulijaza kichwani mwako! Mleta mada ametoa mifano ya nchi kama china nk ambazo hazina demokrasia lakini zina maendeleo makubwa. Unataka tuwe na upumbavu kama walibya waliomuondoa madarakani dikteta Muamar Gadafi ili wapate demokrasia matokeo yake wamepoteza maendeleo na neema walizokuwa nazo chini ya utawala wa kidikteta.Uzi wa kijinga sana huu.
Inaonekana mleta mada umezaliwa kuanzia mwaka 2000 na kuendelea.
Hivi hujui Tanzania kuanzia 1969 - 1992 tulikuwa hatufuati mfumo wa kidemokrasia kama tuliokuwa nao sasa?
Tuliendelea?
Tumeendelea zaidi baada ya kukumbatia zaidi demokrasia au tulivyokuwa kipindi hicho?
Huwezi kumkuta mtu ambaye amekimbia North Korea anakwambia mfumo wa kidikteta ni mzuri
Wewe unaleta hizi hoja zako hapa kwa sababu you are priviledged individual ambaye hujawahi kuishi kwenye udikteta.
Again huu uzi ni wa kipuuzi mno
Demokrasia siyo chakula ambacho mtu hula akashiba kwahiyo jambo la muhimu ni maendeleo kwakuwa demokrasia haina faida yoyote kwa raia wa kawaida ambaye hana tamaa ya uongozi.