Demokrasia ni adui wa maendeleo

Demokrasia ni adui wa maendeleo

Nini unacho jaribu kupinga na kutetea kuhusu Singapore ya LKY maana hata hueleweki
Unaita vipi nchi ya kidemokrasia mahali ambapo wapinzani wana gandamizwa ? Na kiongozi mkuu asiye amini katika huo utaratibu wa kidemokrasia unaoutetea wewe ?
Kuna vitu vya kutetea lakini sio Singapore ya Lee ambaye yeye mwenyewe mfumo mzima wa kidemokrasia alikuwa kinyume nao na alikuwa proud of Singapore mpaka leo hii haitoi uhuru bora wa maandamano moja ya legacy ya huyo LKY unaye mtetea
Natetea nini? Mimi sikariri mambo kama Kasuku tu na najua vizuri demokrasia sio perfect.
Singapore haijwahi kuwa na upinzani wa maana kutiliwa maanani dhidi ya chama cha PAP, hauna mfano hata mmoja wa kiongozi maarufu au mwenye ushawashi aliyewahi kutokea Singapore dhidi ya Lee, hauna mfano wa lini raia wa Singapore walitaka kuandamana kwa sababu ya ubovu wa serikali ya Singapore wakazuiliwa, hauna mfano wa viongozi wa upinzani wa Singapore waliowahi kutekwa, kupigwa risasi , kupewa kesi za ugaidi au kupotezwa. Mfano mwingine wa mwingine wa demokrasia ya chama kimoja kwa muda mrefu ni Botswana chini ya BDP, uchaguzi unafanyika wa huru na haki, kila kura inayopigwa na inahesabiwa kwa haki na washindi wanatangazwa kwa haki. Sasa wewe utasemaje hiyo sio demokrasia??

Demokrasia sio lazima ifanane kila kitu ila kuna mambo ambayo ni ya msingi(fundamentals), uchaguzi huru na wa haki, mahakama huru, free speech n.k
 
Ghadafi mfano mzuri na Morocco Nchi zao huwezi fananisha na Zetu, pia Hata hapa Tanzania Nyerere alifeli tu sera za Uchumi ila other aspects kama Elimu tulikua vizuri tu, moja ya data kali za Nyerere miaka ya 1970 literacy rate ya Tanzania ilikua asilimia 90, compare na sasa literacy rate imeshuka hadi asilimia 80 na bado quality ya elimu ni mbovu mno compare na Zamani.

..Nchi gani ya kidemokrasia imefeli Afrika?

..Gaddafi angekuwa mwerevu angeruhusu demokrasia kwa utaratibu na yeye akaondoka kwenye madaraka kupitia uchaguzi.

..Udikteta wa Gaddafi wa kutoruhusu wanasiasa wengine kuibuka ndio umesababisha machafuko baada ya wananchi kuuchoka utawala wake.

..Gaddafi alimpindua Mfalme, lakini baada ya muda na yeye akalewa madaraka na kutaka kuwa Mfalme wa Libya, na Afrika.
 
Swala sio udikteta ama demokrasia, kuna madiktekta kwenye hizo nchi ulizotaja walikuwa ni janga kubwa.

Mfano mzuri ni Chieng Kai Shek WA china kabla ya Taiwan na Syghman Rhee WA Korea kusini, pia ferdinand Marcos WA ufilipino

Tatizo kubwa ni kiongozi WA sasa WA afrika kuaminishwa kuwa Free Market ndio mfumo mzuri na wrong economic decision kama za Nyerere na Mwinyi, kiasi cha kwamba hawawezi kutekelekeza mipango ya maendeleo waliyoipanga kikamilifu(case study Tanzania na dira ya taifa 2000-2025).

Ukweli ni kwamba kwenye utekelezaji WA mipango ya maendeleo kuna a lot of necessary evils lazima zilazimishwe zikiwemo zilizo kinyume na matakwa ya watu(iwe kwa kuwekwa Sheria ama udikteta) na consistency inahitajika

Katika hili ndio unakuta madiktekta wenye maono kama Lee Kuan Yew, Mahathir Mohamed, Park Chung Hee, Chiang Kai Shek(Taiwan), Deng Xiaoping, wanapoonekana na unafuu.
 
Natetea nini? Mimi sikariri mambo kama Kasuku tu.
Singapore haijwahi kuwa na upinzani wa maana kutiliwa maanani dhidi ya chama cha PAP, hauna mfano hata mmoja wa kiongozi maarufu au mwenye ushawashi alieywahi kutokea Singapore dhidi ya Lee, hauna mfano wa lini raia wa Singapore walitaka kuandamana kwa sababu ya ubovu wa serikali ya Singapore wakazuiliwa. Mfano mwingine wa mwingine wa demokrasia ya chama kimoja kwa muda mrefu ni Botswana chini ya BDP, uchaguzi unafanyika wa huru na haki, kila kura inayopigwa na inahesabiwa kwa haki na washindi wanatangazwa kwa haki. Sasa wewe utasemaje hiyo sio demokrasia??
Umechagua kusimamia ujinga unaoamini kuhusu Singapore hata kupingana na ukweli naokuambia.

Ukitaka nikutajie wapinzani nikakutajia ila ukashupaza shingo kwa maneno yako ya ajabu kuwa nakariri sasa ni nani anaye kariri mambo kati yangu ama wewe unaye maneno matupu blah blah.

Je, kugandamiza wapinzani wako ni demokrasia ?

Na unapima vipi ukubwa na udogo wa wapinzani kwa serikali ?

Kukamatwa kwa watu zaidi miaka Mia moja kwa sababu za kisiasa kwako wewe ni kukariri mambo ?

Political opponents
On JB Jeyaretnam, a lawyer and opposition lawmaker who called for greater freedoms but was bankrupted by Mr Lee via the courts, in Lee Kuan Yew, The Man And His Ideas, 1997

"If you are a troublemaker… it's our job to politically destroy you. Put it this way. As long as JB Jeyaretnam stands for what he stands for - a thoroughly destructive force - we will knock him. Everybody knows that in my bag I have a hatchet, and a very sharp one. You take me on, I take my hatchet, we meet in the cul-de-sac."

The Cambridge-educated scholar wasn’t interested in heady concepts of liberty. As a lawyer he knew them well, but as a British subject, and later during the Japanese occupation, he had learnt an invaluable lesson – you can’t fill stomachs with liberty, but you can chew up those who use it to oppose you. “I learned how to govern, how you dominate the people, as the British did, and how the Japanese used their power,” he said.
And so he arbitrarily detained hundreds of alleged communists, chauvinists and extremists over the years using the Internal Security Act, a holdover from Singapore’s colonial past. It was detention without trial so concrete evidence wasn’t necessary. All you needed was a firm conviction that the country was under siege and the strategic brilliance to outmanoeuvre the enemy.
It was no coincidence that many of these alleged communists were Lee’s political opponents. In 1963, more than 100 opposition politicians and union leaders were deemed a threat to national security and arbitrarily detained, crippling the Barisan Sosialis, the biggest political threat to Lee’s People’s Action Party (PAP)

Lim Chin Slong

Sina hakika hata umaarufu wa Chia thye poh waufahamu maana unatetea vitu vya visivyoweza kutetewa
Press freedom
Address to the General Assembly of the International Press Institute at Helsinki on 9 June 1971

"What role would men and governments in new countries like the mass media to play?... The mass media can help to present Singapore's problems simply and clearly and then explain how if they support certain programmes and policies these problems can be solved. More important, we want the mass media to reinforce, not to undermine, the cultural values and social attitudes being inculcated in our schools and universities.

[Several paragraphs later] Freedom of the press, freedom of the news media, must be subordinated to the overriding needs of the integrity of Singapore, and to the primacy of purpose of an elected government."
 
Swala sio udikteta ama demokrasia, kuna madiktekta kwenye hizo nchi ulizotaja walikuwa ni janga kubwa.

Mfano mzuri ni Chieng Kai Shek WA china kabla ya Taiwan na Syghman Rhee WA Korea kusini, pia ferdinand Marcos WA ufilipino

Tatizo kubwa ni kiongozi WA sasa WA afrika kuaminishwa kuwa Free Market ndio mfumo mzuri na wrong economic decision kama za Nyerere na Mwinyi, kiasi cha kwamba hawawezi kutekelekeza mipango ya maendeleo waliyoipanga kikamilifu(case study Tanzania na dira ya taifa 2000-2025).

Ukweli ni kwamba kwenye utekelezaji WA mipango ya maendeleo kuna a lot of necessary evils lazima zilazimishwe zikiwemo zilizo kinyume na matakwa ya watu(iwe kwa kuwekwa Sheria ama udikteta) na consistency inahitajika

Katika hili ndio unakuta madiktekta wenye maono kama Lee Kuan Yew, Mahathir Mohamed, Park Chung Hee, Chiang Kai Shek(Taiwan), Deng Xiaoping, wanapoonekana na unafuu.
Mfano wa necessary evils ambazo madikteta wenye maono imewabidi kuzifanya ni zipi??
 
Umechagua kusimamia ujinga unaoamini kuhusu Singapore hata kupingana na ukweli naokuambia.

Ukitaka nikutajie wapinzani nikakutajia ila ukashupaza shingo kwa maneno yako ya ajabu kuwa nakariri sasa ni nani anaye kariri mambo kati yangu ama wewe unaye maneno matupu blah blah.

Je, kugandamiza wapinzani wako ni demokrasia ?

Na unapima vipi ukubwa na udogo wa wapinzani kwa serikali ?

Kukamatwa kwa watu zaidi miaka Mia moja kwa sababu za kisiasa kwako wewe ni kukariri mambo ?

Political opponents
On JB Jeyaretnam, a lawyer and opposition lawmaker who called for greater freedoms but was bankrupted by Mr Lee via the courts, in Lee Kuan Yew, The Man And His Ideas, 1997

"If you are a troublemaker… it's our job to politically destroy you. Put it this way. As long as JB Jeyaretnam stands for what he stands for - a thoroughly destructive force - we will knock him. Everybody knows that in my bag I have a hatchet, and a very sharp one. You take me on, I take my hatchet, we meet in the cul-de-sac."

The Cambridge-educated scholar wasn’t interested in heady concepts of liberty. As a lawyer he knew them well, but as a British subject, and later during the Japanese occupation, he had learnt an invaluable lesson – you can’t fill stomachs with liberty, but you can chew up those who use it to oppose you. “I learned how to govern, how you dominate the people, as the British did, and how the Japanese used their power,” he said.
And so he arbitrarily detained hundreds of alleged communists, chauvinists and extremists over the years using the Internal Security Act, a holdover from Singapore’s colonial past. It was detention without trial so concrete evidence wasn’t necessary. All you needed was a firm conviction that the country was under siege and the strategic brilliance to outmanoeuvre the enemy.
It was no coincidence that many of these alleged communists were Lee’s political opponents. In 1963, more than 100 opposition politicians and union leaders were deemed a threat to national security and arbitrarily detained, crippling the Barisan Sosialis, the biggest political threat to Lee’s People’s Action Party (PAP)

Lim Chin Slong

Sina hakika hata umaarufu wa Chia thye poh waufahamu maana unatetea vitu vya visivyoweza kutetewa
Press freedom
Address to the General Assembly of the International Press Institute at Helsinki on 9 June 1971

"What role would men and governments in new countries like the mass media to play?... The mass media can help to present Singapore's problems simply and clearly and then explain how if they support certain programmes and policies these problems can be solved. More important, we want the mass media to reinforce, not to undermine, the cultural values and social attitudes being inculcated in our schools and universities.

[Several paragraphs later] Freedom of the press, freedom of the news media, must be subordinated to the overriding needs of the integrity of Singapore, and to the primacy of purpose of an elected government."
Unafahamu majaji wa Singapore wanavyopatikana??
 
Natetea nini? Mimi sikariri mambo kama Kasuku tu na najua vizuri demokrasia sio perfect.
Singapore haijwahi kuwa na upinzani wa maana kutiliwa maanani dhidi ya chama cha PAP, hauna mfano hata mmoja wa kiongozi maarufu au mwenye ushawashi aliyewahi kutokea Singapore dhidi ya Lee, hauna mfano wa lini raia wa Singapore walitaka kuandamana kwa sababu ya ubovu wa serikali ya Singapore wakazuiliwa, hauna mfano wa viongozi wa upinzani wa Singapore waliowahi kutekwa, kupigwa risasi , kupewa kesi za ugaidi au kupotezwa. Mfano mwingine wa mwingine wa demokrasia ya chama kimoja kwa muda mrefu ni Botswana chini ya BDP, uchaguzi unafanyika wa huru na haki, kila kura inayopigwa na inahesabiwa kwa haki na washindi wanatangazwa kwa haki. Sasa wewe utasemaje hiyo sio demokrasia??

Demokrasia sio lazima ifanane kila kitu ila kuna mambo ambayo ni ya msingi(fundamentals), uchaguzi huru na wa haki, mahakama huru, free speech n.k
Jitahidi kusoma hata machapisho mbalimbali yanayo ongelea maovu yake na chama chake cha PAP au unafikiri Lee na PAP ni wasafi kila pande ? Ajabu hii

..Nchi gani ya kidemokrasia imefeli Afrika?

..Gaddafi angekuwa mwerevu angeruhusu demokrasia kwa utaratibu na yeye akaondoka kwenye madaraka kupitia uchaguzi.

..Udikteta wa Gaddafi wa kutoruhusu wanasiasa wengine kuibuka ndio umesababisha machafuko baada ya wananchi kuuchoka utawala wake.

..Gaddafi alimpindua Mfalme, lakini baada ya muda na yeye akalewa madaraka na kutaka kuwa Mfalme wa Libya, na Afrika.
Ghadafi kapinduliwa na west, with or without him Libya ilikua inaliwa Timing, case study Chukulia Mfano hapo Egpty, si wamemchagua raisi wao kwa Kura Morsi? Yupo wapi siku nyingi tu kauliwa na kuna Dikteta hapo Ambaye nchi za Magharibi kimyaa sababu ana serve matakwa yao?. Morocco pia kuna mfalme siku nyingi tu ushasikia kelele yoyote? Sababu yule anapatana na nchi za Magharibi.

The fact that kaiinua hio Nchi kiuchumi itabaki vile vile whether unamkubali ama humkubali

Kuhusu Demokrasia una case study nzuri hapo Kenya, moja ya Nchi yenye umasikini wa kutupwa hata Tanzania ina unafuu. Ghana, Senegal, Malawi zote hizi zipo ranked juu Africa kwa demokrasia nazo ni njaa tu, bila kusahau majirani zetu Zambia.
 
Mfano wa necessary evils ambazo madikteta wenye maono imewabidi kuzifanya ni zipi??
1989 maamuzi ya Deng Xiaoping Tianmen Square pamoja ya kwamba sikubaliani nayo ila yaliiokoa China kuelekea njia ya USSR
 
Sababu mojawapo ya Singapore kuvutia mitaji, uwekezaji wa nje na watu kuweka pesa katika benki zake ni uhuru wa mahakama zake.
Hata China inavutiwa uwekezaji kwa sana tu duniani tena hayo hayo mataifa yanayo fagilia demokrasia ndio yanayo jazana China kiuwekezaji sijui unataka kutetea nini ?
 
Ila matajiri wa China wakishatengeneza pesa China kupitia cheap labour wanazipeleka mabenki ya magharibi na Singapore kuhifadhi huko.
 
Huko sio kuhifadhi ni kwenda kuficha hili wala sio jambo la ajabu kwa matajiri wezi.

China inaongoza kwa Banks bora duniani tajiri au mwanasiasa anaye enda kuficha pesa Singapore au Switzerland ni mwizi anayekwepa mifumo ya kibenki ya China.
 
Mfano wa necessary evils ambazo madikteta wenye maono imewabidi kuzifanya ni zipi??
1. Protectionism ambayo mara nyingi husababisha inflation
2. Kuzuia FDI
3. Mshahara kidogo
4. Kulazimisha wafanya biashara wakubwa kufanya biashara zinazolengwa na serikali hata kama hawana uzoefu nazo.
5. Kulazimisha joint ventures Kwa kampuni za nje.
6. Kulazimisha domestic firms kushindana kwenye international markets.
7. Kupiga marufuku vyama vya wafanyakazi
8. Kuwapokonya wafanyabiashara viwanda/Mali wanaposhindwa kufikia export targets
9. Utaifishaji WA financial institution
10. Foreign exchange allocation - importers hawaipati fedha za kigeni za kutosha, exporter wanapewa kiapumbele
11. Forced land reforms
Na mengineyo mengi yaliyo kinyume na rule of laws, WTO, World Bank, IMF na Washington consensus

Ref: how Asia works, industrial development in Singapore, Taiwan and Korea, science and innovation in iran
 
Ghadafi kapinduliwa na west, with or without him Libya ilikua inaliwa Timing, case study Chukulia Mfano hapo Egpty, si wamemchagua raisi wao kwa Kura Morsi? Yupo wapi siku nyingi tu kauliwa na kuna Dikteta hapo Ambaye nchi za Magharibi kimyaa sababu ana serve matakwa yao?. Morocco pia kuna mfalme siku nyingi tu ushasikia kelele yoyote? Sababu yule anapatana na nchi za Magharibi.

The fact that kaiinua hio Nchi kiuchumi itabaki vile vile whether unamkubali ama humkubali

Kuhusu Demokrasia una case study nzuri hapo Kenya, moja ya Nchi yenye umasikini wa kutupwa hata Tanzania ina unafuu. Ghana, Senegal, Malawi zote hizi zipo ranked juu Africa kwa demokrasia nazo ni njaa tu, bila kusahau majirani zetu Zambia.

..kosa lingine la Gaddafi ni kufadhili ugaidi dhidi ya Western powers, na waasi katika nchi mbalimbali za Afrika.

..kwa nchi za Afrika Gaddafi alifadhili magaidi katika nchi kama Uganda, Siera Leone, na Liberia.

..Kenya, Malawi, Ghana, Senegal, ni nchi ambazo kwa muda mrefu zilikuwa katika makucha ya Madikteta.

..Kama utakumbuka Kenya ilipita katika mifumo ya kikatili sana wakati wa tawala za Mzee Kenyatta, na Mzee Moi.

..Kenya unayoiona sasa hivi ni nchi / jamii inayojitafuta kuelekea katika demokrasia ya kweli. Bado wana mambo mengi ya kuyaweka sawa ili wawe na mifumo ya kidemokrasia.

..Ghana nayo ilipita katika kipindi kibaya cha Udikteta na machafuko. Wameikubali demokrasia miaka ya 1990. Hata wao huwezi kusema kwamba wamefaulu vya kutosha.

..Naendelea kusisitiza kwamba Ethiopia, Somalia, Ghana, Malawi, Zambia, Msumbiji, na nchi nyingine nyingi za Afrika, zilishajaribu Udikteta, na zikafeli vibaya sana

..
 
Back
Top Bottom