Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya vitu hivyo ulivyoviainisha kutakiwa viwepo kuonekana kuwa havipo na ule uvumilivu wa kuivumilia demokrasia ukaonekana ni mdogo sana na kinyume chake wajinga wajinga wakaona njia rahisi ya kuwadhibiti wale wanaowakosoa ni kutengeneza magenge ya kudhalilisha na kuwadhuru !Hivi ni vituko
Yaani wewe unadhani mwanadamu mmoja mwenye mapungufu kama mimi na wewe aje hapa duniani achape wanadamu wenzie viboko kuwalazimisha kufanya vitu anavyotaka yeye?
Demokrasia ni the best form of governing
Watu wazima kama wewe wawe huru kuamua watakacho hata kama kinawaumiza ni wao kwa utashi wao ilimradi hawajavunja sheria yeyote
Na uhuru wa kuvunja sheria kila mtu apewe ilimradi awe na uwezo kuvumilia consequences zake mahakamani
Kiongozi wa serikali asimamie sheria tu,maamuzi binafsi ni maamuzi binafsi
Udikteta ni ujinga wa kuungilia maamuzi binafsi ya watu binafsi na maisha yao
Wewe simamia serikali,watu binafsi waache
Kama kusimamia serikali kama chombo ni kazi inayokushinda mpaka ufatilie uhuru wa watu binafsi tayari huna akili na hutufai
Watu wazima wakiamua kua huru bila kuvunja sheria zilizopo achana nao,unaogopa nini uhuru wa watu?
Majitu yenye low IQ hua yanakimbilia udikteta kuwatawala wanadamu wengine,shame!
Hivi ni vituko

Kama kusimamia serikali kama chombo ni
Kuna kitu kinaitwa The Iron Law of inevitable oligarchy. Inasema taasisi zote za kidemokrasia huishia kuwa oligarchy. Ndiyo sababu unaona leo US wanapiga kelele nchi yao imekuwa oligarchy. Usijidanganye upo huru, kwenye mifumo yote lazima ucheze elites wanavyokuambia.Hivi ni vituko
Yaani wewe unadhani mwanadamu mmoja mwenye mapungufu kama mimi na wewe aje hapa duniani achape wanadamu wenzie viboko kuwalazimisha kufanya vitu anavyotaka yeye?
Demokrasia ni the best form of governing
Watu wazima kama wewe wawe huru kuamua watakacho hata kama kinawaumiza ni wao kwa utashi wao ilimradi hawajavunja sheria yeyote
Na uhuru wa kuvunja sheria kila mtu apewe ilimradi awe na uwezo kuvumilia consequences zake mahakamani
Kiongozi wa serikali asimamie sheria tu,maamuzi binafsi ni maamuzi binafsi
Udikteta ni ujinga wa kuungilia maamuzi binafsi ya watu binafsi na maisha yao
Wewe simamia serikali,watu binafsi waache
Kama kusimamia serikali kama chombo ni kazi inayokushinda mpaka ufatilie uhuru wa watu binafsi tayari huna akili na hutufai
Watu wazima wakiamua kua huru bila kuvunja sheria zilizopo achana nao,unaogopa nini uhuru wa watu?
Majitu yenye low IQ hua yanakimbilia udikteta kuwatawala wanadamu wengine,shame!
Democracy ya kweli kweli kabisa inaweza kutoa Kiongozi mwenye maono !Kwahiyo kumbe tatizo ni maono sio democracy? Democracy haiwezi toa Kiongozi mwenye maono?
Demokrasia haifai, mungu mwenyewe hataki mambo za demokrasia huko aliko.
Miundo, Mifumo na Matendo ndiyo ile asili khasa ya ‘Mafumbo yote ya Imani’. Kiuono na Ufikirifu Mifumo, Ustawi na Utamaduni ni ‘Utukufu’ wa ‘Metafanusi’ iliyositirika na huku kumbe ndiyo ile asili khasa ya Dhamma, Kudra, Silika, Rehema na Fadhili kwa UTU-MAISHA-UISHO. Kwa mintarafu ya hivi, Dhamma ni MRABA wenye asili ya (1) MOTO, (2) UPEPO, (3) MAJI, na (4) ARDHI/NCHI. Basi ndiyo yawa, MRABA mwingine wa MISINGI wa MTU KUJICHAGULIA KIWAKATI ndiyo huruzuku nasibu ya ‘Unyoofu’ na ‘Mapenzi Mema’ ya Mja; ambavyo ada ya Mja Mwema ni ‘Muda kuja Kunena’ – Muda kuja kunena ile fahari ya Utu – Utu wa yule mwenye Kutenda kwa ‘Maungwana’ ama ‘Kiburi’; Hauwezi kupanda Pilipili ukaja kuvuna Parachichi...
Mfano mahsusi ya ‘Udhamirifu wa Furaha’ na ‘Ujumuiko wa Kizazi/Vizazi’, ni shauri la UHURU-UDUGU-HAKI-AMANI. Kiuono na Ufikirifu mifumo, manne haya ni kwa ajili ya ruzuku ya Rehema na Fadhili ya UTU-MAISHA-UISHO. Kwa mintarafu ya hivi, Dhamma ya Utaifa la Tanzania ni kusudi kwa matamanio ya kheri kwa ajili ya ‘UTUKUFU wa KIJAMII’ wenye miongezeo/Torati ya mapana ya LIBERTI-UuMOJA-UJAZI-UTANGAMANO. Basi ndiyo yawa, ‘Unyoofu’ na ‘Mapenzi Mema’ hukadirisha ‘Mstari’ na ‘Uduara’; vifanyavyo pande nne za MRABA wa DHAMMA.
Mfano mahsusi ya ‘Udhamirifu wa Furaha’ na ‘Ujumuiko wa Kizazi/Vizazi’, ni shauri la UHURU-UDUGU-HAKI-AMANI. Kiuono na Ufikirifu mifumo, manne haya ni kwa ajili ya ruzuku ya Rehema na Fadhili ya UTU-MAISHA-UISHO. Kwa mintarafu ya hivi, Muktadha akilifu wa Utendaji – Utendaji (1) Kiroho, (2) Maadili na (3) Miiko una zindiko ambalo ndiyo msingi wa kulijenga, kulidumisha na kulilinda Taifa la Watanzania. Basi ndiyo yawa, hakika ya UTU-MAISHA-UISHO wa Watanzania ni fanusi ya ‘Uhuru na Umoja’ kwa matamanio ya Ujamaa wa Kweli; Ambavyo Rehema na Fadhili hukadirika kwa Imani ya Watanzania Wenyewe katika Udhamirifu wa kuwa ‘Waja Wema’; Uja wema katika ‘Maugwana’ na si ‘Kiburi’…
Mfano mahsusi ya ‘Udhamirifu wa Furaha’ na ‘Ujumuiko wa Kizazi/Vizazi’, ni shauri la UHURU-UDUGU-HAKI-AMANI. Kiuono na Ufikirifu mifumo, manne haya ni kwa ajili ya ruzuku ya Rehema na Fadhili ya UTU-MAISHA-UISHO. Kwa mintarafu ya hivi, ‘Wakati ni Ukuta’ kwa kuwa Riziki ya Mtu/Mwanajamii huja kwa nasibu ya mawili (1) Kazi, na (2) Neema. Basi ndiyo yawa, UTU-MAISHA-UISHO ni fanusi ya ‘Kazi na Sala’; Uugwana ni Kujiamini na Unyenyekevu katika njia za kile kilicho ni Khasa asili ya Uzima wetu wa Miili—Miili-Akili-Roho. Kiburi si Maungwana, kwa kuwa ni ‘kutangatanga mbali’ na ‘Karamu ya BWANA’-- Karamu ilivyo Daima kuandaliwa kwa wale wenye ‘Mioyo Safi’…
Mioyo safi, Kiuono na Ufikirifu Mifumo ndiyo asili khasa ya Utu wa Dhahabu kwa Nchi ya Tanzania, ambavyo ‘moto’ ni alama ya ‘kusafisha/kutakasa utu’. Kwa mintarafu ya hili, Upendo ni ufunguo kwa ajili ya utu wema; huu haukai katika moyo mtu mpaka yeye aifanye nafasi katika moyo wake ili matamanio na uhitaji wake visukumwe na makusudi yenye kheri kwake na jamii yote. Basi ndiyo yawa, moyo safi ndiyo udhamirifu ‘kumpenda jirani kama unavyojipenda mwenyewe’ ama pia ‘Kutomtendea mwingine vile usivyopenda wewe kutendewa’. Tena basi ndivyo, Rangi ya Utu Wema ni ‘Njano ya Dhahabu’—Njano ya Dhahabu ijayo Mwenge unaowaka Juu ya Mlima Kilimanjaro; kuwa huo ndiyo alama ya uwepo wa tumaini, upendo dhidi ya chuki na heshima badala ya madharau...
Ujamaa wa Kweli, Kiuono na ufikirifu mifumo ndiyo muktadha akilifu wa ‘Sovereini Jumuifu’. Kwa mintarafu ya hili, Ujamaa ni Imani na tena udhamirifu wa UHURU-UDUGU-HAKI-AMANI miongoni mwa wanajamii. Basi ndiyo yawa, Demokrasia ni Masikilizano, Uhuru wa Kujidhihiri Utu na pia Uhuru wa Kujichagulia yale yajayo na kudra, siha njema na UTU BORA. Tena basi, Utu bora ni nidhamu, matendo na Hekima kwa ajili usivilai na utamaduni wenye kheri ya pamoja na tena wakati wote. Kwa nchi ya Watanzania, usivilai na utamaduni huu ndiyo dhana ya Uzalendo wenye ‘Utu wa Dhahabu’ kutokea ‘MASHARIKI’…
Raisi mmoja tu ndio utasema ana ahueni Uhuru, ila kina Kibaki, Huyu Ruto na wengi tu ni so and so
Boss una nchi kubwa inayokua kwa kasi kabisa China kama Mfano, kuna Nchi za kiarabu zenye watu sio wengi sana ila sio kidogo pia kama Saudia 30M+, kuna Urusi Nchi yenye na Engineer wengi kushinda zote Duniani etc. Wote hao wana wananchi wenye Elimu na Exposure kushinda 90% ya Nchi zote Duniani...Kenya ya sasa hivi ni ahueni kuliko ya enzi za Kenyatta na Moi.
..pia hata huo mfumo wa Kidikteta unaopendekeza matokeo yake yatategemea uwezo na maadili ya huyo dikteta.
..vilevile Dikteta hawezi kutawala nchi nzima peke yake, lazima ateue wasaidizi ktk ngazi mbalimbali chini yake.
..Ni lazima uwe na utaratibu wa nchi nzima kuwapata viongozi, na kuwaondoa au kuwabadilisha. Sasa hapo ndipo unapotakiwa kupajengea hoja.
..Utawala wa Kidikteta unaweza kukupa matokeo mazuri, lakini nadhani inawezekana ktk nchi ndogo, yenye watu wachache, na wasio na elimu au exposure.
Boss una nchi kubwa inayokua kwa kasi kabisa China kama Mfano, kuna Nchi za kiarabu zenye watu sio wengi sana ila sio kidogo pia kama Saudia 30M+, kuna Urusi Nchi yenye na Engineer wengi kushinda zote Duniani etc. Wote hao wana wananchi wenye Elimu na Exposure kushinda 90% ya Nchi zote Duniani.
Mkuu naona ushasahau definition ya "doctatorship"Kuna kitu kinaitwa The Iron Law of inevitable oligarchy. Inasema taasisi zote za kidemokrasia huishia kuwa oligarchy. Ndiyo sababu unaona leo US wanapiga kelele nchi yao imekuwa oligarchy. Usijidanganye upo huru, kwenye mifumo yote lazima ucheze elites wanavyokuambia.
Hawana mfumo, watakavyojiskia ni hivyo hivyo, mfumo wao ni Putin atakachoamua, Alikua Raisi, akawa waziri mkuu, Sasa hivi ni Raisi, amebadili Katiba mara nyingi na mara ya mwisho kajiongezea muda wa Raisi hadi 2036...Labda ungeeleza kwa mfano Urusi mfumo wao wa uchaguzi ukoje ili tupime tofauti yake na mifumo tuliyonayo na kuona kama inatufaa.
Hawana mfumo, watakavyojiskia ni hivyo hivyo, mfumo wao ni Putin atakachoamua, Alikua Raisi, akawa waziri mkuu, Sasa hivi ni Raisi, amebadili Katiba mara nyingi na mara ya mwisho kajiongezea muda wa Raisi hadi 2036.
So kwao atakaefit ndio huyo huyo Raisi ili mradi aweke Urusi mbele, unaweza ukasema department yao ya kijasusi ina play role kubwa.
Sababu wao wanajua strength za nchi yao, na kuzitumia Effectively, na sio kupelekeshwa ama kuiga iga wengine wanafanya nino..kama ni hivyo basi kuna tofauti ndogo sana kati ya Urusi na kinachoendelea Tanzania.
..Sasa kwanini Urusi inapiga hatua wakati Tanzania tukizama kwenye umasikini?
Ametoa mfano wa nchi kama china na Korea! Na Mimi naongezea Japani ,Urusi na nchi za kiarabu zinazotawaliwa kifalme kama Saudi Arabia , Dubai , Kuwait , Emirates nk.
Hizo zote ni nchi tajiri kwa sababu huu upumbavu unaoita demokrasia hawataki kuusikia.