Demokrasia ni adui wa maendeleo

Demokrasia ni adui wa maendeleo

Hivi ni vituko

Yaani wewe unadhani mwanadamu mmoja mwenye mapungufu kama mimi na wewe aje hapa duniani achape wanadamu wenzie viboko kuwalazimisha kufanya vitu anavyotaka yeye?

Demokrasia ni the best form of governing

Watu wazima kama wewe wawe huru kuamua watakacho hata kama kinawaumiza ni wao kwa utashi wao ilimradi hawajavunja sheria yeyote

Na uhuru wa kuvunja sheria kila mtu apewe ilimradi awe na uwezo kuvumilia consequences zake mahakamani

Kiongozi wa serikali asimamie sheria tu,maamuzi binafsi ni maamuzi binafsi

Udikteta ni ujinga wa kuungilia maamuzi binafsi ya watu binafsi na maisha yao

Wewe simamia serikali,watu binafsi waache

Kama kusimamia serikali kama chombo ni kazi inayokushinda mpaka ufatilie uhuru wa watu binafsi tayari huna akili na hutufai

Watu wazima wakiamua kua huru bila kuvunja sheria zilizopo achana nao,unaogopa nini uhuru wa watu?

Majitu yenye low IQ hua yanakimbilia udikteta kuwatawala wanadamu wengine,shame!
Baada ya vitu hivyo ulivyoviainisha kutakiwa viwepo kuonekana kuwa havipo na ule uvumilivu wa kuivumilia demokrasia ukaonekana ni mdogo sana na kinyume chake wajinga wajinga wakaona njia rahisi ya kuwadhibiti wale wanaowakosoa ni kutengeneza magenge ya kudhalilisha na kuwadhuru !

Hapo Demokrasia bado itakuwa ina faida gani ?!
 
Hivi ni vituko

Yaani wewe unadhani mwanadamu mmoja mwenye mapungufu kama mimi na wewe aje hapa duniani achape wanadamu wenzie viboko kuwalazimisha kufanya vitu anavyotaka yeye?

Demokrasia ni the best form of governing

Watu wazima kama wewe wawe huru kuamua watakacho hata kama kinawaumiza ni wao kwa utashi wao ilimradi hawajavunja sheria yeyote

Na uhuru wa kuvunja sheria kila mtu apewe ilimradi awe na uwezo kuvumilia consequences zake mahakamani

Kiongozi wa serikali asimamie sheria tu,maamuzi binafsi ni maamuzi binafsi

Udikteta ni ujinga wa kuungilia maamuzi binafsi ya watu binafsi na maisha yao

Wewe simamia serikali,watu binafsi waache

Kama kusimamia serikali kama chombo ni
Hivi ni vituko

Yaani wewe unadhani mwanadamu mmoja mwenye mapungufu kama mimi na wewe aje hapa duniani achape wanadamu wenzie viboko kuwalazimisha kufanya vitu anavyotaka yeye?

Demokrasia ni the best form of governing

Watu wazima kama wewe wawe huru kuamua watakacho hata kama kinawaumiza ni wao kwa utashi wao ilimradi hawajavunja sheria yeyote

Na uhuru wa kuvunja sheria kila mtu apewe ilimradi awe na uwezo kuvumilia consequences zake mahakamani

Kiongozi wa serikali asimamie sheria tu,maamuzi binafsi ni maamuzi binafsi

Udikteta ni ujinga wa kuungilia maamuzi binafsi ya watu binafsi na maisha yao

Wewe simamia serikali,watu binafsi waache

Kama kusimamia serikali kama chombo ni kazi inayokushinda mpaka ufatilie uhuru wa watu binafsi tayari huna akili na hutufai

Watu wazima wakiamua kua huru bila kuvunja sheria zilizopo achana nao,unaogopa nini uhuru wa watu?

Majitu yenye low IQ hua yanakimbilia udikteta kuwatawala wanadamu wengine,shame!
Kuna kitu kinaitwa The Iron Law of inevitable oligarchy. Inasema taasisi zote za kidemokrasia huishia kuwa oligarchy. Ndiyo sababu unaona leo US wanapiga kelele nchi yao imekuwa oligarchy. Usijidanganye upo huru, kwenye mifumo yote lazima ucheze elites wanavyokuambia.
 
Kwahiyo kumbe tatizo ni maono sio democracy? Democracy haiwezi toa Kiongozi mwenye maono?
Democracy ya kweli kweli kabisa inaweza kutoa Kiongozi mwenye maono !
Sasa Africa bado haijawa na hiyo ya kweli kweli kabisa !
Na hakuna tegemeo ya kuwepo sooner !
Ndio maana wengine tunaona akipatikana huyo muadilifu na mwenye maono basi aendelee tu mpaka atakapo onekana sasa hawezi tena ndio anatakiwa aondoke !

Ni utaratibu tu unawekwa wa namna ya kumuondoa !

Lakini hii habari ya kila baada ya miaka mitano ufanyike Uchaguzi huwezi kuwa unawapata hao wenye maono na uthubutu kwa sababu watu hao hutokea mara chache sana !
 
Demokrasia haifai, mungu mwenyewe hataki mambo za demokrasia huko aliko.
UNACHEKESHA SANA!

Demokrasia na Mungu, vyote viwili ni dhana za kibinadamu... Kufaa fahamu ama/na mafahamu yetu kwa wakati.

Kinachopitiliza mambo ya dhana na vina vya tafsiri zake ni 'Uono na Ufikirifu Mifumo'...

Unaweza Kuyaona mashauri ya Demokrasia kwa jicho hasi ama chanya; vivyo hivyo kwa 'Mungu'...

Ukweli Khasa wa mambo daima hupitiliza Uhasi na Uchanya wa Mambo...

Matatu yanayokuja kutujengea uthabiti wa kweli na imani, sisi kama kama wanajamii--Watanzania ama tuseme binadamu tulio Duniani, ni umakini wetu juu ya mafahamu na kujijua kwetu, 'ilivyobora', kwa mujibu wa (1) Usentienti, (2) Konsayansi na (3) Nuru ya Ufahamu katika UTU wetu.

Mungu, kama nafsi, anayetaka hili ama lile HAYUPO!

Ni mawazo na hisia tu akilini mwetu--kudhania hili ama lile kwa wakati.

Mawazo na Hisia yana (X) upofu ama (y) ufunguo wa Ukweli Khasa wa Mambo--lakini hili ni muktadha wa mtu/mwanajamii kujitafuta mweyewe; siyo mambo ya 'maisha kwa kufuata mkumbo'...

Umma unaojikomboa na 'mikumbo ya u-si-khasa--SIASA' ndiyo umma wenye Uhuru wa Kweli--Liberiti; Mwalimu Nyerere alikuwa anaishi na sala Hii moyoni mwake: Taifa la Tanzania liwe ni Jamii ya Watu wenye 'Uhuru wa Ndani'--Uhuru wa kweli wa Kiutu ulivyo ni Liberti.

Chama cha Mapinduzi kiliasisiwa khasa ili kiwe chachu ya jambo hili...

Basi ndiyo yawa, haya ni mashauri yaliyo ni mapelekeo ya 'Vina vya Tafsiri'; tunayoishi nayo kutokana na 'utundu wa dini na mapokeo yake--ushawishi wa Kitaasisi' kuwa miongoni mwetu--kufaa 'Maadili na Miiko'...​

Miundo, Mifumo na Matendo ndiyo ile asili khasa ya ‘Mafumbo yote ya Imani’. Kiuono na Ufikirifu Mifumo, Ustawi na Utamaduni ni ‘Utukufu’ wa ‘Metafanusi’ iliyositirika na huku kumbe ndiyo ile asili khasa ya Dhamma, Kudra, Silika, Rehema na Fadhili kwa UTU-MAISHA-UISHO. Kwa mintarafu ya hivi, Dhamma ni MRABA wenye asili ya (1) MOTO, (2) UPEPO, (3) MAJI, na (4) ARDHI/NCHI. Basi ndiyo yawa, MRABA mwingine wa MISINGI wa MTU KUJICHAGULIA KIWAKATI ndiyo huruzuku nasibu ya ‘Unyoofu’ na ‘Mapenzi Mema’ ya Mja; ambavyo ada ya Mja Mwema ni ‘Muda kuja Kunena’ – Muda kuja kunena ile fahari ya Utu – Utu wa yule mwenye Kutenda kwa ‘Maungwana’ ama ‘Kiburi’; Hauwezi kupanda Pilipili ukaja kuvuna Parachichi...

Mfano mahsusi ya ‘Udhamirifu wa Furaha’ na ‘Ujumuiko wa Kizazi/Vizazi’, ni shauri la UHURU-UDUGU-HAKI-AMANI. Kiuono na Ufikirifu mifumo, manne haya ni kwa ajili ya ruzuku ya Rehema na Fadhili ya UTU-MAISHA-UISHO. Kwa mintarafu ya hivi, Dhamma ya Utaifa la Tanzania ni kusudi kwa matamanio ya kheri kwa ajili ya ‘UTUKUFU wa KIJAMII’ wenye miongezeo/Torati ya mapana ya LIBERTI-UuMOJA-UJAZI-UTANGAMANO. Basi ndiyo yawa, ‘Unyoofu’ na ‘Mapenzi Mema’ hukadirisha ‘Mstari’ na ‘Uduara’; vifanyavyo pande nne za MRABA wa DHAMMA.

Mfano mahsusi ya ‘Udhamirifu wa Furaha’ na ‘Ujumuiko wa Kizazi/Vizazi’, ni shauri la UHURU-UDUGU-HAKI-AMANI. Kiuono na Ufikirifu mifumo, manne haya ni kwa ajili ya ruzuku ya Rehema na Fadhili ya UTU-MAISHA-UISHO. Kwa mintarafu ya hivi, Muktadha akilifu wa Utendaji – Utendaji (1) Kiroho, (2) Maadili na (3) Miiko una zindiko ambalo ndiyo msingi wa kulijenga, kulidumisha na kulilinda Taifa la Watanzania. Basi ndiyo yawa, hakika ya UTU-MAISHA-UISHO wa Watanzania ni fanusi ya ‘Uhuru na Umoja’ kwa matamanio ya Ujamaa wa Kweli; Ambavyo Rehema na Fadhili hukadirika kwa Imani ya Watanzania Wenyewe katika Udhamirifu wa kuwa ‘Waja Wema’; Uja wema katika ‘Maugwana’ na si ‘Kiburi’…

Mfano mahsusi ya ‘Udhamirifu wa Furaha’ na ‘Ujumuiko wa Kizazi/Vizazi’, ni shauri la UHURU-UDUGU-HAKI-AMANI. Kiuono na Ufikirifu mifumo, manne haya ni kwa ajili ya ruzuku ya Rehema na Fadhili ya UTU-MAISHA-UISHO. Kwa mintarafu ya hivi, ‘Wakati ni Ukuta’ kwa kuwa Riziki ya Mtu/Mwanajamii huja kwa nasibu ya mawili (1) Kazi, na (2) Neema. Basi ndiyo yawa, UTU-MAISHA-UISHO ni fanusi ya ‘Kazi na Sala’; Uugwana ni Kujiamini na Unyenyekevu katika njia za kile kilicho ni Khasa asili ya Uzima wetu wa Miili—Miili-Akili-Roho. Kiburi si Maungwana, kwa kuwa ni ‘kutangatanga mbali’ na ‘Karamu ya BWANA’-- Karamu ilivyo Daima kuandaliwa kwa wale wenye ‘Mioyo Safi’…

Mioyo safi, Kiuono na Ufikirifu Mifumo ndiyo asili khasa ya Utu wa Dhahabu kwa Nchi ya Tanzania, ambavyo ‘moto’ ni alama ya ‘kusafisha/kutakasa utu’. Kwa mintarafu ya hili, Upendo ni ufunguo kwa ajili ya utu wema; huu haukai katika moyo mtu mpaka yeye aifanye nafasi katika moyo wake ili matamanio na uhitaji wake visukumwe na makusudi yenye kheri kwake na jamii yote. Basi ndiyo yawa, moyo safi ndiyo udhamirifu ‘kumpenda jirani kama unavyojipenda mwenyewe’ ama pia ‘Kutomtendea mwingine vile usivyopenda wewe kutendewa’. Tena basi ndivyo, Rangi ya Utu Wema ni ‘Njano ya Dhahabu’—Njano ya Dhahabu ijayo Mwenge unaowaka Juu ya Mlima Kilimanjaro; kuwa huo ndiyo alama ya uwepo wa tumaini, upendo dhidi ya chuki na heshima badala ya madharau...

Ujamaa wa Kweli, Kiuono na ufikirifu mifumo ndiyo muktadha akilifu wa ‘Sovereini Jumuifu’. Kwa mintarafu ya hili, Ujamaa ni Imani na tena udhamirifu wa UHURU-UDUGU-HAKI-AMANI miongoni mwa wanajamii. Basi ndiyo yawa, Demokrasia ni Masikilizano, Uhuru wa Kujidhihiri Utu na pia Uhuru wa Kujichagulia yale yajayo na kudra, siha njema na UTU BORA. Tena basi, Utu bora ni nidhamu, matendo na Hekima kwa ajili usivilai na utamaduni wenye kheri ya pamoja na tena wakati wote. Kwa nchi ya Watanzania, usivilai na utamaduni huu ndiyo dhana ya Uzalendo wenye ‘Utu wa Dhahabu’ kutokea ‘MASHARIKI’…
 
Raisi mmoja tu ndio utasema ana ahueni Uhuru, ila kina Kibaki, Huyu Ruto na wengi tu ni so and so

..Kenya ya sasa hivi ni ahueni kuliko ya enzi za Kenyatta na Moi.

..pia hata huo mfumo wa Kidikteta unaopendekeza matokeo yake yatategemea uwezo na maadili ya huyo dikteta.

..vilevile Dikteta hawezi kutawala nchi nzima peke yake, lazima ateue wasaidizi ktk ngazi mbalimbali chini yake.

..Ni lazima uwe na utaratibu wa nchi nzima kuwapata viongozi, na kuwaondoa au kuwabadilisha. Sasa hapo ndipo unapotakiwa kupajengea hoja.

..Utawala wa Kidikteta unaweza kukupa matokeo mazuri, lakini nadhani inawezekana ktk nchi ndogo, yenye watu wachache, na wasio na elimu au exposure.
 
Boss una nchi kubwa inayokua kwa kasi kabisa China kama Mfano, kuna Nchi za kiarabu zenye watu sio wengi sana ila sio kidogo pia kama Saudia 30M+, kuna Urusi Nchi yenye na Engineer wengi kushinda zote Duniani etc. Wote hao wana wananchi wenye Elimu na Exposure kushinda 90% ya Nchi zote Duniani.
 
..Labda ungeeleza kwa mfano Urusi mfumo wao wa uchaguzi ukoje ili tupime tofauti yake na mifumo tuliyonayo na kuona kama inatufaa.
 
Kuna kitu kinaitwa The Iron Law of inevitable oligarchy. Inasema taasisi zote za kidemokrasia huishia kuwa oligarchy. Ndiyo sababu unaona leo US wanapiga kelele nchi yao imekuwa oligarchy. Usijidanganye upo huru, kwenye mifumo yote lazima ucheze elites wanavyokuambia.
Mkuu naona ushasahau definition ya "doctatorship"

Definition yake ni kwamba anaefanya maamuzi ni mtu mmoja tu hakuna mwingine anachangia chochote

Sasa maamuzi yakifanywa na mtu mmoja errors ni kubwa kuliko ku distribute decision making wafanye watu mbalimbali ku-spread out errors na risks

Sasa unapokuja na hoja ya "oligarchy" ni ujinga usio na maana,maana hizo sehemu watakaa watu wa huyo dictator,olgarchy itarudi pale pale

Hii kujifanya "dictator" ufanye kila kitu mwenyewe sio kazi ya kiongozi

Kazi ya kiongozi ni "Kusimamia Sheria" kuhakikisha zinakua applied equally kwa wanadamu wote ndani ya nchi husika

Unafanya haya kwa kua na "strong institutions" kuzipa power na kuhakikisha kila mtu anafanye mandate zake kwa usahihi

Kiongozi kuingilia maisha binafsi ya watu,kuua watu,kuhukumu watu as if yeye ni mahakama,kunyang'anya mali za watu,kuumiza watu,etc ni ujinga wa madictator wanafanya wakati sio kazi zao na wanapoteza muda tu

Kiongozi mkubwa haswa ni kuruhusu wa chini yake wafanye maamuzi kwa niaba yake ila wakikukosea yeye anaingia ku-rule out hayo maamuzi mabovu na kutoa adhabu kwa wahusika kwa kufuata utaratibu sio kujiamulia ua huyu piga risasi yule

Kuongoza nchi ni kazi sio ngumu,acha kuingilia watu maisha yao binafsi,tia nguvu taasisi,na hakikisha SHERIA inafuata na kila matako kwenye nchi,nchi ni lazima iwe first class country in a very short time
 
..Labda ungeeleza kwa mfano Urusi mfumo wao wa uchaguzi ukoje ili tupime tofauti yake na mifumo tuliyonayo na kuona kama inatufaa.
Hawana mfumo, watakavyojiskia ni hivyo hivyo, mfumo wao ni Putin atakachoamua, Alikua Raisi, akawa waziri mkuu, Sasa hivi ni Raisi, amebadili Katiba mara nyingi na mara ya mwisho kajiongezea muda wa Raisi hadi 2036.

So kwao atakaefit ndio huyo huyo Raisi ili mradi aweke Urusi mbele, unaweza ukasema department yao ya kijasusi ina play role kubwa.
 
..kama ni hivyo basi kuna tofauti ndogo sana kati ya Urusi na kinachoendelea Tanzania.

..Sasa kwanini Urusi inapiga hatua wakati Tanzania tukizama kwenye umasikini?
 
..kama ni hivyo basi kuna tofauti ndogo sana kati ya Urusi na kinachoendelea Tanzania.

..Sasa kwanini Urusi inapiga hatua wakati Tanzania tukizama kwenye umasikini?
Sababu wao wanajua strength za nchi yao, na kuzitumia Effectively, na sio kupelekeshwa ama kuiga iga wengine wanafanya nino
 
Ametoa mfano wa nchi kama china na Korea! Na Mimi naongezea Japani ,Urusi na nchi za kiarabu zinazotawaliwa kifalme kama Saudi Arabia , Dubai , Kuwait , Emirates nk.
Hizo zote ni nchi tajiri kwa sababu huu upumbavu unaoita demokrasia hawataki kuusikia.

Japan ni nchi ya demokrasia kama uingereza. Unaweza kuwa na mfalme bado ukawa na demokrasia.

Utafiti umeshafanyika Tanzania na nchi nyingi watu wengi wanataka demokrasia kuliko hiyo mifumo mingine. Watu wengi wanashabikia mifumo ambayo hawaifahamu. Sisi tulioishi nchi tofauti tunajua
 
Back
Top Bottom