Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Kenya ni nchi lege lege, inayo practise jambo ambalo wakati wake bado haujafika, najaribu kujiuliza ilikuwaje taifa hilo likakubali muhimili wake muhimu sana kufanyiwa dhihaka na fedheha namna ile,
#A perfect democracy is not for Africa.
# wenzetu wachina waliona hili mapema sana wakaliepuka mapema sana,
#Demokrasia ndiyo mlango mkuu wa maadui wa taifa lolote lile,
#Nchi zetu za Afrika zilihitaji zaidi sheria kali na ngumu hasa katika kutunza na kudhibiti rasilimali za taifa kuliko demokrasia.
#Njaa husababisha mtu kuchukuwa maamuzi ya hovyo, lakini aliyeshiba hujitafakari vizuri, kwanza, sasa kwa kenya it's obviously "Njaa" ndiyo maana kwenye heading nikaweka kushibishwa!