MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
madem wa jf kwa mitoko tu hawajambo, shikamooni

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Si KWELI, acha kumtisha mwenzakoukiugua gono a.k.a U.T.I una 95 pasee ume acquire
Hako kamjamaa ni ka Mshana Jr bila shakamadem wa jf kwa mitoko tu hawajambo, shikamooni![]()
Mpumbavu sana wewe. Umefanya ngono zembe bila kinga, umevagaa GONO na bado unakuja kuandika kwa maringo.Huyu demu nilikutana naye haja jamvini, nikajisogeza PM kwake na zozo zogozi likaanza taratibu, tukawa marafiki tukitoka mida ya jioni kazini tunapitia K Tea Shop kupata kikombe cha kahawa na sambusa.
Tuliendelea kwa wiki kadhaa, kabla sijaomba mchezo. NI yeye aliyetaka tukaangalie movie usiku, tulipotoka huko tukapita bar kusuuza makoo.
Baada ya hapo, tukiwa tumechangamkwa na akili tukaenda home. Mzee nikala mzigo kibabe sana.
Tangu hapo ikawa ndio jadi yetu. Wiki mbili zilizopita niliona napata maumivu wakati wa kukojoa. Hali ikawa mbaya kwani nikaanza kutokwa na usaha.
Haraka haraka nikaenda Hospitali ambapo nilipewa dawa za kumeza kwa siku tano.
Nimepona GONO, Jana usiku bibie kaja nyumbani, kapika kafanya yote. Nikatarajia ataondoka, hakuondoka. Anataka nimchekeche. Nimemwambia ukweli kwamba aliniambukiza GONO, ajiwahi asije akaambukiza wengine.
Akaanza kulia na kunisema kwamba nimemdhalilisha na kumvunjia heshima, yeye sio aina ya watu wanaoweza kuwa na GONO, yeye ni muungwana na mstaarabu, GONO nimepata kwenye umalaya wangu.
Sikuwa nanla kusema Ila kumuomba msamaha na kumshauri akapime na kuanza matibabu.
Waungwana, Waswahili wanasema kuti la mazoea ndilo humuangusha mgema. Tusisahau kutumia condom USAID hawapo tena.
😀 Sipo kizembe namna iyoNa wewe usijisahau
punguza kuropoka unless umeandika tu kujifurahishaHako kamjamaa ni ka Mshana Jr bila shaka
Kapona gono siyo vvu. Yeye asuburi miezi 3 aanze dozi. Haya magonjwa ni sawa na malaria na homa yanaenda pamoja.Shukuru gono inatibika ungepata vvu ungetibuje
Hili nalo ni tatizo la ubongo kuweka mambo binafsi public unnecessaryHuyu demu nilikutana naye haja jamvini, nikajisogeza PM kwake na zozo zogozi likaanza taratibu, tukawa marafiki tukitoka mida ya jioni kazini tunapitia K Tea Shop kupata kikombe cha kahawa na sambusa.
Tuliendelea kwa wiki kadhaa, kabla sijaomba mchezo. NI yeye aliyetaka tukaangalie movie usiku, tulipotoka huko tukapita bar kusuuza makoo.
Baada ya hapo, tukiwa tumechangamkwa na akili tukaenda home. Mzee nikala mzigo kibabe sana.
Tangu hapo ikawa ndio jadi yetu. Wiki mbili zilizopita niliona napata maumivu wakati wa kukojoa. Hali ikawa mbaya kwani nikaanza kutokwa na usaha.
Haraka haraka nikaenda Hospitali ambapo nilipewa dawa za kumeza kwa siku tano.
Nimepona GONO, Jana usiku bibie kaja nyumbani, kapika kafanya yote. Nikatarajia ataondoka, hakuondoka. Anataka nimchekeche. Nimemwambia ukweli kwamba aliniambukiza GONO, ajiwahi asije akaambukiza wengine.
Akaanza kulia na kunisema kwamba nimemdhalilisha na kumvunjia heshima, yeye sio aina ya watu wanaoweza kuwa na GONO, yeye ni muungwana na mstaarabu, GONO nimepata kwenye umalaya wangu.
Sikuwa nanla kusema Ila kumuomba msamaha na kumshauri akapime na kuanza matibabu.
Waungwana, Waswahili wanasema kuti la mazoea ndilo humuangusha mgema. Tusisahau kutumia condom USAID hawapo tena.
Sema tumekuwa na tabia ya kupimana kwa macho na kuleta mazoea yasiyo na tija katika afya zetu.tuwe makini sana na haya maswala ya kimahusiano maana kuna wanawake wengine wanakuwa na maroho machafu ukijamiana nao unaanza kuona mazigazi bado kuna swala la ukimwi Vijana tunajisahau sana sikuhizi utelezi umekuwa rahisi sana kama pipi dukani kwa mangi.Huyu demu nilikutana naye haja jamvini, nikajisogeza PM kwake na zozo zogozi likaanza taratibu, tukawa marafiki tukitoka mida ya jioni kazini tunapitia K Tea Shop kupata kikombe cha kahawa na sambusa.