Demu aliyeniambukiza gono kaja tena ghetto

Huyu demu nilikutana naye haja jamvini, nikajisogeza PM kwake na zozo zogozi likaanza taratibu, tukawa marafiki tukitoka mida ya jioni kazini tunapitia K Tea Shop kupata kikombe cha kahawa na sambusa.

Tuliendelea kwa wiki kadhaa, kabla sijaomba mchezo. NI yeye aliyetaka tukaangalie movie usiku, tulipotoka huko tukapita bar kusuuza makoo.

Baada ya hapo, tukiwa tumechangamkwa na akili tukaenda home. Mzee nikala mzigo kibabe sana.

Tangu hapo ikawa ndio jadi yetu. Wiki mbili zilizopita niliona napata maumivu wakati wa kukojoa. Hali ikawa mbaya kwani nikaanza kutokwa na usaha.

Haraka haraka nikaenda Hospitali ambapo nilipewa dawa za kumeza kwa siku tano.

Nimepona GONO, Jana usiku bibie kaja nyumbani, kapika kafanya yote. Nikatarajia ataondoka, hakuondoka. Anataka nimchekeche. Nimemwambia ukweli kwamba aliniambukiza GONO, ajiwahi asije akaambukiza wengine.

Akaanza kulia na kunisema kwamba nimemdhalilisha na kumvunjia heshima, yeye sio aina ya watu wanaoweza kuwa na GONO, yeye ni muungwana na mstaarabu, GONO nimepata kwenye umalaya wangu.

Sikuwa nanla kusema Ila kumuomba msamaha na kumshauri akapime na kuanza matibabu.

Waungwana, Waswahili wanasema kuti la mazoea ndilo humuangusha mgema. Tusisahau kutumia condom USAID hawapo tena.
Oya nipe huyo demu mie hao wa gono na vvu ndio nawataka
 
IMG-20250208-WA0025.jpg
Chai na mkate
 
Aaah kweli kungonoka kwa msaada wa watu wa marekani kuleta dawa na condoms ili kukabiliana na madhara ya ngono za rejareja hakunaga
 
Umetuangusha kaka.
Gono kwa mwanamke anaweza kukaa nalo hata mwaka bila kujua hivyo ulipopata wewe ilitakiwa umchukue muende kupata tiba pamoja
Kwanza hospital nyingi ukionekana una gono wanahitaji ukamlete na mwenzako sababu wanaujua huu ugonjwa

Kwa mwanaume gono unaanza kulisikia ndani ya siku moja ila kwa mwanamke ni ngumu sababu anajisikia kawaida tu hivyo ulichokitangaza hapa sio sahihi, au ulitakiwa utujuze mkiwa mmeshapata tiba wote.... Huyo demu hata akipata tiba nashauri akae mbali na wewe
 
Sio kweli kwa asilimia hizo mkuu. Ukweli ni kwamba mwanamke akiwa na Gono akisex na mtu mwenye HIV nilazima apate maambukizi .

Ukweli mwingine mwanamke anaweza kuishi na Gono kwa miaka mingi
ukiugua gono a.k.a U.T.I una 95 pasee ume acquire
 
Huyu demu nilikutana naye haja jamvini, nikajisogeza PM kwake na zozo zogozi likaanza taratibu, tukawa marafiki tukitoka mida ya jioni kazini tunapitia K Tea Shop kupata kikombe cha kahawa na sambusa.

Tuliendelea kwa wiki kadhaa, kabla sijaomba mchezo. NI yeye aliyetaka tukaangalie movie usiku, tulipotoka huko tukapita bar kusuuza makoo.

Baada ya hapo, tukiwa tumechangamkwa na akili tukaenda home. Mzee nikala mzigo kibabe sana.

Tangu hapo ikawa ndio jadi yetu. Wiki mbili zilizopita niliona napata maumivu wakati wa kukojoa. Hali ikawa mbaya kwani nikaanza kutokwa na usaha.

Haraka haraka nikaenda Hospitali ambapo nilipewa dawa za kumeza kwa siku tano.

Nimepona GONO, Jana usiku bibie kaja nyumbani, kapika kafanya yote. Nikatarajia ataondoka, hakuondoka. Anataka nimchekeche. Nimemwambia ukweli kwamba aliniambukiza GONO, ajiwahi asije akaambukiza wengine.

Akaanza kulia na kunisema kwamba nimemdhalilisha na kumvunjia heshima, yeye sio aina ya watu wanaoweza kuwa na GONO, yeye ni muungwana na mstaarabu, GONO nimepata kwenye umalaya wangu.

Sikuwa nanla kusema Ila kumuomba msamaha na kumshauri akapime na kuanza matibabu.

Waungwana, Waswahili wanasema kuti la mazoea ndilo humuangusha mgema. Tusisahau kutumia condom USAID hawapo tena.
Watz Wengi hatupendinl kuelezwa ukweli tunapenda uongo ulikosea jinsi ya uwasilishaji kwake au sio
 
Back
Top Bottom