Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nsekile fijho,.mweAjifunze kutafuta watu wazima
🤣🤣Vijana wanaleta gazeti kama lilivyo,hukunyoa basi jiandae kuanikwa🤭Nsekile fijho,.mwe
Acha hizoKaa kwa kutulia,
Kumbuka ya Trump.
Acha zogo🤣🤣🤣🤣
Mahusiano ya jf yanakuja hadharani kama yalivyo🙌
Wababa moo humu? Hawa vijana wa 2000 hapana wajameni
Hivi mnajua maana ya mambo ya chumbani?..
Kuweni wastaarabu bhana
SijuiWatz Wengi hatupendinl kuelezwa ukweli tunapenda uongo ulikosea jinsi ya uwasilishaji kwake au sio
Ulimkaribisha ili iweje sasa?Huyu demu nilikutana naye haja jamvini, nikajisogeza PM kwake na zozo zogozi likaanza taratibu, tukawa marafiki tukitoka mida ya jioni kazini tunapitia K Tea Shop kupata kikombe cha kahawa na sambusa.
Tuliendelea kwa wiki kadhaa, kabla sijaomba mchezo. NI yeye aliyetaka tukaangalie movie usiku, tulipotoka huko tukapita bar kusuuza makoo.
Baada ya hapo, tukiwa tumechangamkwa na akili tukaenda home. Mzee nikala mzigo kibabe sana.
Tangu hapo ikawa ndio jadi yetu. Wiki mbili zilizopita niliona napata maumivu wakati wa kukojoa. Hali ikawa mbaya kwani nikaanza kutokwa na usaha.
Haraka haraka nikaenda Hospitali ambapo nilipewa dawa za kumeza kwa siku tano.
Nimepona GONO, Jana usiku bibie kaja nyumbani, kapika kafanya yote. Nikatarajia ataondoka, hakuondoka. Anataka nimchekeche. Nimemwambia ukweli kwamba aliniambukiza GONO, ajiwahi asije akaambukiza wengine.
Akaanza kulia na kunisema kwamba nimemdhalilisha na kumvunjia heshima, yeye sio aina ya watu wanaoweza kuwa na GONO, yeye ni muungwana na mstaarabu, GONO nimepata kwenye umalaya wangu.
Sikuwa nanla kusema Ila kumuomba msamaha na kumshauri akapime na kuanza matibabu.
Waungwana, Waswahili wanasema kuti la mazoea ndilo humuangusha mgema. Tusisahau kutumia condom USAID hawapo tena.