Demu kanitokea live, lkn hataki tu-do.

Demu kanitokea live, lkn hataki tu-do.

Wana JF,
Kwanza niseme mimi ni new member. Nashukuru kwa kunipokea. Naomba mnipe maoni yenu kuhusu hili.
Miezi michache iliyopita (kama 10) alinitongoza demu fulani mdogo kunizidi lkn mzuri sana tu. Kusema kweli sikuwa na mpango wa kumtongoza yeye na alipogundua hilo akafanya kweli. Ninaishi Arusha na yeye anaishi Moshi kwa sasa. Mimi ninafanya kazi Arusha na yeye yuko mwaka wa mwisho chuoni pale MUCCOBS. Tatizo ni kuwa sasa nialmost mwaka lkn hatujawahi kufanya mapenzi. Kila nikianzisha mada hiyo anadai tusubiri hadi turuhusiwe kimaadili. Sasa sijui anafikiri mimi naishije mwaka mzima? Yuko so firm na moral kiasi kwamba sina ubavu wa kumforce-kwani kweli nampenda na nawish tutaoana siku moja. Cha kushangaza amekuwa muwazi kuwa alishawahi kufanya mapenzi na mwanaume hapo kabla. Sasa sijui kwa nini mimi ninayetarajia honestly kuwa mchumbake na mume hanikubalii. Nichakachue nje au? Manake bado hatuna mpango wa kuoana sasa-labda miaka 2 ijayo. Does it mean nisubiri tu? Nahisi ni mtego/kikwazo mkali sana kwangu.

mwisho wa siku hakikisha ni bikra. Zaidi ya hapo ni blah blah tu
 
Usidanganyike mkuu hata mimi ilishawahi kunitokea hvihv kama hii yako, lakini mwisho wa siku demu alikuwa na mtu mwingine anachakachua ile mbaya halafu mi naambiwa subiri mpaka tuoane.
 
Usidanganyike mkuu hata mimi ilishawa kunitokea hvihv kama hii yako, lakini mwisho wa siku demu alikuwa na mtu mwingi anachakachua ile mbaya halafu mi naambiwa subiri mpaka tuoane.
 
Wana JF,
Kwanza niseme mimi ni new member. Nashukuru kwa kunipokea. Naomba mnipe maoni yenu kuhusu hili.
Miezi michache iliyopita (kama 10) alinitongoza demu fulani mdogo kunizidi lkn mzuri sana tu. Kusema kweli sikuwa na mpango wa kumtongoza yeye na alipogundua hilo akafanya kweli. Ninaishi Arusha na yeye anaishi Moshi kwa sasa. Mimi ninafanya kazi Arusha na yeye yuko mwaka wa mwisho chuoni pale MUCCOBS. Tatizo ni kuwa sasa nialmost mwaka lkn hatujawahi kufanya mapenzi. Kila nikianzisha mada hiyo anadai tusubiri hadi turuhusiwe kimaadili. Sasa sijui anafikiri mimi naishije mwaka mzima? Yuko so firm na moral kiasi kwamba sina ubavu wa kumforce-kwani kweli nampenda na nawish tutaoana siku moja. Cha kushangaza amekuwa muwazi kuwa alishawahi kufanya mapenzi na mwanaume hapo kabla. Sasa sijui kwa nini mimi ninayetarajia honestly kuwa mchumbake na mume hanikubalii. Nichakachue nje au? Manake bado hatuna mpango wa kuoana sasa-labda miaka 2 ijayo. Does it mean nisubiri tu? Nahisi ni mtego/kikwazo mkali sana kwangu.

Mmmh,aisee nimetumia akili kuelewa statement nyekundu ila wapi!

We subiri tu bana,me niko kwenye situation kama yako,(ila sio kwenye red) na nilipo jidai kutoka nje nilipata doa la kuwa na mtoto!
Leo hii ni balaa,siwezi muoa nlie zaa nae coz nilimfata kwa tamaa tu na huyu wa ukweli ananipenda sana na anasema kuwa na mtoto nje sio ishu kwake!

You don't want to feel guilty in the future like i feel now!
Usidanganywe na condom,i trust them NOT
 
Usidanganyike mkuu hata mimi ilishawa kunitokea hvihv kama hii yako, lakini mwisho wa siku demu alikuwa na mtu mwingi anachakachua ile mbaya halafu mi naambiwa subiri mpaka tuoane.

Yawezekana kweli ila hiyo sio kwa kila binti kaka,wengine wana jiheshimu na wana simamia maneno yao! (maybe huyo wake ana jiheshimu sana)
 
mwisho wa siku hakikisha ni bikra. Zaidi ya hapo ni blah blah tu

Sio ,soma post vizuri na kuwa kwake muwazi ni uthibitisho kwamba she is determined and focused hataki makosa repeatedly
 
Kuna mambo mengi hapo

a) inawezekana huyo aliyefanya nae mapenzi alimtelekeza baada ya ku do nae, sasa hataki irudie tena
b) labda ana kasoro ambayo anaogopa kukuonyesha na ndo mana yule jamaa mwingine alisepa baada ya kuiona
c) kuna jamaa mwingine ambae anakula mzigo ila hana maisha nae na wewe anataka kuona uvumilivu wako
d) anamwogopa mungu baada ya kufanya mara ya kwanza na anataka afanye baada ya ndoa
e) wewe hujaweza kumweka kwenye kona vizuri ili aachie mzigo coz yeye ndo alikutongoza
f) anataka umwone kwamba yeye sio mrahisi kiasi hicho japokua alikutongoza alikua hafuati ngono kwako kiivyoooooo wanaume wengi wanavyofikiri. (unajua miwanaume ina akili ndogo sana kwenye maswala ya kimapenzi, eti akitongozwa na demu basi anafikiri yesu kashusha manemane cku hiyo hiyo anataka ku do! We dogo tulia hakuna ngono kwa sasa hadi miaka 2 kudadeki, dada kaza kamba!

Hahaha,dah uchambuzi murua na umeniacha sina mbavu mwishoni!
 
Mjanja huyo anataka muingie kwenye serious relationship ndio akupe tunda usije ukamwacha
 
Mwambie hisia na mihemko imekuzidi uwezo hivyo uvumilivu umekushinda kitakachotokea tusilaumiane. Nishawahi kuwa na dem wa aina hiyo anabana kwangu kumbe kuna mtu anabandua kisela

Si bora wewe, mi nilikuwa nabaniwa, afu wana kitaa sijawatonya kama najiweka. Siku ya siku du akapita zake kijiwe, tukapotezeana, wana wakanimegea stori kuwa duu anatoa tiGO ile kixhenzy, na washkaji wenyewe washaxpirience the difference. Roho iliuma...
 
Usipoangalia utauziwa mbuzi kwenye gunia kwani hayo mambo ya kusubira yapo kweli siku hizi sidhani lazima utest kwanza mzigo kama unalipa au laah ha ha ha ha

Hapo ndipo ninapokupendea wewe dada. Kunywa mbili kwa bili yangu kokote uliko. Huwa unasema ukweli mtupu, hakuna siasa wala kupindisha maneno.
Jamaa asije kuuziwa mbuzi kwenye gunia.
 
Kuna mambo mengi hapo

a) inawezekana huyo aliyefanya nae mapenzi alimtelekeza baada ya ku do nae, sasa hataki irudie tena
b) labda ana kasoro ambayo anaogopa kukuonyesha na ndo mana yule jamaa mwingine alisepa baada ya kuiona
c) kuna jamaa mwingine ambae anakula mzigo ila hana maisha nae na wewe anataka kuona uvumilivu wako
d) anamwogopa mungu baada ya kufanya mara ya kwanza na anataka afanye baada ya ndoa
e) wewe hujaweza kumweka kwenye kona vizuri ili aachie mzigo coz yeye ndo alikutongoza
f) anataka umwone kwamba yeye sio mrahisi kiasi hicho japokua alikutongoza alikua hafuati ngono kwako kiivyoooooo wanaume wengi wanavyofikiri. (unajua miwanaume ina akili ndogo sana kwenye maswala ya kimapenzi, eti akitongozwa na demu basi anafikiri yesu kashusha manemane cku hiyo hiyo anataka ku do! We dogo tulia hakuna ngono kwa sasa hadi miaka 2 kudadeki, dada kaza kamba!

Wewe dada umenichekesha sana!!!
 
Si bora wewe, mi nilikuwa nabaniwa, afu wana kitaa sijawatonya kama najiweka. Siku ya siku du akapita zake kijiwe, tukapotezeana, wana wakanimegea stori kuwa duu anatoa tiGO ile kixhenzy, na washkaji wenyewe washaxpirience the difference. Roho iliuma...

Usikute walimpakazia tu dada wa watu. Si unajua tena Waswahili hawana dogo! Ungefanya uchunguzi kwanza kabla ya kuyakubali maneno yao!!
 
Hongera kwa kupata msichana ambaye anjithamini na anatunza dignity yake, kama unampenda msubiri, im sure uvumilivu wako utakua worth it
 
mie navyoona usiteseke kumwambia tena bora ujitafutie nje uendelee kuchakachua hadi siku akwambie mwenyewe, ya njee ikinoga oa kabisa hiyo ndio dawa au unaonaje
 
Kama anampenda sana je? amwache tu kihivyo
 
kama anampenda sana afanye juu chini ahakikishe wana duu hata kwakumbaka
 
mtihani unao.
majibu yote yanaleta mkanganyiko zaidi.
nakushauri upige goti usali kujua Mungu amekupangia nini kwenye mahusiano.
ukienda kidunia utaishia kupasua kichwa bure
 
Msubiri huyu dada mpaka wakati muafaka,kama ni ngumu mno na unampenda anza kuandaa utaratibu wa kumuoa mi naamini huyo mrembo si mbuzi kwenye gunia hata kidogo kwasababu zama hizi kuna baadhi ya mabinti wakiguswa tu wanakubali kufanya mapenzi kwakudhani ndio loophole ya kupata waume.
 
Back
Top Bottom