Demu wa ndugu yangu...

Demu wa ndugu yangu...

Wanajamii salaam,
Nimepatwa na mshtuko wa kumalizia mwaka..siamini macho yangu mpaka sasa hivi!
Ilitokea jana jioni,
Nimetoka kwangu mida ya saa kumi na moja jioni kwenda kununua viungo vya kupika supper. Kabla nifike vibandani nikakumbuka ninahitaji movies na rafiki yake mdogo wangu huwa na movies latest kabisa and the previous day alikuwa ameniambia he just bought like 5 new movies. So, nikaona mbona nisipitie tu nichukue wakati narudi nyumbani..
So, huyo nikaingia kwake, kugonga mlango uko wazi basi kwa vile tumezoeana nikaingia tu huyo..
Mara ghafla nikashtushwa na sight niliyoiona. Ni demu wa mdogo wangu ambaye wamekuwa pamoja for like a year (Na hiyo ukiachia wen they were just friends). For a fact, I know mdogo wangu anampenda sana...wamekuwa friends since waanze chuo na sasa wako third year!
They were seriously making out..that, they didn't notice my presence hapo. Ilibid nikohoe ndo wakajishtukia. Walishtuka..au niseme sote tulishtuka sana (japo kila mtu alikuwa na sababu yake). Kaka mtu nikajikaza, nikamuomba muvi zake nikatoka..hakusema lolote na mimi nikaamua kukaa kimya.
Mambo mawili yananitatiza hapa:
* Mdogo wangu alitumiwa sms na demu wake kama nimemwambia kitu, akaja kuniuliza nikamwambia kwani was I to tell you anything!??
* La pili ni ule uchungu tu kama kaka, nikikaa kimya inaniuma sana na i can't imagine kumweleza dogo atajisikiaje!??
Am in a dilemma ata sijui uamuzi upi nichukue!????
Sasa mkuu sijaelewa kidogo walikuwa wanafanya mapenzi, kiss au walikua wanaongea tu. Hili swala ni rahisi sana wewe mfate rafiki wa mdogo wako na ongea nae kwanza then nenda kwa demu sikiliza version ya story halafu mwelezee dogo A-Z.
Ila mshauri wewe unavyoona ila maamuzi ya kusuka au kunyoa mwachie mwenyewe ila kama kaka utaheshimu maamuzi yake and you will be behind him.
 
Mie ushauri wangu ni kutumia busara za kikubwa. Mwambie mdogo wako, kama anayapenda maisha yake basi kuanzia leo akilala huyo dem atumie kinga, condom. Na mwambie unampenda sana mdogo wako na hautopenda afe na maradhi kwa ajiri ya dem. Mtolee macho na Mshauri akapime ngoma mapema, ili ajue afya yake na anzie wapi. Hapo itakuwa umesha mfungua maskio, ataelewa unachokiongea.

Na akikuliza, kwanini kaka? na kujifanya anamjua sana dem wake, sijui nini, na kubishia ushauri wako. We mwambie sawa tu, lakini mfahamishe mpaka atakapo hakikisha yeye mwenyewe kwa macho yake, atakuwa umekwisha, nawe unamurumia tu ndugu yako wa damu, na unaona wewe ndio muokozi wake hamna mwingine. Na hautaki humkose maishani kwa jambo unalo lifaham ambalo linaweza kuliepuka, kabla matatizo hayaja ingia. Ukiona anakubaliana na wewe na anaelekea kukuskiliza. Mwambie yule dem wako changu ndoa, na umemfumania akifanya uchau wake, na ndio maana akakuliza kama nimekuambia kitu. Ila husimuambie kama rafiki yake ndio anamchukua dem wake, hasiende kumpiga mavisu bure ikawa baraha. Uchune kwanza. Ila mwambie awe makini sana na rafiki yake yule pia, mnafiki sana na anataka kumuaribia. Mshauri a jaribu kuwa nae mbali au hachana nae urafiki kabisa akiweza. Pole kaka angu kwa hayo, hapo kifo ninanuka aise. Na faham ni ngumu sana kwako. Ni kama kufumania dada na baba wakifanya mapenzi, je utaanzaje kumuambia mama? pole naelewa unavojiskia kaka, jikaze tu ndio ukubwa
 
Sasa mkuu sijaelewa kidogo walikuwa wanafanya mapenzi, kiss au walikua wanaongea tu. Hili swala ni rahisi sana wewe mfate rafiki wa mdogo wako na ongea nae kwanza then nenda kwa demu sikiliza version ya story halafu mwelezee dogo A-Z.
Ila mshauri wewe unavyoona ila maamuzi ya kusuka au kunyoa mwachie mwenyewe ila kama kaka utaheshimu maamuzi yake and you will be behind him.

Haujaelewa kitu gani? Ukimkuta dem wako kwa rafiki yako bila kutarajia utaisi nini? unajifanya hauelewi nini?
 
tatizo unaweze kusema halafu asimwache huyo demu. Matokeo yake unaonekana mmbea, mzandiki, mchonganishi, wivu nk. Labda kama ana ushahidi wa picha... Ni ngumu sana kuaminika na hivi dogo kakolea kwa demu.....
 
Wanajamii salaam,
Nimepatwa na mshtuko wa kumalizia mwaka..siamini macho yangu mpaka sasa hivi!
Ilitokea jana jioni,
Nimetoka kwangu mida ya saa kumi na moja jioni kwenda kununua viungo vya kupika supper. Kabla nifike vibandani nikakumbuka ninahitaji movies na rafiki yake mdogo wangu huwa na movies latest kabisa and the previous day alikuwa ameniambia he just bought like 5 new movies. So, nikaona mbona nisipitie tu nichukue wakati narudi nyumbani..
So, huyo nikaingia kwake, kugonga mlango uko wazi basi kwa vile tumezoeana nikaingia tu huyo..
Mara ghafla nikashtushwa na sight niliyoiona. Ni demu wa mdogo wangu ambaye wamekuwa pamoja for like a year (Na hiyo ukiachia wen they were just friends). For a fact, I know mdogo wangu anampenda sana...wamekuwa friends since waanze chuo na sasa wako third year!
They were seriously making out..that, they didn't notice my presence hapo. Ilibid nikohoe ndo wakajishtukia. Walishtuka..au niseme sote tulishtuka sana (japo kila mtu alikuwa na sababu yake). Kaka mtu nikajikaza, nikamuomba muvi zake nikatoka..hakusema lolote na mimi nikaamua kukaa kimya.
Mambo mawili yananitatiza hapa:
* Mdogo wangu alitumiwa sms na demu wake kama nimemwambia kitu, akaja kuniuliza nikamwambia kwani was I to tell you anything!??
* La pili ni ule uchungu tu kama kaka, nikikaa kimya inaniuma sana na i can't imagine kumweleza dogo atajisikiaje!??
Am in a dilemma ata sijui uamuzi upi nichukue!????

Hapo dili na mdogo wako tu, kuwa nae karibu sana kipindi kigumu kama hiko. Na mwambie huyo dem akaendeleze mapenzi yake na yule jamaa yake. Mtishie kabisa achane na mdogo wako, na mwambie kuwa yeye ni mwanamke mshenzi sana na muaji, anafikia hatua ya kutembea hadi na rafiki wa mpenzi wake!!!!! Na mwambie hautaki kumuona machoni mwako kwa mdogo wako. Alafu unamuendea rafiki wa mdogo wako, unamuliza hivi kitu gani anakifanya haswa? au anania gani kwa mdogo wako? Muulize anania ya kumua mdogo wako? Au nia yake amuharibie mwenzie? mdogo wako? Mshushue huyo jamaa ushenzi aache. Tabia yake ya kuiba madem wa marafiki zake sio nzuri ni chafu, tena ni muaribifu sana. Huyo jamaa ni fara tu, mafara mara nyingi upenda kuaribia marafiki zao, mpaka siku atakayo pigwa kisu matakoni ataacha ufara wake
 
Humpendi mdogo wako...ungeshamwambia kwa usalama wake. Heri lawama kuliko hasara...jinsi unavyozidi kusubiri ndivyo mdogo wako anavyozidi kuchota virusi kutoka kwa huyo kicheche. Kumbuka majuto ni mjukuu...mwambie dogo aamue kusuka au kunyoa.
 
yaani unaogopa kwani ni mkewe? siku huyo binti akimpa ukimwi huyo mdogo wako utajuta kaka eti anampenda ndio ukanyamaza. unanishangaza sana ungekuwa rafiki sawa ningeelewa wewe kuogopa kusema lakini damu moja mama mmoja unaogopa nini, kama kweli unampenda mdogo wako umwambie wanawake wegina huyo rafiki yake bomu

wewe kweli unashangaza na vya bure UNAAZIMA NA NDIO MAANA UNAOGOPA KWELI WEWE UNAJIFIKIRIA MWENYEWE ILI USIKOSE DVD ZA KUANGALIA BURE
 
Ingekua ni mtu baki ningekuunga mkono kukaa kimya lakini kwa mdogo wako huna haja ya kuendelea kuwa kimya na kuumia roho. Mwambie ukweli wa ulichokiona halafu muachie mwenyewe afanye uamuzi baada ya kufahamu kile kilichojiri.

BAK u've said
 
Oohh ok kinachoomuuma nini sasa hapa??? Mdogo wako kashindwa kazi kasaidiwa unalalamika????

Sidhani kama ni kweli kuwa kila demu anaechepuka nje na mwanaume mwingine sababu ni kutoridhishwa na jamaa yake( na kwa mwanaume hivyo hivyo), wengine ni umalaya tu.

Ushauri kwa kaka mtu, maadamu demu kajishebedua kuuliza kama umeshachongea kwa mdogo wako hapo huna budi kumwambia ukweli mdogo wako kwani usipomwambia dogo ataendelea kuumia kichwani kwa kutojua kilichofanya demu wake aulize kama vile na pengine anaweza fikiri ulimtongoza demu wake. Lakini zaidi ya yote ni kwamba okoa jahazi huyo demu ni hatari.
 
Haujaelewa kitu gani? Ukimkuta dem wako kwa rafiki yako bila kutarajia utaisi nini? unajifanya hauelewi nini?

Suala alichoona ni nini ? maana huwezi ukaanza kumwambia ndugu yako demu hajatulia nimemkuta anaongea na rafiki yako kwake.
I think he should have enough to make it stick.
 
sijui lakini ila mapenzi taaabu kwelikweli,,ila kuna mabinti waaninifu sana sana,,pls am lukin for a gud gak friend,,jman brothers am siriaz,,
 
Ndiyo maisha hayo kaka.. u have to keep that secret as long as they are friends, may be once they separate then u can tell ur young brother.
 
HUYO DEM CYO KABISA, KAMA AMETHUBUTU KUMPA RAFIKI WA BOYFRIEND, SASA HAO WASIOJUANA NA HUYO BOYFRIEND WAKE SI NDO KABISAA WANAKESHEA. ILA LAWAMA CYO KWA BINTI TU HATA HUYO RAFIKI AKE NA DOGO NI MNAFIKI TENA MTU HATARI SANA. SEMA NA DOGO UOKOE MAISHA YAKE TENA KAMA UNA MUDA MPELEKE DOGO ANGAZA COZ HATA HIYO ULIYOONA NI MWENDELEZO TU HAIJAANZIA HAPO:embarrassed::embarrassed::embarrassed:
 
unaogopa kukosa mahali pa kuazima video nini?
mweleze mdogo wako kwani huyo demu hatakuamini na
atatarajia ipo siku utamchomea tu hivyo ukichelewa kusema
atakugeuzia kibao na kusema umemuomba game oohoo hulijui jiji wewe!
 
Nenda taratibu. Unaweza kukuta wana open relationship, non exclusive.

Amandla.........
 
Nenda taratibu. Unaweza kukuta wana open relationship, non exclusive.

Amandla.........

Hmmmm! Engineer sidhani kama Wabongo tunazikubali hizi open relationship...maana tuna wivu mno! LOL! labda siku za usoni lakini kwa muda tulionao sidhani kama zinakubalika.

unampenda mdg wako?
sema mwaya
sema umwokoe mdg wako
sema ili atafute oltntv mapema.....(km kweli mdg wako alikuwa amejiweka na kumuhesabia demu uyo km mke wake ajae)
u were angel sent from above ili ushuhudie uozo wa demu na uweze kumwambia mdg wako
ukikaa kimya na badaye mkewe akaanza kuonyesha makucha nje nje we dhamira yako itakusuta.
SEMA,SEMA.SEMA.
We kimwana weweeee we acha tu, mzuri kuanzia maneno, akili mpaka sura.
 
Back
Top Bottom