Sasa mkuu sijaelewa kidogo walikuwa wanafanya mapenzi, kiss au walikua wanaongea tu. Hili swala ni rahisi sana wewe mfate rafiki wa mdogo wako na ongea nae kwanza then nenda kwa demu sikiliza version ya story halafu mwelezee dogo A-Z.Wanajamii salaam,
Nimepatwa na mshtuko wa kumalizia mwaka..siamini macho yangu mpaka sasa hivi!
Ilitokea jana jioni,
Nimetoka kwangu mida ya saa kumi na moja jioni kwenda kununua viungo vya kupika supper. Kabla nifike vibandani nikakumbuka ninahitaji movies na rafiki yake mdogo wangu huwa na movies latest kabisa and the previous day alikuwa ameniambia he just bought like 5 new movies. So, nikaona mbona nisipitie tu nichukue wakati narudi nyumbani..
So, huyo nikaingia kwake, kugonga mlango uko wazi basi kwa vile tumezoeana nikaingia tu huyo..
Mara ghafla nikashtushwa na sight niliyoiona. Ni demu wa mdogo wangu ambaye wamekuwa pamoja for like a year (Na hiyo ukiachia wen they were just friends). For a fact, I know mdogo wangu anampenda sana...wamekuwa friends since waanze chuo na sasa wako third year!
They were seriously making out..that, they didn't notice my presence hapo. Ilibid nikohoe ndo wakajishtukia. Walishtuka..au niseme sote tulishtuka sana (japo kila mtu alikuwa na sababu yake). Kaka mtu nikajikaza, nikamuomba muvi zake nikatoka..hakusema lolote na mimi nikaamua kukaa kimya.
Mambo mawili yananitatiza hapa:
* Mdogo wangu alitumiwa sms na demu wake kama nimemwambia kitu, akaja kuniuliza nikamwambia kwani was I to tell you anything!??
* La pili ni ule uchungu tu kama kaka, nikikaa kimya inaniuma sana na i can't imagine kumweleza dogo atajisikiaje!??
Am in a dilemma ata sijui uamuzi upi nichukue!????
Ila mshauri wewe unavyoona ila maamuzi ya kusuka au kunyoa mwachie mwenyewe ila kama kaka utaheshimu maamuzi yake and you will be behind him.