Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
Ukimtendea mwenzio na wewe utatendewa hivyo hivyo.
Kama wewe ni Bingwa wa kutembea na wanafunzi kaa ukijua katoto Kako ka kike katapata tabu sana.
Kuna Matukio kadhaa yanafanana ndo yamenifanya niandike Uzi huu huenda na Kwa wengine ikawa hivyo.
Nilikuwa natafuna Askari polisi mmoja mke wa Daktari,kumbe hata mke wangu naye alikuwa anatafunwa na Polisi mmoja. nikawa na kademu Fulani permanent kumbe na wife naye ana kidumu permanent japo Kwa Siri na home mambo yanaenda sawa.Na mambo mengine mengi Kila tukio nimefanya na Kwa wife naye kafanya.Toka tukiwa wapenzi hatujawa mume na mke.
Zilipofika Arobaini ndo nikagundua mbivu na mbichi nilijua mengi lkn matukio yote yalifanana na niliyofanya.Niliumia sana kuona kuwa mke wangu ni mchepukaji long time.
Ila nilijifunza kuwa Kwa jinsi unavochepuka ndiyo hivohivo na mwenza wako anachepuka Kwa karibu kiwango hicho hicho jaribuni kufuatilia.Muulize demu unayechepuka naye Mr Ake yupoje.