Demu wako au mke wako analiwa Kwa style ile ile ambayo we unawala wake za watu au mademu za watu.

Demu wako au mke wako analiwa Kwa style ile ile ambayo we unawala wake za watu au mademu za watu.

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2011
Posts
17,404
Reaction score
10,900
Ukimtendea mwenzio na wewe utatendewa hivyo hivyo.
Kama wewe ni Bingwa wa kutembea na wanafunzi kaa ukijua katoto Kako ka kike katapata tabu sana.

Kuna Matukio kadhaa yanafanana ndo yamenifanya niandike Uzi huu huenda na Kwa wengine ikawa hivyo.
Nilikuwa natafuna Askari polisi mmoja mke wa Daktari,kumbe hata mke wangu naye alikuwa anatafunwa na Polisi mmoja. nikawa na kademu Fulani permanent kumbe na wife naye ana kidumu permanent japo Kwa Siri na home mambo yanaenda sawa.Na mambo mengine mengi Kila tukio nimefanya na Kwa wife naye kafanya.Toka tukiwa wapenzi hatujawa mume na mke.
Zilipofika Arobaini ndo nikagundua mbivu na mbichi nilijua mengi lkn matukio yote yalifanana na niliyofanya.Niliumia sana kuona kuwa mke wangu ni mchepukaji long time.
Ila nilijifunza kuwa Kwa jinsi unavochepuka ndiyo hivohivo na mwenza wako anachepuka Kwa karibu kiwango hicho hicho jaribuni kufuatilia.Muulize demu unayechepuka naye Mr Ake yupoje.
 
Sababu siyo kuchepuka,
Tatizo ni kwamba ukioa mtu wa tabia kama zako tegemea kwamba anaweza kufanya yote ambayo wewe wafanya, yawe mazuri au mabaya. Mume na Mke huendana sana sanaaa, hivyo kama wewe ni mtu mwema basi mkeo naye anaweza kuwa mwema: Unavyoingia kwenye ndoa lazima akili yako itulie ili mwenzako akose visababu vya kwenda nje kuchepuka....Tuliza kichwa sanaaaaa
 
Sababu kuchepuka,
Tatizo ni kwamba ukioa mtu wa tabia kama zako tegemea kwamba anaweza kufanya yote ambayo wewe wafanya, yawe mazuri au mabaya. Mume na Mke huendana sana sanaaa, hivyo kama wewe ni mtu mwema basi mkeo naye anaweza kuwa mwema: Unavyoingia kwenye ndoa lazima akili yake itulie ili mwenzako akose visababu vya kwenda nje kuchepuka....Tuliza kichwa sanaaaaa
Unayomfanyia mwenzio nawe utafanyiwa tu.Karma.
Ukichepuka hata kama ye hatajua lkn nature itamfanya aanguke tu
 
Back
Top Bottom