Demu wako au mke wako analiwa Kwa style ile ile ambayo we unawala wake za watu au mademu za watu.

Write your reply...ndio uhalisia huo unakuta mtu anaishi mbali na mpenzi wake alafu unakuta yeye anachepuka lakini anaumia sana akijua na mpenziwe anachepuka mi naona amna haja ya kuumia sana ilihali we mwenyew unafanya hayo ye ni nani hasa aweze kuwa mwema sana kama ww unashindwa kuwa ivo
NB :utampata yule unaestaili na si vinginevyo kama ujatulia nayeye atakua ivyo ivyo
 
Agiza", kinywaji ukipendacho nakuja kulipa" nephew"
 
Na wake zao watalalwa tu.Ukilala mke wa mtu na wako ataliwa tu.Embu fuatilia hii kitu Kwa ukaribu utagundua hilo
maisha haypo hivyo mkuu",waweza kuwa umetulia namtiifu wa ndoa yako" au mahusiano yko" ikawa ndio umempa tickets mwenzako ya kuchepuka", na kuanza kukuona boya" ..hii ipo kwa hizi jinsia zote aisee""...

binafsi huwaga siamini kuwa kuna mwanamke ambaye hachepuki" anaweza kutochepuka " lakini hilo litajiri kwa muda".... inshort ukiwa unaishi na hawa jinsia pinzani" usiwe na mawazo ya kusalitiwa salitiwa",utakuja kupatwa na kiharusi
 
Kwa hiyo Mkuu mkeo ni Malaya mkubwa ndio ujumbe hasa uliotuletea na kwamba mpaka anagongwa na Polisi kisa wewe ulikula polisi may be mliambizana
 
Haya mambo tangu yaliponifika kwa binti niliyempenda kuliko nilivyojipenda mimi, nilishabaki na neno moja tu. POTELEA POTE
 
Hii ndiyo habari yenyewe
 
Teh teh teh cha msingi usijue
 
Poa tu kwani shida iko wapi, kila mbabe ana mbabe wake ujue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…