Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
- Thread starter
- #41
Usipokuwa na tabia ya kuwala wa wenzio wako naye pia ana asilimia ndogo mno za kuliwasasa kipi bora maana usipomla mke wa mtu wakwako ataliwa tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipokuwa na tabia ya kuwala wa wenzio wako naye pia ana asilimia ndogo mno za kuliwasasa kipi bora maana usipomla mke wa mtu wakwako ataliwa tu
Agiza", kinywaji ukipendacho nakuja kulipa" nephew"Sababu kuchepuka,
Tatizo ni kwamba ukioa mtu wa tabia kama zako tegemea kwamba anaweza kufanya yote ambayo wewe wafanya, yawe mazuri au mabaya. Mume na Mke huendana sana sanaaa, hivyo kama wewe ni mtu mwema basi mkeo naye anaweza kuwa mwema: Unavyoingia kwenye ndoa lazima akili yake itulie ili mwenzako akose visababu vya kwenda nje kuchepuka....Tuliza kichwa sanaaaaa
hahaa nawewe baba paroko umetafuniwa daaahh kweli dunia haina hurumaNi kweli kiongozi, nimethibitisha hilo bila chenga
kwakweli tunawala mnooo" lakini nikmlaga mke wamtu", huwaga namuona ni empty set", kichwani hamna kitu"wanaume mnaowala wake za watu (zetu) mnajiamini vibaya saana.
maisha haypo hivyo mkuu",waweza kuwa umetulia namtiifu wa ndoa yako" au mahusiano yko" ikawa ndio umempa tickets mwenzako ya kuchepuka", na kuanza kukuona boya" ..hii ipo kwa hizi jinsia zote aisee""...Na wake zao watalalwa tu.Ukilala mke wa mtu na wako ataliwa tu.Embu fuatilia hii kitu Kwa ukaribu utagundua hilo
sio kweli"", inategemea umeoa mwanamke" toka kwenye jamii yenye mazingira ya tabia za namna gani".. kuna wanaume ni watulivu mnoo lakini wake zao" Beki hazikabiUsipokuwa na tabia ya kuwala wa wenzio wako naye pia ana asilimia ndogo mno za kuliwa
Hearly mambo vipi aisee!!Agiza", kinywaji ukipendacho nakuja kulipa" nephew"
mkuu" mambo " poa aisee" sijui wewe ""!?Hearly mambo vipi aisee!!
Nimeshaagiza kinywaji hapa Serana Hotel, njoo ulipe basi!mkuu" mambo " poa aisee" sijui wewe ""!?
Hii ndiyo habari yenyeweWrite your reply...ndio uhalisia huo unakuta mtu anaishi mbali na mpenzi wake alafu unakuta yeye anachepuka lakini anaumia sana akijua na mpenziwe anachepuka mi naona amna haja ya kuumia sana ilihali we mwenyew unafanya hayo ye ni nani hasa aweze kuwa mwema sana kama ww unashindwa kuwa ivo
NB :utampata yule unaestaili na si vinginevyo kama ujatulia nayeye atakua ivyo ivyo
Na wako yupo analiwa na ukija kumuoa ataendelea kuliwakwakweli tunawala mnooo" lakini nikmlaga mke wamtu", huwaga namuona ni empty set", kichwani hamna kitu"
Teh teh teh cha msingi usijuemaisha haypo hivyo mkuu",waweza kuwa umetulia namtiifu wa ndoa yako" au mahusiano yko" ikawa ndio umempa tickets mwenzako ya kuchepuka", na kuanza kukuona boya" ..hii ipo kwa hizi jinsia zote aisee""...
binafsi huwaga siamini kuwa kuna mwanamke ambaye hachepuki" anaweza kutochepuka " lakini hilo litajiri kwa muda".... inshort ukiwa unaishi na hawa jinsia pinzani" usiwe na mawazo ya kusalitiwa salitiwa",utakuja kupatwa na kiharusi
Kuna exceptional casesio kweli"", inategemea umeoa mwanamke" toka kwenye jamii yenye mazingira ya tabia za namna gani".. kuna wanaume ni watulivu mnoo lakini wake zao" Beki hazikabi
Kuwa Malaya hilo umesema weweKwa hiyo Mkuu mkeo ni Malaya mkubwa ndio ujumbe hasa uliotuletea na kwamba mpaka anagongwa na Polisi kisa wewe ulikula polisi may be mliambizana
We una experienceHaya mambo tangu yaliponifika kwa binti niliyempenda kuliko nilivyojipenda mimi, nilishabaki na neno moja tu. POTELEA POTE
Poa tu kwani shida iko wapi, kila mbabe ana mbabe wake ujue.Ukimtendea mwenzio na wewe utatendewa hivyo hivyo.
Kama wewe ni Bingwa wa kutembea na wanafunzi kaa ukijua katoto Kako ka kike katapata tabu sana.
Kuna Matukio kadhaa yanafanana ndo yamenifanya niandike Uzi huu huenda na Kwa wengine ikawa hivyo.
Nilikuwa natafuna Askari polisi mmoja mke wa Daktari,kumbe hata mke wangu naye alikuwa anatafunwa na Polisi mmoja. nikawa na kademu Fulani permanent kumbe na wife naye ana kidumu permanent japo Kwa Siri na home mambo yanaenda sawa.Na mambo mengine mengi Kila tukio nimefanya na Kwa wife naye kafanya.Toka tukiwa wapenzi hatujawa mume na mke.
Zilipofika Arobaini ndo nikagundua mbivu na mbichi nilijua mengi lkn matukio yote yalifanana na niliyofanya.Niliumia sana kuona kuwa mke wangu ni mchepukaji long time.
Ila nilijifunza kuwa Kwa jinsi unavochepuka ndiyo hivohivo na mwenza wako anachepuka Kwa karibu kiwango hicho hicho jaribuni kufuatilia.Muulize demu unayechepuka naye Mr Ake yupoje.