Demu wako au mke wako analiwa Kwa style ile ile ambayo we unawala wake za watu au mademu za watu.

utaumia zaidi..
Utakapogundua mwizi wako ana muhogo alafu wewe una kiba100
Hahahah..! Asante Mungu kwa kuninyima kibamia.
Ukiwa na Tango shida ukiwa na kiba100 shida yaani hatari tupu,kuna mke wa mtu alikuwa anachepuka na jamaa mwenye kiba100 akasema anakipenda kile kibamia Kwa vile hakiumizi kwenye kufanya kazi ya kinyume na maumbile.
 
mi nimefumua mke wa mtu na ana mimba ya miez 6 alikua dem wangu wa chuo Enzi izo 2013 SAUT saivi kaolewa jamaa alinipigia dem wangu kabla hajamuoa kwaivo na mimi narudisha fadhila na nawaza kuendelea kupiga mpaka hasira zangu ziishe
 
Me nna katabia ka kula marafiki wa bebi wangu!.. Ila wana wote wanajua nimeungua hawagusi makoloni yangu!. Huyo Karma anapatikana wapi!?. 😀
 
Nakubaliana nawe Malcom Lumumba kwa asilimia 100%.
 
Zinaa ni deni mzee na dawa ya deni kulipa. Wewe kama unatafuna wake za watu wa kwako lazima atafunwe tu,au kama wewe unatafuna watoto wa watu,na wewe jiandae na wa kwako.

Ila dawa ni moja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…