Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,404
- 10,900
- Thread starter
- #61
Huwa nashangaa mtu anasema ye anatafuna sana wake za watu kasahau naye wake anatafunwaPoa tu kwani shida iko wapi, kila mbabe ana mbabe wake ujue.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa nashangaa mtu anasema ye anatafuna sana wake za watu kasahau naye wake anatafunwaPoa tu kwani shida iko wapi, kila mbabe ana mbabe wake ujue.
Ulitakiwa umshangae/jishangae ambaye utafuni wa wenzio huku wako akitafunwa, anayewatafuna anaenda nao sawa.Huwa nashangaa mtu anasema ye anatafuna sana wake za watu kasahau naye wake anatafunwa
Duh Bora kutotafuna mkuuUlitakiwa umshangae/jishangae ambaye utafuni wa wenzio huku wako akitafunwa, anayewatafuna anaenda nao sawa.
Dah hii comment ni shiidautaumia zaidi..
Utakapogundua mwizi wako ana muhogo alafu wewe una kiba100
Hahahah..! Asante Mungu kwa kuninyima kibamia.utaumia zaidi..
Utakapogundua mwizi wako ana muhogo alafu wewe una kiba100
Vizuri mno, hata nikimuona mwanaume mwenzangu analia kutendwa huwa namuacha tu ili apate funzo baadaeWe una experience
utaumia zaidi..
Utakapogundua mwizi wako ana muhogo alafu wewe una kiba100
Ukiwa na Tango shida ukiwa na kiba100 shida yaani hatari tupu,kuna mke wa mtu alikuwa anachepuka na jamaa mwenye kiba100 akasema anakipenda kile kibamia Kwa vile hakiumizi kwenye kufanya kazi ya kinyume na maumbile.Hahahah..! Asante Mungu kwa kuninyima kibamia.
hata nikiwa mtulivu na mtiifu kwenye ndoa " still ataliwa tu" ....wanawake na usalati ni mapachaNa wako yupo analiwa na ukija kumuoa ataendelea kuliwa
haswaaaTeh teh teh cha msingi usijue
jidanganye tuUsipokuwa na tabia ya kuwala wa wenzio wako naye pia ana asilimia ndogo mno za kuliwa
Nakubaliana nawe Malcom Lumumba kwa asilimia 100%.Sababu kuchepuka,
Tatizo ni kwamba ukioa mtu wa tabia kama zako tegemea kwamba anaweza kufanya yote ambayo wewe wafanya, yawe mazuri au mabaya. Mume na Mke huendana sana sanaaa, hivyo kama wewe ni mtu mwema basi mkeo naye anaweza kuwa mwema: Unavyoingia kwenye ndoa lazima akili yake itulie ili mwenzako akose visababu vya kwenda nje kuchepuka....Tuliza kichwa sanaaaaa
Zinaa ni deni mzee na dawa ya deni kulipa. Wewe kama unatafuna wake za watu wa kwako lazima atafunwe tu,au kama wewe unatafuna watoto wa watu,na wewe jiandae na wa kwako.Ukimtendea mwenzio na wewe utatendewa hivyo hivyo.
Kama wewe ni Bingwa wa kutembea na wanafunzi kaa ukijua katoto Kako ka kike katapata tabu sana.
Kuna Matukio kadhaa yanafanana ndo yamenifanya niandike Uzi huu huenda na Kwa wengine ikawa hivyo.
Nilikuwa natafuna Askari polisi mmoja mke wa Daktari,kumbe hata mke wangu naye alikuwa anatafunwa na Polisi mmoja. nikawa na kademu Fulani permanent kumbe na wife naye ana kidumu permanent japo Kwa Siri na home mambo yanaenda sawa.Na mambo mengine mengi Kila tukio nimefanya na Kwa wife naye kafanya.Toka tukiwa wapenzi hatujawa mume na mke.
Zilipofika Arobaini ndo nikagundua mbivu na mbichi nilijua mengi lkn matukio yote yalifanana na niliyofanya.Niliumia sana kuona kuwa mke wangu ni mchepukaji long time.
Ila nilijifunza kuwa Kwa jinsi unavochepuka ndiyo hivohivo na mwenza wako anachepuka Kwa karibu kiwango hicho hicho jaribuni kufuatilia.Muulize demu unayechepuka naye Mr Ake yupoje.