Demu wangu kaniibia buku 5


Labda kaichukua afu kaenda kununulia vitafunwa
 
Mhh mjin mipango mkaka,hyo ndo ilikua hela ya kulipia chumba,kwani ungekodi guest ungelala buree!?
 
Mhh mjin mipango mkaka,hyo ndo ilikua hela ya kulipia chumba,kwani ungekodi guest ungelala buree!?
nilale gesti ili iweje?kwani hiko chumba anachoishi si nalipa mimi?
 
Huyo sio demu wako bali ni changudoa wako. Na hakuiba bali alijilipa ujira wake baada ya wewe kumtumia usiku mzima bila hata malipo. Sasa unataka vya bure tu mpaka lini wewe kongoni wa madoa doa?
 
Mbali ya yote udokozi siyo tabia nzuri kwa msichana/mvulana mwanamke/mwanaume. Lakini kwa jinsia ya kike akiwa mdokozi kwa kweli nashindwa kuelewa, omba upewe ewe mtoto wa kike

Unajuaje kama aliomba akanyimwa?
 
Unashindwa kumuuliza huyo demu wako unakuja kutulalamikia senti mbili hapa,
 
huu uzi nimeupenda hauchoshi hata kusoma jinsi mtoa mada anavyo lalamika na buku tano yako, ila unamdhalilisha mpenzi wako, aibe buku tano kweli, pengine umepoteza au umesahau ulipoweka halafu unamsingizia mpenzi wako eti kakuibia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…