Demu wangu kaniibia buku 5

Mi cdhani mpenzi wako kuchukua hiko ki 5000 kwamba ana njaa. Wacha mkono wa birika.
 
hii kali,au ni wewe nini?unajua hicho chumba,kitanda,godoro nk kalipia nani?unajua shughuli ninazofanya na kipato changu?hiyn buku 5 kwangu ni milioni!inaniuma!c angeniomba?umeniboa,kama maisha yako yako juu pita huko
 
Hahhhhahhhhahhhahhha aiseee si uwe unampa pesa ya kutumiaaa hahhhhahha aiseee
 
Huyu sio demu ni malaaya maana ndio huwa wanatabia ya kusachi
 
Mkuu pole, inaonekana hata wewe utakuwa na njaa.

Chukua hizi hapa upunguze machungu, usilielie...




hahahahaha jirani wanaume wenzio unawapa kiroho safiiiii ila sisi unatuita wachunaji
aiseeee
 

Yani nilikuwa nimenuna toka mchana, dah nimetabasamu bila kupenda...kuzaba kofi
 
Huyu sio demu ni malaaya maana ndio huwa wanatabia ya kusachi
mkuu imeniuma sana ukizingatia nilimkuta kwenye mazingira magumu na nimemfikisha hapa alipo!ishu zangu mwenyewe za kuungaunga najibana ili yeye ale halafu anafanya hivi?bora peke yangu
 
No, mnaomponda huyu kijana mnakosea. Mwizi ni mwizi tu, hamuwezi jua makibaliano yao, hela ya mwanaume ni ya mwanaume na vivyo hivyo the other side.

Akija muulize vizuri akirudishie hela yako, haiwezekani aibe hivi hivi hata ingekuwa 500 si yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…