Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
- Thread starter
-
- #161
no,nihoji tu evelyn!Natamani kukuhoji ila basi tu ngoja niuchune....
Mi naogopaga mende tu, naona umeingia mitiniUmeogopa mpambano????????
Kwanini umeenda kwa demu wako na buku tano lakini?no,nihoji tu evelyn!
ni kwamba,yule ni demu wangu,namhudumia kila kitu pale,hata nilipokuwa cpo nilim2mia hela na nilikuwa nina uhakika kwamba anayo maana ilikuwa nyingi!siendi tena kwake!Kwanini umeenda kwa demu wako na buku tano lakini?
ina maana asubuhi humpi hata ya kula kongoro?
ni kwamba,yule ni demu wangu,namhudumia kila kitu pale,hata nilipokuwa cpo nilim2mia hela na nilikuwa nina uhakika kwamba anayo maana ilikuwa nyingi!siendi tena kwake!
hivi ni njaa au?sijamuona kama wiki 2 hivi nilikuwa safarini,jana nafika tu dodoma nikadaka tax breki ya kwanza kwake,nikarudishiwa buku 5 na dereva tax,nikajua ndo kianzio cha asubuhi ninapoenda kwenye mihangaiko yangu,nimelala kwake,naamka asubuhi siioni!! Au panya wameiba?sijamuuliza.
bro hapo nishafunga nae ukurasa na simwambii,fikiria toka asubuhi sijaweka kitu tumboni!ngoja nichakarikie buku 2 fulani hivi narudi
buku tano unaliaaa
Hivi ni njaa au?sijamuona kama wiki 2 hivi nilikuwa safarini,jana nafika tu dodoma nikadaka tax breki ya kwanza kwake,nikarudishiwa buku 5 na dereva tax,nikajua ndo kianzio cha asubuhi ninapoenda kwenye mihangaiko yangu,nimelala kwake,naamka asubuhi siioni!! au panya wameiba?sijamuuliza.
mkuu hio pombe umeinywea O level ama vipi?..La tano kubwa mkuu,mtaji wa siku kwenda kuitafutia hela nyenzake hyo.Wakati huo nilipokuwa chapombe walinikoma mabarmaid hadi sh 200 nilikuwa nawadai mpka wakawa wananionaga kauzu.
Hata mwanaume umleavyo ndivyo akuavyo, kuna dada hapa nimemuona analalamika mwanaume anaenda anakula na kuondoka, yeye mwenyewe kamlea hivyo.mwanamke umleavyo ndivyo akuavyo...
Kasema kuna dili la buku 2 anapiga maana hajala salio lote liliibiwa, halafu anasema eti anamgharimikia kila kitu!miss wa kinyaru jamaa kaingia mitini
chezeiya kuibiwa salio lote wallet inasoma 0.00
Dili la buku 2 ha ha ha haKasema kuna dili la buku 2 anapiga maana hajala salio lote liliibiwa, halafu anasema eti anamgharimikia kila kitu!