Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
- Thread starter
- #61
asante mkuuWe ----- tu, buku5 unalialia hapa,wenzako wamepoteza ndege huko malaysia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante mkuuWe ----- tu, buku5 unalialia hapa,wenzako wamepoteza ndege huko malaysia.
wanawake mnanijia juu bure,hamjui maisha yangu,kama mnaona buku 5 ndogo ni kwenu me inanilinda wiki nzimabuku tano unaliaaa
Kwema aseeh nimempenda mwanaoShemeji kwema lakini???
umenifurahisha mkuu!Mpelekee hiziView attachment 150633
Usibishane nao kacharike kijana wangu, hawajui kuwa kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yakewanawake mnanijia juu bure,hamjui maisha yangu,kama mnaona buku 5 ndogo ni kwenu me inanilinda wiki nzima
hebu acha kujitoa akili bana, ina maana hujui watoto wanavyopatikana ama?Kwema aseeh nimempenda mwanao
ntampataje anaefanana na huyo
mmmh...kule sirudi tena mkuukamlambe nanihii upunguze machungu..!
Mulugo kachangia sana kumharibu nanihii.!
mkuu,nimemlipia chumba,nimemnunulia kitanda,godoro,nguo radio na ananitegemea kwa kila kitu!hata nilipokuwa safari nilikuwa namtumia pesa japo ni kidogowewe mbona ulilala bila kulipia? Au ungeenda kulala gesti ungelala bure? kaona wewe ni mgumu na dawa ya watu wagumu ndio hivyo
peleka ujinga huko
Si umsaidie hiyo utabarikiwa
thanx n maisha mema kwakoTatizo tumevamiwa na watoto wakiume, ukiangalia kwa makini unaweza sema kizazi cha wanaume kimekaribia kuisha, wengi waliopo ni watoto wa kiume. Maana kila siku wanalalamika visivyolalamikiwa jamani, inasikitisha au ndo kizazi cha bongo fleva au JK
kupenda pesa ni matokea tu ya mfumo... ila kiukweli ajafanya vizuriKama anachosema ni kweli wa moyo wake, basi hili ni tatizo kubwa na si vema kuuita ujinga. Kwa nini asingeomba? Pia tunasoma humu kila siku watu wakipost kuhusu akina dada na tabia ya kupenda pesa kulikopitiliza.
kwanini mkuu? kwani ulilamba chumvi chumvi?mmmh...kule sirudi tena mkuu
sasa umeibiwa buku tuu unalalamika, Je ukiibiwa Figo au Moyo utasemaje?
waswahili wanasema, akipenda chongo....Mkuu unaandika kwa fasihi mno yani mi sielewi kabisa comment zako; bora nikwambie tu
njoo uniibie moyo mamii... mi sina habari nao kabisa!kwahiyo humu ndo yumo demu wako? Wavulana bwana