Demu ya Kenya vs demu ya Tanzania

Duh tunazungumzia kwa ujumla...Kenya hakuna mademu
 
Tukisema bongo wanawake wazuri sio wote bhana.Ebu nenda hapo iringa vijijini.Wanawake wote sura za baba zao,tako hakuna wote flat screen LG.Lakini ukienda town,kila mtu mzuri ukifika dar ama arusha ndo kabisa.
Kenya nimewai kaa pale mlolongo kwenye estate zao.walai hakuna mwanamke mzuri.walai wana sura ngumu kama reli za tazara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka picha ya demu wa Kenya Tuilinganishe na ya Mbongo!!!!
 
Saikolojia inaonesha kuwa hii ishu mpaka imefunguliwa thread na kujadiliwa hivi, basi haya madai yana ukweli.

Dada zetu wa Kenya ni vibungo kweli kweli!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Saikolojia inaonesha kuwa hii ishu mpaka imefunguliwa thread na kujadiliwa hivi, basi haya madai yana ukweli.

Dada zetu wa Kenya ni vibungo kweli kweli!

Sent using Jamii Forums mobile app
duh...kumbe tena we mwnywe huna uhakika na unachokiandika hapa....duh..si jana tu ulisema ulizunguka kenya nzima vipi tena leo....

hahaaaaa...ulemavu wa akili katika ubora wake...vp...upo kijiweni sai
 
Nakumbuka mwaka uliopita kwenye Miss World mkenya alipoibuka namba nne duniani kwa urembo na pia akajishindia taji la Miss Afrika. Akawa ndio mwafrika pekee yake kwenye top 5 na top 10 pia. Povu lilitiririka humu kutoka kwa watani wetu hadi jukwaa likang'aa kweli kweli. πŸ˜€
 
Alafu baadaye kwenye Miss Universe mkenya mwingine akatinga ndani ya top 6 duniani na akashinda taji la Miss Afrika pia. Mwafrika mmoja tu ndani ya top 10, mkenya mwingine! Big up kwa kina dada wa Kenya, hakuna wengine kama nyinyi duniani. Beautiful, brainy, confident, innovative alafu huwa sio ma'victim' wa kulialia na kunung'unika.
 
Haha.. huo Uzi uko wapi?
 

Una dhambi ww πŸ˜‚πŸ˜‚
 
2016 Miss World, mkenya mwingine ndani ya top 5, Evelyn Njambi. Man, Kenyan ladies have no chills whatsoever, hahaha! πŸ˜€ Awesome women! Hongera zao.
 
pingilinywee...mtanzania haez thubutu...unafikiria wenyewe wanataka make up na mawigi ya mtumba...huku makalio ya kichina...alafu tatizo ni pale kwa kujieleza...taaluma huna,au watasema taaluma zao ni za kuuza k....bwahaaaaa...

kenyan women's...wanajulikana..beauty with brains...mbongo haez hzo ligi...
 
Eti kuna mmoja alisafiri kuiwakilisha nchi yake ya Tz, baada ya kushinda umiss kati ya wanawake wengine wengi. Akavishwa akapandishwa kwenye ndege akiwa ameandamana na msururu wa wasindikizaji, yaani hapo hela tayari zimetumika nyingi. Alafu aliposimama mbele ya majaji Q&A, akaulizwa rais wa U.S.A ni nani, akashindwa kujibu. Hahaha! πŸ˜€ Classic!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…