Baba V mbona unazunguuka sana mara ubungo mara mbezi mara kimara mara masaki
Tulia sehem moja uongee
Kwa taarifa yako wakati uko jela kuna ndoa imefungwa hapa kati ya
Mr Rocky na
Mamndenyi na kwa sasa tuko honeymoon na my darling wangu
Mamndenyi so hayo ya
Dena Amsi yalishapitwa na wakati
Yeye
Dena Amsi kwa sasa kwa taarifa nilizo nazo yuko na
Erickb52 na kwa habari zilizopo ni kuwa
Erickb52 kahamia kabisa kwa
Dena Amsi analelewa
Hivyo napenda kuutangazia umma kuwa kwa sasa niko kwenye ndoa na
Mamndenyi na tuko honeymoon kwenye visiwa ambapo hapa tunasikia sauti za maji ya bahari tuu na ndege wanaoimba kwa sauti nzuri na hapa pembeni kuna mvinyo laini sana
My darling
Mamndenyi hebu watuache zima na hizo simu na computer kabisa sitaki email wala mawasiliano yoyote achana na hawa akina
Baba V wanadeep deep hapa
Copy kwa
Vin Diesel,
Mungi,
Erickb52,
Nicas Mtei.
Ruhazwe JR