Dena Amsi asema "Mimi na Mr Rocky sasa basi"

Hivi Baba V inarasimishwa kwa kuja kufanya ile kitu mbele yako au ni vipi hebu niambie
Sikusingizii naona mlikuwa mnaomba sana ndoa yangu ivunjike
haya huyo Dena Amsi yuko free sasa juu yenu tumuone mshindi ni nani

Mfanye nini mbele yangu!!?? kuwa na adabu dogo
 
Last edited by a moderator:
Baba V usije kama moto wa mabua
useme aliko Mama v kwanza.
Mr. Rocky nakupenda.

 
Last edited by a moderator:
Nyie hapo Baba V na Dena Amsi kinawauma nini kwa mimi kuwa na Mamndenyi mpaka sasa mtoa na maangalizo yenu
Kwani wakati wa ndoa zenu nani alikuwa anawapa ushauri
Tuacheni bana tupumzike kwa raha
 
Last edited by a moderator:
Baba V heshima yako ni kubwa sana kwenye hili jamvi
hi ya kuanza kuingia ndani na kudisi ndoa ulizozikuta ulipotoka nyuma ya nondo
siyo nzuri,
na sisi tunataka baraka zako mwenyekiti.

Ndo zako "playboy" sipati picha siku huyo bibi anakuja hapa analia
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…