Dena Amsi Banned!

Kuna sala nimekutumia kwenye PM isali huyu Dena atafunguliwa
Live long Rev!
We thanks God for having you in this forum as we dont spend much time to look for Rev in Church
We highly need your services espacilly this period of massive bunning.
Now assure me that Dena will be realised upon praying this SALA.
 
Umenikumbusha Kwaresma rafiki, huwa napenda sana hiki kipindi. na kwa taarifa tu, usiponiona hicho kipindi ndo ujue nipo kwenye mfungo........ sitaomba BAN kama Dena. mi nataka nijue kabisa naruhusiwa kuchangia lakini najizuia (MFUNGO)
Muhimu sana tarehe 9 March
 
Kwa kweli nitakuwepo online! Unajua tena hizi technolojia.....isitoshe kwa mialiko maalumu nitakuwa nakutana na vikondoo kwa retreat
Mchungaji itabidi utumie WEBCAM kwa ajili ya kuwaona kondoo wako vizuri muda wote wa mfungo
 
Mchungaji, unazidi kujiongezea vyeo tu, sijui ndo katika kuelekea utakatifu? karibu utajiita Askofu
dear
Nimekufowadia hiyo sala so that we can pray together, by the way alipo zaidi ya mmoja nami nipo kati yao-Do you remember this?
 
Mchungaji itabidi utumie WEBCAM kwa ajili ya kuwaona kondoo wako vizuri muda wote wa mfungo

Hiyo imetulia anayehitaji maombi zaidi baada ya kumwona kwenye WEBCAM basi unaomba mkutane faragha!
 
du! rafiki unafwatilia! ndo tuuweke ule mpango wetu hapo, nini? si unajua kipindi hiki watu wanakuwa jirani sana na Mungu, so sala zote zinaenda direct
I mean hiyo tarehe 9 March ndio Jumatano ya Majivu
 
dear
Nimekufowadia hiyo sala so that we can pray together, by the way alipo zaidi ya mmoja nami nipo kati yao-Do you remember this?

naikumbuka hiyo my dear......... shaka ondoa, tupo pamoja
 
Kwani hiyo ban amepata saa ngapi au lini maana leo asubuhi amechangia kwenye Sredi yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…