kokudo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2010
- 2,571
- 1,760
Hapana michango amewakisha yote mackin denaLabda amekula michango ya harambee l.o.l
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana michango amewakisha yote mackin denaLabda amekula michango ya harambee l.o.l
Live long Rev!Kuna sala nimekutumia kwenye PM isali huyu Dena atafunguliwa
Muhimu sana tarehe 9 MarchUmenikumbusha Kwaresma rafiki, huwa napenda sana hiki kipindi. na kwa taarifa tu, usiponiona hicho kipindi ndo ujue nipo kwenye mfungo........ sitaomba BAN kama Dena. mi nataka nijue kabisa naruhusiwa kuchangia lakini najizuia (MFUNGO)
Ahaaaa ahaaaa FP banaaa
Mchungaji itabidi utumie WEBCAM kwa ajili ya kuwaona kondoo wako vizuri muda wote wa mfungoKwa kweli nitakuwepo online! Unajua tena hizi technolojia.....isitoshe kwa mialiko maalumu nitakuwa nakutana na vikondoo kwa retreat
Muhimu sana tarehe 9 March
dearMchungaji, unazidi kujiongezea vyeo tu, sijui ndo katika kuelekea utakatifu? karibu utajiita Askofu
Sasa dena badala ya gettin better she was gettin worseInawezekana............. mi nilidhani ungetumia fursa hii BE alivyopotea ujitwalie jumla
Mchungaji itabidi utumie WEBCAM kwa ajili ya kuwaona kondoo wako vizuri muda wote wa mfungo
I mean hiyo tarehe 9 March ndio Jumatano ya Majivudu! rafiki unafwatilia! ndo tuuweke ule mpango wetu hapo, nini? si unajua kipindi hiki watu wanakuwa jirani sana na Mungu, so sala zote zinaenda direct
Mchungaji natumaini wanaotaka kukuona kwa faragha watakuwa wanakuja CHAPELHiyo imetulia anayehitaji maombi zaidi baada ya kumwona kwenye WEBCAM basi unaomba mkutane faragha!
dear
Nimekufowadia hiyo sala so that we can pray together, by the way alipo zaidi ya mmoja nami nipo kati yao-Do you remember this?
Sasa dena badala ya gettin better she was gettin worse
I mean hiyo tarehe 9 March ndio Jumatano ya Majivu
dear mbona husali na nimeshakutumia?au hujammiss Dena?naikumbuka hiyo my dear......... shaka ondoa, tupo pamoja
Mchungaji natumaini wanaotaka kukuona kwa faragha watakuwa wanakuja CHAPEL
dear mbona husali na nimeshakutumia?au hujammiss Dena?