Dena Amsi na Mr Rocky

My wife Evelyn Salt ki ukweli nimepapenda hapa malaika beach ningeweza kulala hapa hapa ila nakuomba niende nikamalizie usiku kwa mwenzio Lady doctor plz acha ku six six(sita sita) kama vp saa ten and two (kumi na mbili) nitarudi.
 
Last edited by a moderator:

halafu weee.......! Chagua moja....! Mbilimbili me sipendi ujue...... La sivyo nitajimuvuzisha fasta
 
Last edited by a moderator:

niliongea kwa niaba yako
ili kabibi katishike coz ulipotea ghafla!!

hahahaa.... Na kametishika kweli....! Ila ndugu yangu unavyomuona Slave atanifaa? Maana nimeng'ang'aniwa na Chimbuvu nafanya mpango wa kujinasua then kuna kakijana cha kuleee kaskazini nakenyewe nahisi kukapenda ila kanavuta bangi mbayaaa, na sometime kanajifanya kalokole then kunanjemba moja kila kukicha yeye na mastres, stress na yeye, na yeye anataka kuniwowa.... Nashindwa nichague wapi mwenzio!!
 
halafu weee.......! Chagua moja....! Mbilimbili me sipendi ujue...... La sivyo nitajimuvuzisha fasta

vp tena ? Unajua cheameni Baba V anatuandalia mpango wa kutuunganisha? Tulizana sasa na uache dana dana zako.
 
Last edited by a moderator:
Mmmghh mzee wa penda penda ulikuwa wapi aise sijakuona toka morning bana
Siredi imepaaa mpaka page ya kumi na moja hujaonekana
Duh nakuona mara Kipipi mara Chocs dah na Mamndenyi yuko hapa single unaweza kujitokeza kumpata
Vin Diesel kaishia wapi aise simuoni siku hizi
Arushaone huyo hapob@mamndenyi yuko single now unaweza kurudi kabla Bishanga hajaamka
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Dah jana nilikuwa nimebanwa nikashindwa kulogin aisee nashangaa nimepitwa na uhondo wa talaka the Vin Diesel atakuwa kahamia jukwaa la Evelyn Salt kuleeeee
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…