Dena Amsi na Mr Rocky

Dena Amsi na Mr Rocky

Last edited by a moderator:
Hureeeeeeeeeeeeee!

Safi sana..... Mamndenyi alie tu sasa..... Mimi na nitonye pia tuko kwenye mazungumzo mazito hivyo labda lolote linaweza kutokea wakati wowote lol.....

Hongereni sana Mr Rocky na Dena Amsi kwa haya maamuzi ya busara mliyofikia

sweetlady maaamuzi mazuri sana hayo
Nawatakia mazungumzo mema na nia yenu ikapate kufanikiwa
Hapo unashahili hongera sana maana ulikoenda kwa Nicas Mtei sharobaeo yule hakuna la maana bora urudi tuu nyumbani kwa nitonye
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
unaona eeeh

Nimeona dear..... Ndio ujue kuwa mume wa mtu ni sumu lol.... Mimi pia nawachora tu wanaomkodolea mijicho nitonye......siku wakisikia tumerudiana sijui wataweka wapi nyuso zao..... Wamesahau kuwa mke na mume huwa hawaachani teh
 
Last edited by a moderator:
kwani watake kule na huku pia?

Back
Top Bottom