- Thread starter
- #141
Waungwana husema "Jasiri hafichi asili"...hili naliona kwako Mr Penda Penda...naona unafuata nyayo za Erickb52 na Vin Diesel
watu8 mpaka wewe kaka yangu unanigeuka aise
Wazee wa penda penda ni Erickb52 na Vin Diesel bana mi nimerudisha ndoa yangu ya zamani
Last edited by a moderator: