Dena Amsi na Mr Rocky

Dena Amsi na Mr Rocky

Unajua babe Paloma ninachoshangaa bado sijamuona huyo bi harusi Dena Amsi hadharani kuja kuthibitisha kama kweli kuna ndoa hapa.. Vinginevyo nina shaka Mr Rocky anamvizia Dena Amsi ili amtafure (kwa wachagga najua mnafahamu maana ya neno kutafura).. Ndoa za nguvu.. ha ha ha..


Sio kweli bana ninathibitisha kuwa ndoa imefufuka rasmi kuna lingine wahitaji nikufafanulie?
 
Bwana shem naona umekaa kimya kama vile hujui alichonitenda Asnam nikiwa jela, kama ameweza kuutendea hivi mti mbichi itakuaje kwa mti mkavu....!????

afadhali umejileta pole na maswahibu ya lupango,hope talaka yako umeisaini.
 
Back
Top Bottom