Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,363
hahahahaahaha.....pole yakeeeee...mpe kitambaa cheupee ajifute machoziaaaah.... Bwanaaa,,,,, mwenzio kakuzimia ujue::!!!! Yaani ulivyosema hivyo tu ameanza kulia!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaahaha.....pole yakeeeee...mpe kitambaa cheupee ajifute machoziaaaah.... Bwanaaa,,,,, mwenzio kakuzimia ujue::!!!! Yaani ulivyosema hivyo tu ameanza kulia!
Naziona bidii zako kwa Slave..
ila mmh..! Mbona kama kiroho kinaniuma... Kah!!!! Ila kaniambia amekuja kukupa taraka
​jisevie mamani habari njema kwangu, baunsa kachemsha... Ngoja nijisevie mie
amekurupuka vibaya we muache
shem upo,nilikumithi kweli!!
​i love him tooo heheeenashindwa kuelewa haya maneno yanatoka wapi.....
I love u Slave!!!!!!
Baba_Enock hii taarifa unayo?
ina maana ulishaachana na Dena Amsi?
kama ni hivyo, mbona mimi mido man sina taarifa za kuachana kwenu? Mr Rocky, nini muskatabali wa Mamndenyi?
sasa je wewe wewe Kipaji Halisi!!hahahahahahaha...mie tena jamani...lol
​i love him tooo heheee
Mkuu Baba V
Napenda kuchukua nafasi hii kukujulisha kuwa baada ya majadiliano ya muda mrefu na kupitia file la kila mmoja baina yangu na Dena Amsi na kupitia kifungu kwa kifungu na mabishano na majadiliano ya muda mrefu tukiwa strong room, hatimaye muafaka umefikiwa
Ndoa hii imerudi kama zamani na kwa taarifa ya wana CC wote Mr Rocky na Dena Amsi wamerudiana rasmi na ndoa hii naamini kwa sasa itakuwa imara kuliko ndoa zote za CC
Tumefikia maelewano haya baada ya kujadiliana na kuonekana kuwa wote tulikuwa tunahangaika na ndo maana tumeamua kuzika tofauti zetu na kuamua kuwa kitu kimoja
Kwa taarifa hii ndoa ya mashaka iliyokuwepo kati yangu na Mamndenyi imevunjika rasmi na Mamndenyi yuko huru kwenda kwa mtu yoyote anayemtaka
Taarifa hii iende kwa Erickb52, Bishanga, watu8, Blaki Womani, Preta, binamu zangu Passion Lady, Paloma, Madame B charming lady , mwalimu wangu gfsonwin, snowhite, sweetlady, kaka yangu SnowBall na HorsePower, AshaDii, Filipo, marejesho, stevoh, manoah, Slave, Mamndenyi, na wadau wote wa CC
Dena Amsi karibu sana kwenye himaya ya Mr Rocky
nimechonganisha nini Dena?Acha uchonganishi dada